basi

 1. E

  Serikali inakusanya Tshs. trilioni 211.2 kwa mwaka? Kama ni kweli basi neema yaja

  Kwa mujibu wa website ta ATE Serikali inakusanya trilioni 17.6 kwa mwezi sawa na trilioni 211.2 kwa mwaka, yaani kwa mkwanja huu hamna wasiwasi SGR itakamilika kwa wakati na bwawa la nyerere nalo hamna shida litajengwa, nimeweka kiambatanisho hapa chini https://ate.or.tz/sites/default/files/TZA...
 2. N

  Kama hii ni kweli, kocha wa Yanga Nasreddine Nabi anajichimbia kaburi

  Kama ni kweli basi Mwarabu wa watu anajichimbia kaburi historia ya kocha klabu zetu haswa yanga kuja na wachezaji wa nchini mwake siyo nzuri, kwanza wakiwa chini ya kiwango atalazimisha kuwapanga. Wenzao watawachukia. Wachezaji hao wataanza kulalamikia viwanja vibovu hapo itabidi wapangwe...
 3. Meneja Wa Makampuni

  Mnaoshindana na Diamond na ninyi basi anzeni kukata viuno ili mshindane vizuri

  Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond. Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu. Sasa mimi naona ili...
 4. A

  Tupeni basi Connection Wazee wa hivi vitu?

  Asee habari humu!? Hamjambo wote, Niende kwenye mlengo wangu moja kwa moja kuna inshu imetokea kwenye zile za kupata vitu free, kwa watu zimeloga, ila najua kwa kuna watu bado wana ujuzi humu, ila kuwajua wakupe michakato jinsi ndo shida, Tupeni connection za kuzipata au tuzichaji tu kwa...
 5. Mlenge

  Nini chimbuko la jina Basi Haya?

  Pana eneo Dar es Salaam linaitwa Basi Haya. Nini historia/sababu ya jina hilo?
 6. P

  Waziri analeta bajeti inayomkamua mlalahoi huku amekunja ndita, zikiliwa hawajibiki wala hatimuliwi. Hili lifike mwisho

  Inauma sana! Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mtu aliyeko ktk dunia hii Wananchi hasa walalahoi wamekuwa kama ni shamba la Bibi, walaji wa mavuno hayo ni hao wanaowapangia wananchi kulipa Kodi za ajabu ajabu, Bajeti hii, inapokuja na Kodi ya nyumba kuingizwa kwenye mfumo wa Luku, aliyelengwa...
 7. figganigga

  Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

  Salaam Wakuu, Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma. Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele. Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna...
 8. Shujaa Mwendazake

  Chimala: Basi la Isamilo lapata ajali, linadaiwa kusababisha vifo 3

  Nimesikia taarifa ya ajali ya Basi la Kampuni ya Isamilo kutoka kwa kanda ya Ziwa kwenda Mkoani Mbeya majira ya kati ya saa Tisa na saa kumi alfajiri baada ya kupita kidogo Chimala. Iasemekana kuna vifo vya watu 3 akiwemo katoto kadogo, hatuji chanzo cha ajali lakini najiuliza hawa madereva...
 9. J

  Basi la Classic kutoka Kampala lililopata ajali Shinyanga lilikuwa limebeba Wazanzibari tu?

  Kupitia taarifa ya habari ITV wameonekana abiria waliopata ajali ya basi la Classic kutokea Kampala kuja Dar es Salaam wakielezea namna ajali hiyo ilivyotokea. Majeruhi wote waliohojiwa ni Wazanzibar na abiria watatu waliofariki ni Wazanzibar. Naibu waziri wa mambo ya ndani ambaye ni Mzanzibar...
 10. chagu wa malunde

  Hili sio Bunge bali ni 'genge la watafuna kodi za wananchi'

  Kama wananchi maskini na wasio uhakika wa maisha yao wanakamuliwa kodi zao kisha zinatumika kulipa wabunge wa namna hii basi ni maumivu makubwa kwao Kwamba bunge ambalo ni sehemu ya wanannchi ambao lilituma wawawakilishi wao alafu hao wawakilishi wanaenda Bungeni kama wamevaa nguo za disko na...
 11. Z

  Ole Sabaya anatetewa na Wananchi wasiokuwa na mihemko wala Visasi vya Siasa Uchwara za Jimbo la Hai. Acheni haki itendeke

  SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali nimeanza kumfatilia vema kipindi ametatua tatizo la utapeli lililowapata zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo cha...
 12. R

  Kama Halima et al wanalipwa hela wasizostahili/za "wizi" na Mamlaka zimebariki, basi mwenye nafasi ya kulipwa asichostahili ni SAWA

  Tusiwe na double standards. Halima et al wanalipwa mabilioni bila kuwa wabunge kama sheria inavyotaka na Mamlaka Kuu za Serikali zimebariki including the Executive, basi waacheni na wa Wizara ya fedha nao "wapige" pesa kama akina Halima wanavyopiga pesa. Simple!
 13. Fohadi

  Jifunze njia pekee ya kupamabana na USALITI kwenye mahusiano

  Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu sana na ukikipata basi ni bahati na itabidi upambane usikipoteze. Kila mtu ataongea mengi na atatoa...
 14. Synthesizer

  Kama CCM wakifuata utaratibu wao wa kutompinga Rais aliyepo katika kuteua mgombea, basi Samia Suluhu anaweza kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 14

  Kumekuwa na ubishi kuhusu kama kwa sasa Samia Suluhu anaongoza awamu ya tano au ya sita. Labda hilo sio jambo la maana. Jambo la msingi ni kwamba rais Samia Suluhu anaongoza awamu ambayo haitambuliki kikatiba kama ni awamu yake ya kwanza ya uongozi, bali amechukua madaraka ya uraisi kutokana na...
 15. Infantry Soldier

  Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

  Good afternoon JamiiForums. ----- Samahani ndugu yangu. Nimetoa mada hii kwa muda ninaifanyia editing kidogo kisha itarudi hewani soon ----- USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 16. Sam Gidori

  Mombasa: Kondakta wa basi la shule mbaroni kwa kudaiwa kumbaka mtoto wa miaka 5

  Polisi katika Mji wa Mombasa nchini Kenya wanamshikilia kondakta wa Basi la Shule kwa madai ya kumbaka mwanafunzi mwenye umri wa miaka mitano alipokuwa akimpeleka nyumbani kutoka shule. Mwanafunzi huyo wa Shule ya Msingi Maryjoy mjini humo alikuwa akirudishwa nyumbani, na anadaiwa kubaki peke...
 17. Rockcity native

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...
 18. N

  Kama Bill gates ni mbakaji basi wanaume wote Hamfai

  Bill gates
 19. stakehigh

  Kwa maneno ya Lissu, basi chadema haina political figure yoyote nchi nzima

 20. B

  Ukipata matatizo watu wakafanya sherehe bila kuwepo wanaosikitika na wewe Basi una roho mbaya na katili

  Paul Makonda toka ametumbuliwa hakuna mtu aliyewahi kujitokedha adharani kusikitika kuondoka kwake, hata Wana CCM wa ngazi zote hawakuwahi kusikitika naye si mitandaoni Wala adharani. Huyu mtu ana roho mbaya na si mtendaji wakikabidhiwa watu aongozi. Ole Sabaya ametumbuliwa leo hadi Bukoba...
Top Bottom