chakula

  1. Roving Journalist

    Mchengerwa: Wanafunzi wote wa kutwa wapate chakula shuleni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kuhakikisha wanafunzi walio katika shule zote za kutwa za umma na binafsi wanapata chakula bila kujali ni wa madarasa ya mitihani ama lah na kamati za shule...
  2. mkolaj

    Nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa, nini tatizo??

    Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada, Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula chakula kingi. Pia inachukua muda mrefu hadi nianze kuhisi njaa. Naomba mwenye kujua hili tatizo...
  3. K

    Nauza dagaa kwaajili ya chakula cha kuku

    Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    Nilipakua chakula ugenini, wenyeji wakabaki kunishangaa

    Nadhani niliacha historia mbaya na sikurudi tena kwenye ile familia, nimemaliza form six naenda chuo, ikabidi mzee afanye mawasiliano na rafiki yake nipate pakufikia ili kesho yake nikaanze mchakato wa kutafuta hosteli. Kufika jijini, nikapokewa na Mama mwenye nyumba, Baba alikua bado hajafika...
  5. K

    Soko la faida kwa mazao ya chakula

    Binafsi mapenda kufanya kilimo cha biashara japoo sio kwa ukubwa huo ila hofu yangu soko lenye faida kwa mkulima lipo?!
  6. BabaMorgan

    Kwa wingi wa mihogo inayoingia mjini wakina nani wanafanya tathmini ya kujua ipi inafaa kwa matumizi ya chakula?

    Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai. Kuna mihogo ukila baada ya...
  7. Uzalendo wa Kitanzania

    Spika bunge Lebanon aiambia Israel kuwa Kisasi kinakuwa Chakula Bora zaidi kinapotolewa au kuliwa kikiwa baridi

    NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold) Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha Mashariki ya kati Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi...
  8. Pascal Mayalla

    Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
  9. BARD AI

    Ripoti FAO: 64.8% ya Watu barani Afrika hawana uwepo wa kupata Chakula Bora

    RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
  10. King Jody

    Usisite kumsaidia mtu anayeomba umnunulie chakula

    Habari za kutwa wana JF Natambua hali ya maisha ni ngumu kwa ujumla, matapeli ni wengi mno, wengine wanajifanya wagonjwa ili tu wapate msaada, nk, Lakini ukikutana na mtu hakuombi pesa ila anakwambia ana njaa anaomba umnunulie chakula na ukimwangalia kwa jicho la kawaida anamaanisha...
  11. ndege JOHN

    Kuota umekula/unakula nywele au unajaribu kuivuta kutoka kinywani au katika chakula

    Bahati mimi huwa siamini katika uwepo wa nadharia ya uchawi ila tu Nina nguvu fulani ya maono kujua tafsiri ya kisaikolojia anayopitia mwotaji na maana ya ndoto yake.. Sasa ukiota unajaribu kuondokana na nywele na kuiondoa kwenye chakula au kinywa chako, lakini hukuweza kufanya hivyo, basi hii...
  12. D

    Nataka kuoa Msukuma, chakula Chao cha asili nini nijiandae?

    Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
  13. Uzalendo wa Kitanzania

    Kwa Wasabato, Bikira Maria ni Mama Mtakatifu, Aliyekula Chakula kutoka kwa Mwenyezi Mungu, aliyebarikiwa kuliko wote, aliyetuzalia mwokozi wetu!

    Wadau hamjamboni nyote? Mama yetu Mtakatifu Bikira Maria ndiye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo/Nabii Issa Ndiye mbarikiwa pekee anayekubalika na Wakiristo.na Waislamu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyekula chakula kilichotoka mbinguni kwa kutolewa na Mungu wetu Mkuu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyezaa...
  14. Yoda

    Kwa nini mvumbuzi wa Chipsi Mayai/ zege, chakula cha kipekee cha kitaifa cha Watanzania wote hajapewa tuzo ya kitaifa?

    Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa. Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania Chipsi mayai ndio chakula cha kipekee kinachotuunganisha kiutamudini Watanzania wote kama taifa na...
  15. H

    SoC04 Tunaweza kumaliza uhaba wa chakula

    Tanzania kama tukiamua kumaliza tatizo la uhaba wa chakula inawezekana ila Kwa kila mikoa yenye vilimo tunapaswa kuzingatia mambo machache yenye kuleta tija na kumaliza tatizo la uhaba wa chakula. Kuna njia zinaweza kutumika kumaliza kama SI kushawishi Kwa vitendo watu Waka wajibika kulima sana...
  16. we are the inner

    Chakula cha ubongo: Duniani hakuna lolote liliwahi kuumbwa, yote unayoyaona ni uhalisia tulioutengeneza sisi

    UKWELI / UHALISIA..🧘🏿‍♂️🧘🏾‍♀️ 🎈Ukweli ni ukamilifu usiotegemea umbo Wala Hali Wala sababu katika kujizihilisha kwake..Ukweli ni kuwa hukuwahi kuzaliwa Wala hayo yote ulio nayo hayapo..ila uhalisia ni kuwa ulizaliwa na haya ulio nayo yapo 😀😀. ⚖️Uhalisia ndio unao leta maana katika Maisha...
  17. Gulio Tanzania

    Faida ya kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula

    Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
Back
Top Bottom