kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Bujibuji Simba Nyanaume

  Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

  Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar. Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa. Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
 2. Farolito

  Ajinyonga kwa kutotajwa na Padri kwenye misa ya Shukrani

  Mwanaume mmoja kutoka wilayani Ludewa amekatisha uhai wake kwa kujinyonga sababu ikiwa ni kutotajwa na padri katika misa ya Shukrani. Bwana huyo na mke wake walikuwa wakitoa Shukrani katika Kanisa la Moravian kwa mtoto wao kupona lakini kwa sababu zisizofahamika Padri aliyeongoza misa hio...
 3. ROBERT HERIEL

  Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

  MAMBO YANAYOFANYA VIJANA WA KARNE YA 21 WASIENDE KANISANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Anayeandika hapa ni kijana msomi mbobevu wa Biblia, na vitabu mbalimbali. Mbali na hivyo ni msomi wa ngazi ya shahada. Hivyo anaandika akiwa na Uelewa wa kiwango cha juu wa kile akisemacho. Vijana hawaendi...
 4. Bujibuji Simba Nyanaume

  Jinsi nilivyokuwa nadhani nimeokoka kumbe ni wakala wa ibilisi kanisani

  Mwaka 2017 nilipata neema ya wokovu, niliombewa sala ya toba na nikakaribishwa rasmi kundini, kwenye kuitenda kazi ya BWANA. Maisha yangu kabla ya wokovu yalikuwa ni maisha meusi, ulevi, umalaya, uvutaji wa mioshi mbalimbali, uhuni, udhalimu, uporaji, udhulumaji, na ubazazi usiolezeka. Maisha...
 5. comte

  Baa wanapokuwa waungwana zaidi kuliko kanisani kwa mkosaji

  Simu yake iliita kwa Bahati mbaya wakati wa ibada akiwa kanisani. Mchungaji alimfokea. Waumini walimzonga baada ya maombi ya ibada Wakati anarudi nyumbani, njia nzima mkewe aliendelea kumsema kwa kutokuwa makini Akajisikia vibaya sana, huzuni, na aibu juu. Hakutia miguu tena kanisani . Jioni...
 6. D

  Story of Change Msibani mavazi ya heshima Kanisani ovyo

  Nyanja: Maendeleo ya Jamii Suala la nidhamu ya mavazi katika ibada takatifu ya Mungu limekuwa sugu na kujipatia uhalali ambao haupo hata kwenye taratibu za mifumo halali ya ibada duniani. Suala hili limeleta...
 7. Erythrocyte

  CHADEMA: Matamanio ya IGP Sirro anayosema amejifunza Rwanda kuhusu Polisi kuingia Misikitini na Makanisani na kuandaa mitaala ni kinyume na Katiba

  Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina . Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
 8. J

  Askofu Gwajima: Kamati ya Bunge imenifanya nionekane kama Jitu baya na Korofi, sasa hili ndio lililojiri kikaoni

  Askofu Gwajima yuko mubashara Rudisha Online tv anatoa ufsfanuzi na kujibu yale yaliyosemwa na kamati e maadili ya bunge. Updates; Niliitwa na kamati ya maadili ya bunge na kunihoji yale niliyohubiri Kanisani nami nikawaambia wao hawana mandate ya kuhoji kile kilichotokea Kanisani ambapo...
 9. Erythrocyte

  Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

  Hili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa MwanaCCM, huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida. Kama...
 10. Jasusi Mbobezi

  Wachungaji wa Kisabato Wachana mashairi ya Hip Hop kanisani

  Jamaa ni wakali sana, msikilize huyo wapili alivyo flow na biti. Anaweza fanya collabo na nani?
 11. Bwana PGO

  Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

  Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary? Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na baadhi ya Askari Wanyama pori wanaozea gerezani kwa kufanya...
 12. tyc

  Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

  Mahakama ya Mkoa wa Kinondoni imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Elisha Mushi, mkazi wa Ubungo Kibangu baada ya kuthibitika kumlawiti mtoto wa miaka minne kanisani. Mushi, ambaye alikuwa akifanya kazi ya kufundisha watoto kanisani anadaiwa kutenda kosa hilo Februari 19, mwaka huu katika...
Top Bottom