Dume is a former freguesia ("civil parish") and former bishopric in the municipality of Braga, northern Portugal, which remains a Catholic titular see.
In 2013, the parish merged into the new parish Real, Dume e Semelhe. It has a population of 3 081 inhabitants and a total area of 4.34 km2.
Je, mbona watu wakichapiwa wake zao wanawafanya mbaya wanaume wenzao?
Mbona sisi binadamu tumejipa uspesho sana tofauti na wanyama?
Kama jogoo lisivyochagua wala kudhani jike linamilikiwa na dume fulani.. Mbona mimi nikimchapa mke wa mtu yeye aje kunilalamikia mimi?
Inamaana hajui kuwa jike...
Msaada kwenye tuta wanajamvi
Anaefahamu dawa ya uhakika ya kutibu Tezi dume kwa wazee anijulishe tafadhali
Whether iwe best hospital au miti shamba ushauri wowote mzuri napokea
Asanteni kwa ushirikiano
Mkisukumo wa maji wa kiroboti ukisaidiwa na AI (Akili Mbandia) unawasaidia wanaume waliovimba tezi dume kurejesha ubora wa maisha yao, huku mgonjwa mmoja akisema matibabu hayo yamempa "maisha ya kawaida tena."
Hospitali ya General ya Cheltenham imekuwa kituo cha umahiri katika eneo la kusini...
Mimi kama mhanga, nimefarijika na miongozo mipya ya kupima matatizo ya Tezi Dume na kuacha kudhalilisha wagonjwa kwa kuwaingiza kidole katika D2.
## Miongozo Mipya ya Tezi Dume Yafungua Milango ya Kuwapima Wanaume Chini ya Miaka 50 na Zaidi ya 70
Imeandikwa na Paige Cockburn (Timu ya Uandishi...
Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa.
Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na...
Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani:
1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia)
2. Kushindwa kuanza mkojo haraka unapokwenda chooni
3. Mkojo kutoka taratibu/dhaifu badala ya kwa nguvu...
Mahakama Kuu ya Nairobi ilimpata Meja wa zamani wa KDF Peter Mugure Mwaura na hatia ya kumuua mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika Kituo cha Anga cha Nanyuki.
Ushahidi wa kiuchunguzi uliimarisha kesi dhidi ya Mugure huku uchunguzi wa DNA ukithibitisha kwa uwezekano wa 99.9% kwamba...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Mfumo dume ni mfumo wa Kihistoria unaoelezewa kwa upande mmoja (Mbaya) hivi leo, kwenye kizazi chenye kulea na kuendekeza huruma kimatukio, kuna upande wa Mfumo huu haukusimuliwa ndio maana leo kuna majanga tunayoyaona.
Mfumo dume ulitengeneza HALI YA UMILIKI kwa Wanaume, kuwaweka wao kuwa...
Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka ushauri?
Mzee wangu alifanyiwa operation ya tezi dume mwaka2016 akawa freshi tu Sasa mwaka Jana mwezi wa 8 alifanyiwa kipimo Cha tezi dume Cha kupitisha kwenye njia ya mkojo baadae kikamletea shida korodani zikawa zinamuuma sana korodani moja ikageuka inabid...
Wanawake wanaojiuza hupewa majina mabaya. Kama malaya, changudoa, vicheche, milupo na mengineyo. Wanaume ambao ni wanunuzi huonekana ni wajanja wa wa 'tauni' wanaojua chimbo zote za wajasiriamili hao wa kike.
Thamani ya bikira ni kwa mtoto wa kike tu, wa kiume akitoka na 'demu' umri wa shangazi...
Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume; daktari anasema uvimbe ulipatikana 'miezi michache iliyopita,' Waziri Mkuu alipata tiba ya mionzi miezi 2.5 iliyopita, na ugonjwa huo umetoweka.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu afichua kwamba alifanyiwa matibabu ya saratani ya...
Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haka kademu hapa mtaani Sasa huyu jamaa akaanza kukaa nastress na kulia
Yaani tupo nae hapa kijiweni anawaza mpaka kuoga haogi ananuka...
Miaka kadhaa liyopita nilikuwa nikiishi na mwanamke ambaye alikuwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku na mchana,nilidumu naye kwenye mahusiano miaka minne tu tukaachana.
Miaka mitatu baada ya kuachana (2023 ) na mimi nikajikuta nina tatizo lile lile lake, tofauti yetu ni moja tu mimi...
📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake.
Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
Nature ni nature kwa kila kumbe
Ni ngumu Sana kwa kiumbe cha kike kujamiiana bila sababu binafsi Iwe mapenzi
Pesa
Au faida flani. Hivi hivi sio kweli
Ngoja nilale kama chura jike
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.