Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.
Msimamo wa NBC Premier League msimu wa 2026/27 umeanza kuonyesha ushindani mkubwa baada ya michezo mitatu kwa kila timu. Yanga inaendelea kushika nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 9, sawa na Simba, lakini inaongoza kutokana na tofauti kubwa ya mabao. Yanga imefunga mabao 11 na kufungwa mawili...
Mimi nilijua Simba haiwezi kuwa na mchezaji wa X factor siku ya mwisho ya dirisha la usajili, intelijensia yangu iliniambia hawawezi kusajili mchezaji ambaye anaweza kutikisa.
Kwa hiyo ili kuwatia hasira mashabiki wao mimi nikapita na hiyo X factor nikaileta kwetu, mashabiki wetu wanafurahi...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC, wameingiza kitita cha Shilingi bilioni 4.6 kufuatia kukamilisha mauzo ya mastaa wao wawili wa kigeni, Laurindo Aurellio ‘Depu’ na Allan Okello.
Mshambuliaji Depu amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya Petro de Luanda ya Angola kwa ada...
Kiungo mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, amerejea tena katika Klabu ya Yanga SC baada ya kuacha alama kubwa katika kipindi chake cha awali ndani ya timu hiyo.
Aziz Ki aliitumikia Yanga SC kwa misimu miwili, akifanikiwa kutwaa tuzo mbalimbali ikiwemo Mfungaji Bora wa Ligi Kuu...
Mabingwa watetezi, Yanga wameichapa 3-1 timu ya Namungo kwenye uwanja wao nyumbani. Yanga imeanza ligi kuu kwa mguu mzuri baada ya kushinda mechi yao ya kwanza wakiwa ugenini na kuvuna alama 3 muhimu.
Yanga SC imeanza kampeni yake ya Ligi Kuu ya NBC kwa ushindi, ikiondoka na alama tatu muhimu...
Kesho Yanga watamtambulisha mchezaji wao mpya katika dimba la KMC na wanachama na Mashabiki wa Yanga watapata nafasi ya kwenda kumona na kupiga naye picha kwa Shilingi 2000 tu
Hakika huu ni moja ya ubunifu mkubwa sana kwa Yanga Hongera kitengo cha Habari na mawasiliano cha Yanga kikiongozwa na...
Timu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa leo, Agosti 12, 2026, Zanzibar.
Goli la Yanga limefungwa dakika 31 na Albert Kangwanda ambaye ni ingizo jipya katika dirisha kubwa la usajili
================
Nani kuanza msimu na...
Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao.
Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi .
Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
Mabingwa wa NBC mara 5 Mfululuzi Yanga SC leo wanafanya Mkutano wao Mkuu wa Mwaka na Uchaguzi , katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki, .
Na mojawapo ya Ajenda kuu ni Uchaguzi wa kuchagua viongozi katika miaka mingine minne.
Nafasi ya Urais ambaye mgombea ni Eng. Hersi Said akiwa yupo pekee yake...
Hakika hawa ni 𝐖𝐀𝐓𝐀 𝐏𝐋𝐄𝐘𝐀𝐀𝐀
Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya kwa kuwasajili wachezaji wa kigeni, huku ikieleza matarajio makubwa kutoka kwa nyota hao wapya.
Miongoni mwa wachezaji watano waliosajiliwa kutoka nje ya Tanzania, wa kwanza...
Klabu ya Young Africans imemtangaza rasmi kocha raia wa Afrika Kusini, Manqoba Mngqithi, kuwa kocha wao mkuu mpya atakayeongoza benchi la ufundi la mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania Bara.
==========
sajili wa Mwaka Huu ni wamoto sana Wananchi..
Viongozi wetu wako makini kwa Utulivu na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na MWANANCHI NAMBA MOJA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na leo alimtembelea na kumpa pole mchezaji wa timu ya wananchi Pacome Zouzoua, ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam kufuatia majeraha aliyoyapata wakati wa...
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya shilingi milioni 100 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kukiuka kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara katika mchezo namba 233 dhidi ya JKT Tanzania, uliomalizika kwa Yanga kushinda mabao 3-0.
Adhabu hiyo imetolewa...
Yanga wamelitumia tena Nyumba lao ambalo walilipa jina la Nyumba la maajabu pale Major Isamuhyo Stadium katika mchezo wao wa ligi kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania.
Tarehe 3 Mei, 2026 Yanga waliitumia nyumba hiyo kwenye mchezo wao dhidi ya watani zao wa Jadi Simba na adhabu kali ikatoka kwao...
Yanga wanashuka dimbani muda huu kucheza mchezo wake wa ligi kuu NBC dhidi ya TRA.
Moja ya mchezo mzuri na muhimu kwa Yanga kujihakikishia ubingwa
Lakini pia hata TRA nao wanataka kumaliza top 4
===========
Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka...
Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Foutanegate katika mchezo wa ligi uliochezwa leo.
Mabao ya Yanga yamefungwa na Stephane Aziz Ki Pacome na Depu, yaliyowahakikishia pointi tatu muhimu.
Baada ya ushindi huo, Yanga imerejea kileleni...
Yanga imeendelea kuwa na moto, inautaka ubingwa "wake”, hiyo ni baada ya kuichapa Namuongo, hivyo kuendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi mbili dhidi ya Simba ambayo inashika nafasi ya pili.
Mechi ipo live Yanga yupo mbele hadi sasa
#############
Allan Okello...
Kwa mara ya kwanza timu ya Yanga imepoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2025/26 mbele ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Airtel, Singida, leo Mei 13, 2026.
#########
Yanga yupo uwanjani tena kuzisaka alama 3 dhidi ya Dodoma Jiji. Je ni Dodoma Jiji au Yanga kuondoka na alama 3 ...
Yanga wapo Mbele hadi sasa wakiwa wamefunga magoli matatu. Magoli mawili yamefungwa Okello na goli moja limefugwa na Max Mpia
Mechi bado ipo live
Yanga wanaendelea na ubabe kwenye ligi kuu ya NBC baada ya leo kuondoka na ushindi mnono wa magoli matatu kwa sifuri dhidi ya Coastal Union na...
Match Day
Kariakoo Derby
Vikosi VINAVYOANZA.
Updates...
Timu zote zimewasili tayari kwenye Uwanja wa Mchezo. Major Isamuhyo Mbweni...
Kikosi cha Yanga kimegoma kuingia kwenye vyumba vyakubadilishia Nguo.
Wameingia kwenye nyumba ya pembeni...
Sasa ni saa 11:18jioni
DK 1
Mpira umeanza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.