Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa...
Nikiwakilisha Wakazi wenzangu wa Bunju Sokoni, naomba kuwasilisha kero kuhusu huduma ya usafiri wa daladala zinazofanya safari za Morocco hadi Bunju.
Tatizo kubwa linajitokeza hasa nyakati za asubuhi ambapo daladala hizo zinapofika Bunju Sokoni, baadhi ya madereva na makonda huchukua risiti...
Bus la kifahari la simba aina ya Irizar limeharibika njiani wakielekea karatu kwenye uzinduzi wa jezi yao mpya
Uzuri walikuwa wamesafiri na fundi kabisa, kwani tangu mwanzo wa safari lilikuwa halitaki kuwaka, hadi lisukumwe.
Heshima sana wanajamvi
Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT.
Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba.
Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya...
Dunia haiheshimu walioanza mbio kisha kuishia njiani bali inawaheshimu waliomaliza wakiwa na matope magotini.
Kujikwaa sio laana bali nembo ya mashujaa kwamba ulikuwa uwanjani, hukubaki benchi Kwa hiyo ukianguka leo, tabasamu kisha jua Umepewa sababu nyingine ya kukimbia kwa hasira zaidi...
Mtakumbuka Serikali ya Tanzania kupitia TASAF III Shilingi bilioni 43.5 zilitolewa moja kwa moja kwa kaya maskini kama ruzuku na malipo ya walengwa.
Faida Kuu za TASAF kwa Wananchi ni
Kupunguza umasikini wa kipato
Kaya maskini hupokea ruzuku ya fedha ili kukidhi mahitaji ya msingi kama...
Wakuu ni Leo tena.
Huwa sina shaka na ndoto zangu kabisa ila ni sharti ijurudie mara3 ndo inakuja kutimia kwa 97%-100%
Mwaka 2024 nikiwa kijijini kwa wazee niliota kuwa naenda kazini night shift nikamkuta mama anajifungua(yaani naingia usiku kazini japo huwa siendi usiku huwa naenda saa10...
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU) Kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ASPA limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa Watatu waliokuwa wakitorosha Mifugo aina ya Punda 21 kwenda Nchi jirani pasipo kuwa na kibali.
Kamanda wa Kikosi hicho, Kamishna...
Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo.
Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
Salaam!
Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu.
Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana.
Move background ni kuanzisha Dola ya Kushi. Kushi Empire, hii yaja na mabadiliko ya viongozi Afrika nzima.
Kiongozi wa mpango...
Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo.
Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua...
"Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?".
Mbunge mteule wa...
Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.
Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni...
Hello habari njema kwa wana JF wote na leo hii naandika hii thread nikiwa kama mmojawapo wa wahanga ambao nishawahi pitia hiki kitu unakuta kuna wakati mtu anakuwa na shauku kubwa ya kuanza jambo jipya au kufanya kitu kipya kama kusoma kozi, kufungua biashara ndogo, au hata kufanya mazoezi...
Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
Hakika michezo ni kiungo muhimu sana katika jamii zetu,michezo imeua nguvu za gachagua katika kusababisha maandamano yasiyo na msingi na sapoti,
Wakenya wapo njiani kuja kuwashabikia Morocco!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.