Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu.
Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa...
Anonymous
Thread
cbe
hayana
januari
matokeo
mpaka
mtihani
mwanza
wanafunzi
Kadri vijana wengi wanavyoendelea kukua, wengi wanajikuta wakiingia kwenye mahusiano ya pesa yaani kununua malaya kuliko mapenzi ya kweli ya kuishi ndani na mwanamke. Wapo ambao kila wakitaka kuwa karibu na mwanamke lazima gharama ihusike tendo linakuwa kama kazi ya kulipia huduma badala ya...
Maana yake yangemuachia Lissu, kwakua Lissu yeye anachotaka ni KATIBA MPYA NA TUME HURU ambayo ndani yake inajali Kila Lilo la HAKI.
Alafu wakamuita LISSU , wakakaa naye Meza Moja, "Bwanaee tunaendelea na mchakato wa KATIBA Mpya wa Jaji Warioba)
Tume huru ya UCHAGUZI Mpya kuanzia Muundo...
Maji ya Kilimanjaro hayana tena ile taste (ladha) ya miaka 10 iliyopita, mengi ni ya ladha ya chumvi....
Kampuni ya Kilimanjaro waonye waache uzembe... Hali kadhalika Kampuni ya Sequa maji yao ni muda mrefu wadau kadhaa wamekuwa wakiyalalamikia yananuka harufu ya udongo, kampuni hiyo ipo mkuu...
Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
Pichani ni Dorothy Muoma aliyekuwa mwanasheria mashuhuri nchini Kenya ambaye aliwahi kuhudumu kama Hakimu katika Mahakama ya Kitale. Katika kilele cha taaluma yake, alijulikana kwa mamlaka yake makubwa, utajiri, na maisha ya kifahari.
Hata hivyo, maisha yake yalibadilika ghafla baada ya...
Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa.
Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz,
Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani.
Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya...
Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake
Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣
Mfano...
Habari wanaJF?,
Kuna siku utanielewa kwamba vyote tulivyokuwa navyo ni kwajili ya kujifariji na kuyapa maana maisha .
Kwanzia magari,nyumba ,Mke na watoto.
Siku vitu hivi ukivipoteza unakosa maana ya maisha kabisa.
Ni sababu zipi ambayo zinakufanya mpaka saivi haujajiua?
(Nikawa na maana kifo...
Naamu
Hakuna Msiba unaokosa Matanga na ukiona Moshi ujue kuna Moto Utawaka au Umewaka.
Bado Watanzania tupo katika Majonzi ya Ndugu zetu waliopata Maafa ya D29 ambapo ni masikitiko makubwa yanatokana na dhamira ya watu wachache kujitafutia umaarufu na Kujilimbikizia Mali kupitia Majukwaa...
Hamjambo wote!
1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin.
2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe?
Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
Mtandaoni kuna maoni hasi dhidi ya Serikali au Viongozi wa Serikali, hamuoni kuna kiwango fulani Wananchi hawapendezwi na kinachoendelea?
Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa hayana ushahidi, tatizo hili siyo Tanzania tu, mitandao imekuwa ikitumika vibaya katika Nchi nyingi, sasa hivi kuna AI...
Maisha haya shikamoo.
Sikuwahi kufikiri kuna siku nayo katibu mwenezi wa chama mstaafu kuna siku naye familia yake itaomboleza kama Watanzania wengine ila maisha ni kitu cha hatari kweli.
Sasha kiburi kinakuponza kila siku nakukumbusha kuwa unamjua Jiang Qing hili Mama lilikuwa katili kushinda...
Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha.
Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki.
Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second Indepencence/liberation strugle!?
Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona
Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....!
Hakuna kitu kinamaliza watu kama...
Wakuu,
Kwa hiyo kumbe kuna watu wa "usalama" walikuwa wanaripoti contents ambazo hawazipendi?
Jamaa hajasema ni aina gani ya contents lakini huhitaji D mbili kujua anaongelea mi aina gani anazozingumzia.
Basi sawa!
=============================
Kwa mara ya kwanza, Raphael Mwango, Afisa...
Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari hazipewi uzito wowote hata na Waafrika wenyewe!
Mzungu wa huko Vatican Roma ndiye amezipa umuhimu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.