Wakuu.
Ikitokea, haujaridhishwa na mwenendo wa Bei ya mafuta, na unataka gari ambalo 99% misele Yako ni mjini bila kwenda nje ya mkoa wako, na unakaa Nyumba ambayo unaweza kupark gari na kuchaji, basi moja kati ya EV hizi zitakufaa;
1. Nissan Leaf (2018 - 2024)
Ni vizuri kuanza na gari...
Nyeri Governor Mutahi Kahiga has accused his Deputy Governor’s driver of allegedly using the Deputy Governor’s official vehicle to pick up and drop off women at night.
Speaking about the matter, Kahiga claimed that he once followed the driver after he allegedly picked up several women from a...
Wholesale Used Cooking Oil Supplier for Germany: The 2026 Guide for Industrial Buyers and Suppliers
Choosing the right wholesale used cooking oil supplier has become one of the most important sourcing decisions for German biofuel producers, oleochemical plants and feedstock traders. Demand for...
Chini ya mkataba wa NATO, shambulio la kijeshi dhidi ya mwanachama mmoja huchukuliwa kuwa ni shambulio dhidi ya wanachama wote. Hata hivyo, kwa miaka kadhaa Urusi imetumia mbinu mbalimbali zisizofikia kiwango cha vita—ikiwemo operesheni za hujuma na mashambulizi ya mtandaoni—kudhoofisha...
Majeneza ya Kukodi (Casket Rental).. Haya ni sawa na kusema ni 'used'
Kitu pekee kitu pekee sana na chenye faida kubwa lakini hakipatikani kwa urahisi nchini Tanganyika.. Hiki ni kile kinachojulikana kama Rental Caskets (Majeneza ya Kukodi), ambayo hutumiwa zaidi katika nchi za Magharibi...
Nina list yangu (Top 5) ya Magari kutoka JP, yaliyotengenezwa kuanzia 2005 hadi 2015, yenye utumiaji mzuri wa mafuta na Reliable. Mnaionaje?
1. Toyota Vitz /Yaris 2010 - 2013.
Hapa naongelea 2nd na 3rd generation, especially engine ya 1.3L petrol (1NR FE), rahisi sana kupata 14 km/L hadi 16...
Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa.
wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
The Uganda Revenue Authority (URA) has seized 80 suspected smuggled used computer monitors following an intelligence-led operation at the Malaba border.
URA said it received information that five motorcyclists planned to smuggle the monitors into Uganda through the Nile B panya route at around...
Donors have been facing significant challenges in obtaining assurance that the funds provided are being used to implement the intended projects. In addition, they still lack confidence in the reliability of the reports submitted on projects implemented.
To help donors gain assurance on the...
Kwema wakuu?
Kuna kitu nimewaza hapa. Mfano mtu anajenga akanunua mirunda au Marine Boards. Akimaliza kujenga ni wazi hivi vifaa havitotumika tena. Hua vinaendaga wapi baadae?
Kuna watu hua wananunua au kuuza hivi vitu? Nimewaza wajenzi wengi wanaweza kuokoa gharama kubwa kama kutakua na...
Wandugu Water Dispenser nauza tsh 50,000 maongezi yapo kidogo.
Inatoa maji baridi na maji moto
Ina kasoro ndogo.
koki moja ya kutolea maji imekatika na kile cha ndani ambacho kinatobolea dumu la maji kimekatika vyote unaweza weka
Kwa mawasiliano 0657438581
ipo Kinyerezi
Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma.
Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
Habari za weekend Team,
Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu...
Tume ya Chande iliteuliwa na watawala ikiwa na malemgo ya
Kupata ukweli wa nini kilitokea? Nani alihusika? Na kwa nini ilitokea hivyo?
Kuwajibisha ikiwa kuna mtu alikiuka sheria au maadili
Kutoa mapendekezo ili kuweza kuzuia jambo hilo lisitokee tena.
Lakini jambo kubwa la kushangaza ni pale...
Ukiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini.
Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani.
Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+
Na hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.