ugeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  2. mngony

    Ni sawa Waziri Chana kukutana na Balozi wa Urusi leo wakati tunapokea ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani?

    Ni kweli uliowazi kuwa mataifa makubwa haya matatu ya Marekani ,Urusi na China yanakimbizana na kupishana Afrika kijaribu kuongeza ushawishi wao kisiasa na kuongeza ushirikiano pamoja na kukuza biashara. Ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani ni hauko mbali na malengo hayo. Kila mtu atakuja kwa...
  3. mngony

    Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  4. K

    SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Takriban miaka miwili iliyopita Dunia ilipokea ugeni hatari bila hodi . Mgeni huyu alitembelea maeneo mbalimbali kuanzia bara la Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Australia pamoja na bara letu la Afrika. Kwa nchi yetu, mgeni alibisha hodi kupitia mkoa wa Arusha na Kisha kusambaa...
  5. NYUNDO YA MOTO

    Uzoefu na ugeni katika mapenzi ulivyosababisha kula kitumbua kwa shida au kutokula kabisa

    Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana...
  6. B

    Kesi ya Mbowe: Faraja iliyoje kupokea ugeni Mzito

    Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani: Kwa hakika mtenda mema hajifichi. Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu. Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu. Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano...
  7. J

    Posta Tanzania yapokea ugeni kutoka Posta Kenya, lengo ni kukuza mahusiano na ushirikiano wa kibiashara

    POSTA TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA POSTA KENYA Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amepokea ujumbe kutoka Shirika la Posta Kenya. Ujumbe wa Posta ya Kenya umeongozwa na Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Bw. Daniel Kagwe akiambatana na Maafisa waandamizi...
  8. HUKU ABROAD

    Ugeni wenye Faida

    Naitwa best , nipo Dar ni ni mgeni kwenye jamii forum na fursa nazozitoa kushirikisha vijana mawzo wenzangu kwenye jarida langu liitwalo online magazine tanzania Dhumini la jarida Hilo ni kumsikikiza mawazo tofauti tofauti ya vijana wenye vipaji hili kuhamasisha jamii juu ya malezo ya...
  9. Fohadi

    Mambo ya kufanya ukiwa ugenini

    Huu ni uzi maalum kwajili ya kukumbushana baadhi ya vitu vidogo vidogo ambavyo huwa tunavipuuza lakini kuna muda vinaweza kutucost sana na kutusababishia matatizo. Inaweza ikawa iliwahi kukutokea wewe au jirani yako. Binafsi naanza kwa kuwapa mbinu mbili:- 1. Ukiwa ugenini au sehemu yoyote...
Back
Top Bottom