Gigy anasema ana taharuki hajui kaitiwa nini, ila kaahidi akitoka atakuja kusema maana siyo muongo, pia kasema acha aende huenda anaweza kupewa cheo hata cha kusimamia wanayama
Pia soma: Gigy Money Waziri Katambi alitupa elfu 50 za kula. Aendelee kutuita tu kila wiki
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam.
Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho...
Wateja wa Airtel Tanzania wanaendelea kupata fursa za kushinda zawadi mbalimbali kupitia miamala yao ya kawaida ya Airtel Money, chini ya kampeni ya Minyoosho Inaendelea ambayo inawahamasisha wateja kutumia Airtel Money katika shughuli zao za kila siku, huku miamala inayokidhi vigezo ikiwapa...
Kuna jambo linalohitaji kupewa umakini kuhusu urejeshaji wa fedha za dhamana (caution money) zinazolipwa na wanafunzi wa uzamili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Wakati wa usajili wa awali, wanafunzi hutakiwa kulipa kiasi cha Shilingi 50,000 kama caution money. Hata hivyo, baada ya...
Works and Transport State Minister Fred Byamukama says officials implicated in an alleged land compensation racket have tried to bribe him with “bags of money” to frustrate investigations.
He said some officials later resorted to intimidation after their alleged bribery attempts failed...
(Video courtesy of Daily Monitor)
A group of over traders in Luweero District has camped at PRO Industries Ltd in Ndibuluungi, Butuntumula Sub-county, protesting delays in payments amounting to over 2.5 billion Uganda shillings for maize supplied to the company.
The traders have parked their...
Yesterday in London, our Finance Minister Khamis Mussa Omar told investors that a Eurobond is "an option on the table" to help cover Tanzania's external borrowing needs of around $1 billion. A government advisor put the maximum size at $500 million.
On paper, it sounds like graduation day...
The accusations being thrown at the Vice Chairman of CHADEMA regarding alleged embezzlement of party funds to build a house are not only baseless but politically motivated. The house being circulated online as 'evidence' does not even compare to properties I personally own, which raises serious...
Security agencies have arrested four men in Lira City after dismantling another suspected counterfeit currency operation and recovering fake Uganda shilling notes along with materials believed to have been used to produce forged money.
The intelligence led operation was carried out jointly by...
Habari
Biashara ya mtandaoni imekuwa kuwa sana sasa hivi ambapo wateja na wauzaji wanatafutana mtandaoni. Changamoto kubwa sana ni auminifu kati ya mnunuzi na muuzaji, Je kwanini kampuni za simu na zinachelewa kuanzisha Escrow account kwa wateja wa mitandao ya simu?
Habari wakuu
Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa.
Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla.
Nitangulize pia...
Umeanzisha biashara lakini inaendelea kupata hasara kila siku, halafu unaendelea kuingiza pesa zaidi bila kubadilisha kitu — hapo unakuwa unatupa “good money after bad.”
Cha kufanya badilisha biashara au uza kwa mtu
Unafikiri ni kwanini watu wanafirisika hiyo ndio sababu kubwa.
Zingatia hilo...
Wadau, hii story ni ya kushtua na inaonyesha vile society pressure inaweza kusukuma watu kufanya mambo ya ajabu sana. Nairobi Eastlands imechafuka after police kuvunja child trafficking ring yenye ilikuwa inauza watoto kama bidhaa.
In Dandora na Embakasi South, wanawake walikuwa wanauziwa...
Habar ndugu zangu....
Kunachangamoto na hatari kwa sisi ma wakala wakati wakutuma pesa Airtel kwenda kwa wakala mkuu, hawaonyesh jina mpaka pesa iende ndio jina linakuja, kwa utaratibu huu mliounzisha Airtel n hatari sana kwa sisi mawakala kupoteza pesa.
By Advocate Nulphin Charles Heche
There comes a moment when a political movement must ask itself a hard question: is it still driven by ideas and principles, or has it quietly surrendered to money and personal ambition? For CHADEMA, that moment has arrived. What began as activism rooted in...
Wazazi wetu walifanya kazi sana na wakalipwa na noti zenye picha ya nyerere, mshahara wa mtu mzito enzi izo ilikua buku, kwa mahesabu ya haraka haraka kwa pesa ya leo ni ~500k
miaka 20 mbele kuna watu walitunza izo pesa, mitaani bado zipo lakini hio buku utaikubali kama mshahara saaahv? jibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.