nssf

 1. D

  NSSF tawi la Arusha jiongezeni

  Hii ofisi kwanza haina mpangilio, wafanyakazi ni wazi hawapo organised au hawana experience au huenda hata hawajui daily to do list ya ofisi! Utoaji wa elimu niwe tu mkweli wale watoto mmejaza pale bado sana hawana uelewa huo wapigeni msasa, wapeni semina angalau. Ofisi haina hadhi yaani...
 2. B

  Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

  Tunaandika kwa masikitiko na malalamiko makubwa kuhusu hali ilivyodorora ndani ya shirika. Tunaomba malalamiko haya yakufikie Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunasema hivyo baada ya hali kuonyesha wazi Waziri husika hana uwezo wa au amezembea kutatua matatizo ya sasa ya shirika...
 3. concrete jungle

  NSSF: Kilio kilichokosa ufumbuzi. Wanyonge hunyongwa kimya kimya nchi ikijifanya haioni, sababu ni jambo linalogusa tabaka la waliotengwa na mfumo

  Habarini wakuu, Ninaandika waraka huu nikiwa na maumivu makuu moyoni juu ya mahangaiko na misukosuko tunayopitia waathirika tuliopoteza ajira zetu katika kipindi hiki kigumu na kuamua kufungua madai ili kupata stahiki zetu NSSF tukiamini ndo hazina yetu iliyosalia itakayotukwamua katika kipindi...
 4. J

  Kutekeleza ilani: Nyumba 1500 za NSSF zilizokosa wanunuzi kupewa Vyuo vikuu

  Nyumba zaidi ya 1509 zilizojengwa na NSSF kwa ajili ya kuwauzia wananchi lakini zimekosa wanunuzi na kuwa makazi ya POPO katika maeneo ya Tuangoma na kwingineko sasa kugawiwa kwa vyuo vikuu vya umma. Source Habari Leo. Maendeleo hayana vyama!
 5. steve111

  Kuchukua mafao NSSF mpaka miaka 55?

  Poleni na majukumu wakuu. Nilikuwa nafanya kazi sehem X sasa nimeamua kuacha na kuendelea na maisha mengine, sasa nimeenda NSSF kuchukua michango yangu naambiwa mpaka nifikishe Miaka 55? Hii hatari sana. Wanajamvi hii imekaaje?
 6. U

  NSSF Tanzania na mzunguko mrefu wa ulipaji mafao

  Habari wanajamvi! Hoja yangu ni kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF kuwa na mzunguko mrefu kwa wateja wanaodai mafao yao. Wanachama tumekuwa tukikatwa fedha kila mwezi na mwajiri hivyo hivyo kwa ajili ya kumsaidia huyu mwajiriwa pindi anapokosa ajira, kustaafu, na faidi zingine kama...
 7. Roving Journalist

  Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

  UPDATES: Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Rais Magufuli anawasikiliza na anataka kila mtu aongee na kutoa dukuduku ili aweze kuongea. Viongozi wa vyama vya...
 8. Mlenge

  Ukweli kuhusu Mafao ya PSSSF sheria mpya ya kustaafu

  Ni upi ukweli kuhusu sheria mpya ya mafao ya pensheni? Wengi hawaelewi haswa kinachojiri, na wengine hupata taarifa zinazozua taharuki miongoni mwa walio karibu kustaafu, hasa zile zinazowaambia watapata robo tu ya kile ambacho wenzao walipata kabla ya kutumika sheria mpya. NARUKA!: Haya ni...
 9. elvischirwa

  NSSF Hali ya kifedha si shwari? Wastaafu hulipwa pensheni kila ifikapo tarehe 24 lakini hali kwa sasa si hivyo

  Wastaafu wa NSSF hulipwa pensheni kila ifikapo tarehe 24 lakini hali kwa sasa si hivyo, ilianza taratibu malipo kuchelewa kwa siku moja lakini sasa imifikia wiki! Pamoja na kujaribu kujua tatizo ni nini kutoka makao makuu lakini ukweli haupatikani, mwanzo walikuwa wanadai kuwa shirika la Posta...
Top