uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa matumizi ya Limao, ndimu kwenye supu, ladha inapotea.

    Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao. Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na choma na Samaki wa kukaanga sasa yemenishinda kabisa. Huwa nayatamani sana malimao yanayoletwa na supu...
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Njia za Uhakika za Kujihakikishia Umaskini

    Mwekezaji nguli Charlie Munger aliwahi kusema: "Nieleze tu mahali nitakapofia, ili nisikanyage hapo kabisa maisha yangu yote." Kama unataka hakikisho la 100% la kubaki kwenye umaskini bila kujali unalipwa mshahara mkubwa kiasi gani au unaishi nchi gani, fuata mfumo huu wa maamuzi ya kila siku...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  5. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Je una uhakika yale unayofunga na kuomba ndio GOD'S WILL aliyo nayo juu yako?

    “si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.” (Luka 22:42) Setfree Psalm_23 Psalm 103 StudentTeacher Ni ipi siri ya maisha, ni kipi kipo nyuma ya ukweli wa maisha yetu. Nani ni muendeshaji wa kila hatua na kuanguka katika maisha yetu? Je kila mtu amewekewa limits na amekuwa regulated hata afanye...
  6. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama wa uhakika

    🔐 SMART EYE SECURITY SERVICES 📹 Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. 👁️📹 🏠 Nyumbani 🏪 Madukani & Biashara 🏢 Ofisini 🏭 Maeneo ya kazi 📍 Location: Dar es Salaam 📞 Piga/WhatsApp: 0622667749 SMART EYE...
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Ndugu Humphrey Polepole. Mwenye taarifa ya uhakika ya mahali alipo tafadhali

    Naomba mwenye taarifa zaidi anijuze mahali alipo na majina ya waliohusika kumpoteza kuanzia aliyetoa wazo mpaka watekelezaji wake. Asanteni.
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukiwauliza wana JF kumi kama uchawi upo, 8 kati 10 watakuambia upo ila ukiwauliza hao 8 kama wana uthibitisho 95% ya maelezo utagundua hawana uhakika

    Mshana Jr usiniroge bro ni maoni yangu tu na data za kutunga tunga😁
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna uhakika kiasi gani kwamba ni kweli Nchimbi mwenyewe amejiuzulu siasa?

    Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake. Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu kajifungua, hana uhakika kama mtoto ni wangu au wa mumewe

    Wakuu Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma. Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye. Tunasolve vipi hii case wataalamu?
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika usiotia shaka... kuwa sasa CCM ina matatizo mazito

    Kama ni kidali poo, mama Samia analo! Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza! Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga! Ngoma waicheze wajuvi. Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa mama Samia ana imani naye kama Makamu wa Rais. Kwa matamshi yake ya...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika

    Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni mtu mmoja tena anamiaka 82! na anataka kumpa mtoto wake ambaye ni mwanajeshi fake na mapepe sana...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni muuzaji wa jerseys na una hii jersey, pliz check me

    2003/2005 edition
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hivi tuna uhakika kuwa hawa watoto wa late 2000s na 2010s wanaujua ukimwi nje ndani. Tuendeleeni kuwakumbusha

    Hivi ukimwi sio tishio tena? Ni kweli maambukizi yameshuka au watu wanaishi nayo kishkaji kutokana na madawa? Mnakumbuka kipindi kile ndugu yako kila mtu amemkimbia kwake na mkimchungulia dirishani amebaki mifupa na macho meupe na amejikatia tamaa kusubiria kifo. Mnakumbuka kipindi kile kila...
  20. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Una mshauri Binti aachane na wazee, una uhakika huyo Binti ana uwezo wa kujihudumia?

    Punguzeni kihelehele, sifurahishwi na hayo mambo,mapenzi kati ya tusichana tudogo na vibabu yanashika Kasi sana, sasa una Kuta mdada sijui mmama kakoma eti hafurahishwi na hayo mahusiano. Binti anajielewa ye anajua anacho kipata Kwa huyo Mzee wee soko lako limepita unalazimisha aachane nae...
Back
Top Bottom