uhusiano

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania ⚡ Gubu la Kike; Uhusiano Siyo Vita! ⚡

    Katika miondoko ya pwani, wazee wetu husema: "Mwanamke ni siri ya nyumba, siyo dhoruba ya bahari." Lakini unajua maana halisi ya gubu la kike? Ni ile tabia ya mwanamke kugeuza nyumba kuwa uwanja wa mapambano. Kila kidogo kelele, kila unachofanya hakifai, na maneno ya dhihaka yanatoka kama...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Lango la Kiroho la July 1 na uhusiano wake katika Ulimwengu wa Giza

    Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa. Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni majira ya mpito ambapo milango ya kiroho hufunguka ili kuruhusu mabadiliko ya kiutawala, tathmini...
  3. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania Jenga Uhusiano Imara: Mwongozo Kamili

    Wanaume na wanawake wote wanatamani mapenzi, utulivu na kuhisi kuthaminiwa. Ukitaka uhusiano wako udumu, soma hii kwa umakini sana!! 1. Baki single mpaka umvutie mtu sahihi, mtu ambaye yuko tayari kukupenda bila masharti ya ajabu. 2. Jitunze mwenyewe. Jinunulie zawadi, jifurahishe na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba, Dkt. Juma Homera: Mchakato wa Katiba Mpya utaanza baada ya Maridhiano, muda ukifika Rais ataeleza

    Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera amesema mchakato wa kushughulikia suala la Katiba Mpya utatekelezwa na Serikali baada ya kukamilika kwa kazi za Tume inayoshughulikia masuala ya jinai pamoja na mchakato wa maridhiano unaoendelea nchini. Akizungumza June 17, 2026...
  5. Bishop Hiluka

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya matapeli wa mtandaoni na kampuni ya TTCL?

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu binafsi unaonyesha taswira tofauti. Katika kipindi cha miezi mitatu tu iliyopita, nimepokea jumbe nyingi...
  6. Slim5

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha Thamani ya Uhusiano Huu!

    Habari BaNdugu! Nakukumbusha Thamani ya Uhusiano Huu! Hoja kuu ni kwamba uhusiano wa muda mrefu zaidi kwa watu wengi si ndoa, urafiki, wala hata ule wa wazazi, bali ni ule wa ndugu wa damu. Ndugu hushiriki historia ya kipekee ya maisha kwa sababu wamekulia katika mazingira yale yale—wakila...
  7. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RUDN Yatambua Tanzania: Uhusiano Imara wa Kielimu

    RUDN University inajulikana kimataifa kama Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi. Kilianzishwa kwa lengo la kusomesha wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea duniani kote. Kwa Tanzania kutambuliwa na chuo hiki kikuu ni ishara ya nguvu ya uhusiano wetu wa kielimu na Urusi uliojengwa kwa miongo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mswada WA Sharia ya Uhusiano Kati ya US na Tanzania

    United States Senate Committee on Foreign Relations (.gov) https://www.foreign.senate.gov PDF A BILL
  10. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Upendo, wema na uhusiano kwenye jamii

    Habari zenu, Wengine shikamoon. Si ujanja,wala usistaduu, kwenye kuishi na watu,bali unyenyekevu kama tunavyofundishwa kwenye nyumba za ibada unaweza kutuweka katika mazingira bora na kuwa na jamii makini. Kwamfano nimechunguzaaa nimegundua wachamungu wengi Wana heshima kwenye jamii kuliko...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kuku wana uhusiano mkubwa sana na dinosaur

    Angalia wanavyofanana sana, Katika kutoa insight ya makala ninayoandaa kuhusiana na kuku nitagusia hili swala ambalo limeshafanyiwa uchunguzi na wanasayasi wengine. Ukimuona kuku ujue umemuona T.Rex mdogo Kwa kuthibitisha hili licha ya mfanano wao wa muonekano, chunguza tabia zakuku, Kuku ni...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi

    Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje na Maendeleo ya Kijamii na Familia wa Singapore Mhe. Zhulkarnain...
  13. Fene

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kukata uhusiano wa kidiplomasia na Uturuki

    Mkuu wa Majeshi ya Uganda na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua taharuki mpya ya Kidiplomasia baada ya kutoa maonyo makali dhidi ya Uturuki kutokana na uhusiano unaozidi kuwa mbaya kati ya nchi hizo mbili. Katika msururu wa machapisho yake kwenye X (zamani...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania US Senator (Democratic): Kwa yaliyofanyika 29/10, uhusiano wetu na Tanzania lazima uangaliwe upya

    Wamarekani bado wametukalia kooni, hawapoi wala hawaboi. Jeanne Shaheen a senior US senator from New Hampshire. ============= The violent suppression of opposition voices before & after Tanzania’s election was unprecedented in its history. Tanzania’s democratic backsliding is a red flag for...
  15. O

    JamiiForums Tanzania DP World imemfukuza kazi Sultan Ahmed bin Sulayem kutokana na madai ya mfanyabiashara huyo kuwa na uhusiano na Epstein

    DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo inayomilikiwa na Falme za Kiarabu (UAE), imemwondoa Sultan Ahmed bin Sulayem katika nafasi ya mwenyekiti na mtendaji mkuu kufuatia uchunguzi mkali kuhusu urafiki wake na marehemu Jeffrey Epstein. Kampuni hiyo Ijumaa ilimteua...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Algeria kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

    Algeria imeanza mchakato wa kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambayo yalisainiwa mwaka 2013. Uamuzi huu unaweza kuathiri sekta za kiuchumi kama usafiri wa anga, utalii, na usafirishaji wa mizigo kati ya mataifa hayo mawili. Mvutano katika uhusiano wa...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nani wako kwenye msafara wa Rais Dubai? Au kuna sura tunafichwa tusijue uhusiano wao?

    Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Starmer nchini China yaongeza wimbi la washirika wanaoiamini China na kuja kujadili kuimarisha uhusiano wao

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya juhudi za kurekebisha uhusiano wa Uingereza na China, nchi yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Namna mwaka 2026 utakavyoimarisha uhusiano wa kielimu kati ya China na Afrika

    Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya China na Afrika yaliyoanzishwa katika miaka ya hivi karibuni. Wakati mwaka 2026 ni wa mawasiliano...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nahofia kuchafuliwa kwa uhusiano wetu na Kenya

    Tangu kuja kwa Serikali ya Samia inaonekana kana kwamba kuna juhudi za makusudi za kuharibu uhusiano wetu na Kenya na Wakenya. Machafuko yaliyotokea Tanzania tangu Oktoba 29 mwaka jana, yamezidisha 'chachu' ya majaribio hayo ya makusudi ya kuharibu uhusiano uliojengwa kwa juhudi kubwa. Kisa ni...
Back
Top Bottom