jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Mganguzi

    Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  2. snake

    Ni jambo gani limewahi kukustaajabisha ama uliliona la ajabu

    Naanza na mimi kuna wakati nilikua safari kutokea Same nikielekea Arusha nilipanda coaster na kupata siti ya nyuma kabisa na sababu yenyewe nikwamba tulikua wawili hivyo tulipendelea kukaa pamoja mbele yetu kulikua na siti ya watu 2 ambayo yadirishani mtu alikaa ikabakia hiyo ya mwanzo. Mpaka...
  3. H

    Kwanini jambo la kipumbavu la kwenye biblia/quruan likisemwa kwa kizungu/kiarabu linaonekana lina maana.

    Hawa viongozi wenu wa dini za kikristo/kiislam wa kiafrica ni kwanini jambo la kipumbavu likisemwa kwa kizungu/kiarabu ikiwemo majina ya watu ie: john,mary,mustafa,khalid,mohamed;shule ,misikiti na makanisa i.e:st John,masgid tawfiq,n.k linaonekana lina maana sana?
  4. J

    UVCCM Vyuo na Vyuo Vikuu kufanya Mkutano Mkuu maalum Machi 16, Dodoma

    Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano mkuu maalum wa UVCCM Vyuo na Vyuo vikuu utakaokutanisha Viongozi wote wa mikoa yote wa vyuo na vyuo...
  5. X

    China is unstopable! Historia iko wazi huwezi kuizuia China kwenye innovations. Usipoona ya TSS, na BeiDou utaona ya HarmonyOS na EUV

    "In time of difficulties, we must not lose sight of our achievements." – Mao Zedong (1956) HOW IT STARTED & HOW IT ENDED: 1958 – Soviet Union ilijitoa na kukataa kuisaidia China kutengeneza silaha zake za nyuklia. 1964 – China yafanya jaribio lake la kwanza la bomu la nyuklia na kufanikiwa...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Kristo Yesu ndiye njia ya Kweli na uzima. Ila Wakristo tujirekebishe jambo hili

    Nimewahi kuwa muumini wa dini fulani kubwa ulimwenguni. Nilisoma kidogo basic ya dini ile. Ile dini lengo lao ni moja tu, nalo ni kupata pepo ya Mwenyezi Mungu. Baadaye nikapata Neema ya kuwa Mkristo. Ukristo yaani kuwa mfuasi wa Yesu ni jambo kubwa, la neema isiyo na kifani. Ila nasikitika...
  7. Moto wa volcano

    Hakuna jambo baya kama kumuhukumu mtu kwa mambo asiyoweza kuyapanga

    Kwenye maisha kuna mambo ambayo mtu hawezi kuyapanga "Nature takes its course" hauwezi kupanga uzaliwe Taifa gani , Mkoa gani , Rangi gani , Kabila gani , familia ipi au hata Dini gani . Hakuna kitu kibaya kama kumukumu mtu kwa mambo ambayo hakupanga yatokee kwenye maisha yake.
  8. RWANDES

    Taifa letu wapinzani kutekwa limekuwa jambo la kawaida kijana wa BAVICHA mkoa wa Mwanza amefikisha siku 15 na hakuna taarifa yoyote

    Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali. Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
  9. Pdidy

    Tar 28 Feb tuna jambo letu wapendwa leaders club

    Kutakuwa na mkutano WA injili wakiongozwa na apostle. Bendera Gamanywa Fernandes Maboya Na wengi watakuwepo kufanya maombi juu yetyuu...... Saa nane mpaka saa Moja Mungu akubariki sana wewe utakaekuwepoo
  10. Minjingu Jingu

    Hizi habari zimenishangaza sana sikuwa nafahamu jambo hili

    ndo naambiwa kuwa huyu mchezaji ana asili ya Tanzania. Andendekyise Mwakikole na wanasema wazungu wakaamua kumuita Andy Cole. hayo nimeaambiwa leo nikiwa hapa Jangwani na wazee wangu wa Yanga wakinipa stories mbili tatu za michezo na wanamichezo. nikashangaa kuwa kuna mchezaji ambaye anachezea...
  11. J

    Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

    Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie...
  12. MamaSamia2025

    Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi

    Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye mchakato tayari.
  13. Pdidy

    TUKUMBUSHANE KIPIGO CHA REFA ISRAEL MKONGO VS STEPHEN MWASIKA(AZAM VS YANGA) KILA JAMBO LINAMWISHOOOOO

    Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google Mechi n Azam vs YANGA REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
  14. Head current

    Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

    Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu, hiyo hela haitumiwi hadi...
  15. bulajunior

    Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

    Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani tutalaumiwa sana na tutapigiwa sana
  16. R

    Mliowahi kuwa watanashati kwenye mavazi, jambo hili ina uzito kiasi gani kuvutia wanawake

    Hatuwezi kufanana, mwenye maneno atasuka sentensi zake, mwenye gari atatumia lifti, mkaanga chips atapooza njaa, n.k. Utanashati una uzito kiasi gani kwenye mvuto
  17. Allen Kilewella

    Soma kiumakini utapata jambo la maana

    The Arse’s Bold Bid for Leadership: A Tale of Guts and Glory In the bustling metropolis of Human Body, where organs worked tirelessly to keep the system running, a new contender emerged for the role of leadership: the Arse. Yes, the Arse—often overlooked, frequently ridiculed, but undeniably...
Back
Top Bottom