kituo cha polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtuhumiwa kutoroka kituo cha polisi?

    Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nimetoka. Nyumbani nikaenda kumsalimia Mkuu wa kituo cha polisi, akaishia kunishangaa.

    Nina Imani ningeenda kwa Afande Muliro kumsalimia hata chai angenipa, ila huyu OCD ndo kwanza akaishia kunishangaa. Nimefika kwake kituoni nikajitambulisha Mimi ni mgeni wa OCD, nikafika ofisini kwake, nikajitambulisha NAITWA sifi Leo ni mgeni wako, akanipokea Akachukua note book na karamu tayr...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi wagomea maelezo ya mkuu wa kituo cha Polisi Kisongo mkutano wavurugika

    Wananchi kutoka kata za Kisongo, Mateves na Musa wamegomea maelezo ya Mkuu wa Kituo cha Polisi Kisongo kufuatia malalamiko ya kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu katika maeneo yao. Wananchi hao walidai kuwa baadhi ya watuhumiwa wanaokamatwa na kupelekwa katika kituo hicho huachiwa bila maelezo...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Sakata la Milioni 800 za Wananchi: Kilio Chaibuka Ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi Kusuasua, IGP Aombwa Kuingilia Kati

    Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Wananchi wa Itumbi pamoja na...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Chadema Yapandisha Bendera Kituo cha Polisi

    Baada ya Chadema Kuchoma Kituo cha Polisi Nyankumbu mkoani Geita, leo CHADEMA wameamua kupandisha bendera yao mbele ya kituo hiko cha polisi katika mlingoti unaopandishwa bendera ya Jeshi la Polisi. Hii ni Ishara kuwa Chadema wamedharau jeshi la Polisi na sasa wamedhamiria kuteka, kulipua na...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania GRAPHIC-VIDEO: Kituo cha Polisi kinachosimamiwa na Hamas chashambuliwa!!

    Shambulio lililolengwa na Israeli lilipiga kituo cha polisi cha Hamas huko Sheikh Radwan, kaskazini mwa Gaza. Angalau magaidi 2 waliuawa na wengine 3 walijeruhiwa vibaya kwa kufumuliwa makalio yao hakuna uwezekano wa wao kupona. Shambulio hilo lilifuatia baada ya magaidi hao kuvishambulia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kituo cha Polisi Salasala kilivamiwa na watu zaidi 150 wenye silaha, polisi walitumia mabomu na baadae wakakimbia baada ya kuzidiwa nguvu

    "Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita. Mfano, kituo cha...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa nyumbani Masasi Mtwara, ni kweli kuna Askari Polisi amefariki kwa kujipiga risasi akiwa kazini?

    Kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa inadaiwa kuwa Askari Polisi mmoja amefariki Dunia kwa kujipiga risasi akiwa kazini, Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Haijajulikana wazi chanzo cha kujipiga risasi na ni kama kweli amejipiga risasi amepigwa risasi. Taarifa hii nimeona inasambaa chinichini...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa kituo cha Polisi Bunju mlizingua, mliyemrudisha nyumbani kafariki kwa kipigo

    Mwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Familia ya Clemence Mwandambo yadai haijui alipo baada ya kuchukuliwa na Polisi

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake. "Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wajenga kituo cha Polisi Kibosho-Moshi

    Katika juhudi za kuimarisha usalama, Umoja wa Umbwe Sinde Community umeandika historia mpya ya maendeleo ya kijamii kwa kuchukua hatua madhubuti za kuboresha usalama na huduma za afya kwa wakazi wa eneo hilo, baada ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Kibosho. Umoja huo umefanikiwa...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Twaha Mwaipaya: Dafroza Jacob wa ACT Wazalendo amefia kituo cha Polisi

    Wakuu, Hizi ni taarifa ambazo zimepostiwa na kada wa CHADEMA Twaha Mwaipaya Huyu alikuwa ni mgombea Ubunge Taarifa Zaidi Kutoka Kwa Maria Sarungi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Day 14: John Heche ahamishwa kituo cha Polisi, haijulikani anapelekwa wapi

    Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma. Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud. Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Jinsi Kituo cha Polisi pale Ubungo External kilichochomwa na waandamanaji

    Haya ni matokeo ya maandamano yaliyoendelea usiku wa kuamkia leo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kituo cha Polisi cha Olorieni chateketezwa kwa moto na waandamanaji

    Kituo cha Polisi cha Olorieni kimeteketezwa kwa moto na waandanaji usiku huu
  16. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kituo cha Polisi Tabata Relini chachomwa moto

    Wananchi wamepita na kituo cha polisi Tabata Relini, mabomu yanarindima huko hadi maeneo ya Buguruni. Harakati za kufika Ikulu zinaendelea. Leo polisi wamejua Watanzania sio waoga! Upole haimaanishi mtu hawezi kukurarua. Mtu anakuwa anakulia timing tu, akichoka utajua ujui. Polisi...
  17. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kituo cha Polisi cha Mabatini Sinza chachomwa moto, risasi zarindima

    KInachoendelea huko Mabatini Sinza, kituo cha polisi kimetiwa moto, polisi nao wapigana kujaribu kuwadhibiti wananchi lakini wanazidiwa nguvu. Kwa upande mqingine wanajeshi wameanza kuungana na wananchi. Mambo yakiendelea vizuri siku itaisha nchi ikiwa mikononi mwetu.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Vijana wanne wanaoshikiliwa kwa Siku 26 Kituo cha Polisi Mkuranga wapewe haki ya dhamana au wapelekwe Mahakamani

    TAARIFA KWA UMMA WITO KWA JESHI LA POLISI MKOANI PWANI WILAYA YA MKURANGA KUWAPA HAKI YA DHAMANA VIJANA WANNE (4) WANAOSHIKILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI MKURANGA 15 Agosti 2025, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kutoka kwa wananchi wa Wilaya ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kiongozi gani wa juu Kituo cha Polisi Kirumba anazuia tuhuma hizi za ulawiti kwa mtoto huyu wa Nyakato - Mwanza?

    Jumapili Julai 20, 2025, bibi Mkazi wa Nyakato, Mwanza akiwa ametoka Kanisani akaenda kwenye shughuli zake nyingine, aliporejea nyumbani majira ya usiku akamuona mjukuu wake wa kiume mwenye umri wa miaka minne anatembea kwa kuchechemea. Akambana kumuuliza nini kimetokea, mtoto alikataa kusema...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RPC Pwani akanusha mkuu wa kituo cha polisi Kongowe kuhusika kupotea kijana Hussein

    Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani, kupitia kwa Kamanda wake ACP Salim Morcase limekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Mkuu wa Kituo kidogo cha Polisi Kongowe alishirikiana na askari Mgambo kumkamata kijana Hussein Abdallah Mkwame (26), ambaye kwa takribani miezi miwili (2) sasa hajulikani halipo...
Back
Top Bottom