kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwanamume Aishi Kama Mama Yake Aliyekufa kwa Miaka Mitatu Ili Kuendelea Kuchukua Pensheni Nchini Italia

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake. Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ipo Upande wetu sisi Wanayanga. Simba isahau kuhusu kuchukua Ubingwa

    Nlisema as long as Samia ni Rais basi Yanga tuta enjoy Misimu yote Ubingwa. Maana hilo lipo ndani ya uwezo wetu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Wananchi wataanza kuchukua Silaha za Askari kwa kuwadhania ni wanamgambo wa Mwaipopo

    Leo nimeona Mwaipopo ana vijana wamefunikwa uso na kutishia maisha ya watu wasiandamane, JWTZ kwenye lile tangazo lako kama kweli wanalinda mipaka na mamlaka ya nchi hii wanatakiwa walichukulie tukio lile kwa uzito mkubwa. Wananchi wa Tanzania mnahaki ya kujilinda na kuchukua Silaha hata kwa...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kikwete "2025 hakuna wa kuchukua fomu ya urais kumpinga Samia, labda mambo yaharibike sana"

    Natafakari sana kauli hii ilimaanisha nini? Uzi tayari
  5. nipo online

    JamiiForums Tanzania Uchumi: Kama unaogopa kuchukua RISK basi fahamu unajenga ndoto za aliyekwisha chukua, na sahau kuhusu hela

    Maskini akitaka kufanya biashara anajiulza vipi kama nitapoteza? Then anagairi. Wakati matajiri hua wanajiuliza vip kama itafanikiwa?then anachukua hatua. (rudia tena kusoma hiyo sentensi) Ukweli ni kwamba kila kitu unachoona kimefanikiwa kilianza na uncertainty. Yaani hakikua na uhakika ama...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba wa TBC Baada ya Kuchukua Mamilioni ya Kustaafu Sasa Arudi Na Ziara ya URUSI!

    ANAANDIKA AYOU RIOBA , MSTAAFU TBC ANAYEKULA MAFAO KWA MRIJA:- Ziara ya Rais SSH Urusi ni muhimu sana, hasa tukizingatia historia ya mataifa yetu! Ninafahamu fika kwamba ndugu zetu mabeberu watachukia. Tanzania na Urusi zina historia kubwa kimahusiano. Tuna Watanzania wengi waliosomeshwa Urusi...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Manchester City kuchukua EPL zinayeyuka rasmi leo!

    Leo mapigo makuu mawili, moja Pep hampo nae tena season ijayo na pili, Bournemouth hawafungiki kwao. Ni hayo tu.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Lipeni fidia kwanza kabla ya kuchukua ardhi ya Mwananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imetakiwa kuhakikisha inawalipa kwanza fidia wananchi kabla ya kuchukua maeneo yao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo. Mtanda amesema hayo katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata za Sangabuye, Bugogwa na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha SGR – Dar kitengewe sehemu ya madereva kuchukua abiria wao, kulipia buku hata kama unapita tu si sawa

    Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu. Namaanisha...
  10. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Putin atoa onyo ole wake atakayethubutu kuchukua uranium ya Iran bila ruhusa ,,kumekucha!

  11. 100 others

    JamiiForums Tanzania AI yaanza kuchukua nafasi za watu Marvel na Disney; wasanii wakubwa wapigwa chini

    Nchini Marekani mwigizaji maarufu wa filamu ya Ant Man and the Wasp, Evangeline Lilly(pichani), amefunguka kuhusu hali ya sintofahamu inayoendelea studios kubwa za filamu kupunguza wafanya kazi na nafasi zao kuchukuliwa na AI. Inadaiwa kuwa Disney sasa imeanza kutumia teknolojia ya AI kuchukua...
  12. MANAGER DOCTOR WENGER

    JamiiForums Tanzania Probability ya kuchukua demu AU mtu anayejiuza bar, akawa mzima wa afya ni ndogo sana, nitakupa stori

    Mwaka Fulani awamu ya tano, nilikua geita, yes geita wanapaita gold city, au g town, kama kawaida yetu mapopo, hatulali mapema kiwanja kwa sana, Sasa mwenyeji wangu mmoja, nikimuuliza wapi pa kwenda kuparty, akanielekeza sehemu panaitwa desire park. Nilienda kule lakini sikuona maajabu watu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Kulikuwa na mfumo 'kompyuta mpakato' wa kuchukua Takwimu za kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, Akifanya Mahojiano na BBC Aprili 24, 2026
  14. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

    Heshima kwenu, Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi. Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF. Nawasilisha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwambukusi apendekeza CAG apewe mamlaka ya kuchukua hatua ili kudhibiti madudu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mapendekezo yake ya namna ya kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma nchini Tanzania, akisisitiza kuwa bila mabadiliko ya kimfumo, ripoti za CAG zitaendelea kuwa kelele zisizo na matokeo. Akizungumza na televisheni ya...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria. Akitoa kauli hiyo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ichunguze na kuchukua hatua wanachofanyiwa Wazawa katika Kampuni za ujenzi/barabara/majengo n.k

    Ninaomba mamlaka husika ziangalie kero za Wafanyakazi kwenye baadhi ya kampuni za ujenzi wa barabara nchini. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya ujenzi wa barabara na tunakutana na changamoto zifuatazo: 1. Kufanyishwa kazi nje ya muda uliopangwa kisheria bila kulipwa malipo ya muda...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Utapeli kwenye uchawi na hatua za kuchukua

    Utapeli unaohusisha uchawi na uganga nchini Tanzania umekuwa ukichukua sura mpya, ambapo matapeli hutumia hofu, imani za kishirikina, na teknolojia kuwaibia wananchi. Kufikia Machi 2026, Jeshi la Polisi na mamlaka mbalimbali zimeongeza jitihada za kudhibiti vitendo hivi ambavyo mara nyingi...
  19. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM wameanza kuchukua pikipiki zao

    Kuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama, Kwa taarifa za kawaida pikipiki hizo zilifungwa Tracker Gps ambapo wafuatiliaji imewawia vigumu kuzikamata kwa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuchukua ukigundua kuwa ulipo kuna kamera za Siri

    Kusanya ushahidi kwa kupiga picha na kuredi video za kamera hizo ulizogundua, andika muda, tarehe na eneo ulipogundua kamera hizo. Funika kamera kwa tepe, karatasi au kitambaa bila kushika kamera hiyo ili usiache alama zako za vidole "Fingerprints" wala usiichomoe. Ondoka eneo hilo ili...
Back
Top Bottom