chanzo

 1. Faana

  Nini Chanzo cha Hii

 2. kilamba lamba

  Je, ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano ya mpenzi wako na EX wake?

  Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani. Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake? Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
 3. Infantry Soldier

  Watoto ni chanzo kizuri sana cha taarifa. Unapokuwa kazini wao wanazurura mitaani

  Good afternoon jamiiforums Hivi unafahamu ya kwamba watoto wadogo hao unaowaona kama bado hawaijui dunia vema wanaweza kuwa wanajua mambo mengi sana yanayoendelea mitaani kuliko watu wazima? Wakati wewe upo kazini, watoto hawa wanazurura mitaani hivyo wanakutana na mambo mengi sana. Ukiwa...
 4. beth

  Nigeria: Redio na Runinga zaelekezwa kutotumia Twitter kama chanzo cha taarifa

  Mamlaka ya Utangazaji imeshauri Runinga na Redio kutotumia Mtandao wa Kijamii wa #Twitter kama chanzo cha taarifa zao, huku ikiwataka wafunge akaunti zao Mamlaka hiyo imesema haitokuwa uzalendo kwa Watangazaji wa #Nigeria kuendelea kutumia Mtandao huo. Twitter imesema itafanyia kazi kurejesha...
 5. jaji mfawidhi

  Historia ya uundwaji wa Mikoa Tanzania

  Tanganyika ilikuwa na majimbo 8 wakati inapata uhuru 1961. 1. Jimbo la Kati 2. Mashariki 3. Ziwa 4.Kaskazini 5. Nyanda za juu kusini. 6. Jimbo la Tanga. 7. Nyanda. MWAKA 1966 NYERERE aliunda mikoa 15 nayo ni:- 1. Kilimanjaro 2. Arusha 3. Pwani . 4. Dodoma 5.Tanga 6. Kigoma 7. Mara 8. Mbeya 9...
 6. Chachu Ombara

  Waziri Simbachawene: Mabadiliko ya kisera, chanzo cha makazi mapya ya Polisi kutotumika tangu 2018

  SERIKALI imetaja sababu za kutokutumika kwa miradi ya nyumba za makazi ya maofisa na askari polisi licha ya kukamilika kwa miaka mitatu iliyopita. Nyumba hizo ni zile za ghorofa zilizoko Mikocheni na Kunduchi mkoani Dar es Salaam, ambazo ujenzi ulianza mwaka 2014 na kukamilika mwaka 2018 chini...
 7. Faana

  Nini chanzo cha foleni ndefu toka Kimara hadi Shekilango?

  Nimepita muda huu kutoka Kimara kuja mjini kati nimekuta foleni ndefu sana kutoka Kimara ha Shekilango na uvunguni mwa Kijazi Bridge ni vurumai tupu kupishana kwa shida balaa, naamini kuna mashuhuda humu.
 8. Uzalendo Wa Kitanzania

  Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

  Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania; 1) Itangaze uwepo wa Corona 2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona 3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa 4) Ipanue maktaba za kupima 5) Itoe takwimu sahihi za Corona 6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi Rais Samia Suluhu...
 9. L

  Kustawisha afya za watu ndio chanzo cha kujenga taifa lililo bora

  Hakuna kitu chenye thamani duniani kama mtu kuwa na afya bora. Afya bora ndio inampa mtu nguvu ya kuweza kufanya shughuli zake mbalimbali ikiwemo kujitafutia riziki kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Ni kama msemo wa Kiswahili unavyosema “Bora Afya Kuliko Mali”, yaani ukiwa na mali huku afya yako...
 10. Kifaru86

  Nini chanzo cha wanawake kuzalishwa na kutelekezwa na wanaume?

  Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea! Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume...
 11. Mhere Mwita

  Ndugai ni spika asiye na sifa za kuwa spika

  Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
 12. M

  Prof. Jay amekiri kuwa msoto ni mkali nje ya uheshimiwa, atangaza kurudi na albamu kali

  Prof. J. Mzee wa Mitulinga leo ndani ya 360 amekili kurudi mchangani alikotoka baada ya kuiambia 360 kuwa mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani zile singo zilikuwa cha mtoto. Profesa huyo ambaye hata historia yake ya shule haijulikani vizuri kama aliishia fomu foo au wapi amejinasibu kuleta...
 13. Miss Zomboko

  Utafiti: Mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea Afrika

  Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani Afrika. Wataalamu wa dawa wamekuwa na wasiwasi kwa muda mrefu kuhusu kuibuka kwa tatozo la usugu dhidi...
 14. J

  Nyanya ni chanzo kikuu cha Antioxidant Lycopene

  Lishe ya antioxidant lycopene inayopatikana kwenye nyanya ina virutubisho ambavyo vina faida nyingi kiafya, ikiwa ni pamoja kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo, saratani na pumu. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini C, potasiamu, folate, na vitamini K.
 15. The Palm Tree

  Kukosekana kwa ukweli na uwazi, siasa safi na uongozi bora katika utawala wa Hayati Dkt. John Magufuli ndiyo chanzo cha ubadhirifu na ufisadi huu

  Ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za serikali (CAG) mwaka 2019/2020 imesomwa na inaendelea kujadiliwa bungeni... Hali ni mbaya sana. Karibu kila wizara na taasisi/mashirika ya umma ni upotevu wa mabilioni ya fedha yasiyoeleweka na kutokuwa na ushahidi zimetumika kufanyia nini. Kubwa...
 16. Shadow7

  WHO, China zatoa ripoti kuhusu chanzo cha Corona

  Ripoti ya pamoja ya shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara. Ripoti ya pamoja ya utafiti wa shirika la afya duniani WHO na China...
 17. Ng'wamapalala

  Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

  Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
 18. Sam Gidori

  Nyuma ya pazia ripoti ya chimbuko la Corona inayotarajiwa kutolewa wiki hii

  Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa wiki hii. Ujumbe huo uliwasili Wuhan mwezi Januari kufanya uchunguzi kwa muda wa mwezi mmoja katika...
 19. Mshana Jr

  Giza ndio asili ndio chanzo....kwenye uumbaji

  Nayatafakari sana maneno yale kwenye Bible takatifu kwamba hapo mwanzo dunia ilikuwa kiza totoro na uso wake ukifunikwa na maji. Kutoka hapo ndio uumbaji ukaanza, kwa kutenga kiza na nuru...kwahiyo ikawa usiku(kiza)siku ya Kwanza. Ukiacha kiza kinachofuata ni maji lakini leo hatujadili maji...
 20. Rutunga M

  MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

  BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Naomba kujua mtoto mchanga inabidi aanze kuongea akiwa na umri gani,kwa kuzingia wale wanaowahji na wanaochelewa.Na je kuna namna unavyoweza kutambua uwezekano wa mtoto kuwa bubu na inaweza kuzulika kwa umri wake mdogo. nitashukuu --- --- --- ===...
Top Bottom