Ni aina kubwa ya ufisadi mkubwa wa kutisha ambao katika historia ya Tanzania na nchi nyingine duniani labda haujawahi kutokea. Na tatizo kubwa ni kwamba unafanywa na viongozi wakuu wa serikali pamoja na ndugu zao.
Ni hivi. Kuna wakuu wa serikali na ndugu zao ambao wapo katika nafasi ya kuwa na...
Kuna slogan moja kama wamejipa CCM kuwa hakiwa raisi muislamu basi maisha yatakuwa kama ya marehemu mzee mwinyi au jakaya.
Ila huyu kila anacho shika kinakwenda vibaya sijui kama 2030 tutafika vipi.
Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala.
Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.
Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma.
Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
Habari wandugu.
Harufu ya UFISADI.
Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika .
Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika
Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.
Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.
Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
Tunamlaumu Nasaoro Katuga kwa ku expose mali za kiongozi wa CHADEMA.
Wakili wa serikali yuko kwenye minyukano mahakamani tunategemea aje kusema Heche ni malaika wa Bwana ??? Anapiga kwenye mishono anapoona pana madhaifu.
CHADEMA tujenge utamaduni wa uwazi kwenye masuala ya fedha na mali...
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kuwa moto huko CHADEMA. CHADEMA wanaendelea kuukataa Unyumbu. CHADEMA wanaendelea kukata minyororo ya Umbumbumbu na utumwa .
Sasa wameona kumbe walikuwa wanatumika kuwaneemesha viongozi wao . Wameona kuwa kuna ufisadi mkubwa sana unafanywa na viongozi...
Mimi niliwahi kuwa mkazi wa eneo linaloitwa Namanga Makangira, ni karibu sana na Oysterbay na Msasani Makangira.
Enzi hizo, miaka ya 2000 mpaka 2011, eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na Ubalozi wa Marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.
Ubalozi ulikuwa tayari kuwalipa...
Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji.
Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
Kulingana na shida mbalimbali za watumishi wamekua wakiuza madeni yao ta bodi benk tofauti tofauti,miaka ya nyuma bodi iliweka kiwango cha juu na kulipwa na bank mfano NMB,
Inapolipwa bodi inakuja na statement ya kiasi unachodai kama ziada iliyolipwa na bank NMB au CRDB,Kisha inakwambia andika...
Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.
Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua...
Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi...
Shalom Makamanda,
Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
Seneta wa Makueni, Daniel Maanzo, amedai kuwa baadhi ya maseneta walipewa hongo ili kuunga mkono hoja ya kumwondoa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Maanzo alisema alifikiwa na watu waliodai kumtaka akubali kiasi cha KSh10 milioni kwa...
Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?
Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi...
Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
Baada ya kujizolea umaarufu mkubwa zaidi hasa baada ya tukio la kuchoma vitenge mwaka 2024, hatimae Baraza la Wanawake Chadema taifa BAWACHA wanajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote kuanzia sasa, dhidi ya tuhuma mbalimbali za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama zinazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.