Chivayo itakuwa alikuwa ni fixer (kishoka) na dalali wa watawala, matajiri na watu wakubwa maarufu Africa. Ipo siku deals alizokuwa anafanya na watawala zitakuja kufumuka na kuwa wazi hadharani.
Haiwezekani ikawa hakuwa na insurance policy ikitokea ameuwawa mambo yaachiliwe yaende hadharani.
Licha ya kushindwa kufuzu Kombe la Dunia, Cape Verde imeendelea kuonesha ushindani mkubwa. Katika mechi zake nne zilizopita ilifanikiwa kupata matokeo ya kuvutia dhidi ya timu kubwa kama:
Spain 0-0 Cape Verde
Cape Verde 2-2 Uruguay
Saudi Arabia 0-0 Cape Verde
Argentina 2-2 Cape Verde
Timu hiyo...
Robert Mugabe made that demand 10 years ago. Last week world leaders gathered in New York for the 81st UN General Assembly, the same fight is still unfinished.
Africa has 54 UN member states , more than a quarter of the organization, yet not one permanent seat on the Security Council.
The...
Hebu ukipata nguvu,
msikilize na kutazama facial expressions na body language za hao wazungu anaowapiga lecture, unaweza kuobserve kitu na kujifunza pia.
well done Dr.William Somoe Ruto, very able President of THE republic of Kenya for speaking for Africa. :1Head:
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu...
Dar es Salaam
Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam
Maduka yenye shughuli nyingi yanahitaji POS ambayo ni ya haraka, rahisi, inayopatikana mtandaoni, na muhimu kwa maamuzi ya kila siku.
Weka kipaumbele kasi kwenye kaunta
Mtiririko rahisi wa mauzo huwasaidia wafanyakazi kuwahudumia...
africa
biashara
biasharabora
bora
dar
dar es salaam
dunia
east afrika
faida na hasara katika biashara
hekima
jijini dar es salaam
kenya
kuchagua
maduka
mambo 10
mwala
pos
tanzania
ujuzi
world
President William Samoei Ruto, Commander-in-Chief of the Defence Forces of the Republic of Kenya, delivered a scathing critique of global governance structures at the 81st Session of the United Nations General Assembly in New York.
Addressing world leaders during the General Debate, Ruto argued...
Mtangazaji, muigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini Tanzania, Idris Sultan, amepata mwaliko mkubwa wa kuwa mmoja wa washereheshaji wa msimu wa 20 wa tuzo mashuhuri za The Future Awards Africa (TFAA) zitakazofanyika mwezi Novemba jijini Lagos, Nigeria.
Idris Sultan atajumuika kwenye jukwaa...
Kuna wanawake wengi nawafahamu kutoka kwao kimsingi imetokana na wao kuwa na makalio makubwa na uzuri mwingine kiasi wa ziada.
Naamini hali ni hivyo pia kwa wanawake wengi wa Tanzania wenye makalio makubwa, maumbile yao yamekuwa ndio mtaji wa uliowafanya kupata maisha mazuri. Yani bila hayo...
Inakuaje serikali inashindwa kutengeneza ajira wakati nchi bado Iko nyuma sana kimaendeleo na yapo maeneo mengi sana ya kufanyia kazi ?
Mfano ikawakusanya tu vijana wasio na ajira ikwapa kazi ya kutengeneza barabara za nchi nzima na kutandaza mabomba ya maji kila nyumba iwalipe elfu kumi kwa...
Mwenye interest asome hili andiko.
..........Congress implemented Clause 1, and the resulting elements of the offense are asfollows:
1. A person who owes an allegiance to the United States
2. Levies war or Adheres to an enemy of the United States and
3. Commits an overt act and
4. Possesses...
Binafsi nalaani unyanyapaa na roho mbaya Kwa wenzetu waliotoka South Africa
Hii inaonyesha ni namna Gani Watanzania wana tatizo la kufurahia anguko la wenzao
Tukumbuke hawa wenzetu walijaribu kwenda kusaka maisha lakini kinyume na matarajio Yao waliangukia pia, sio busara kuwazodoa mtandaoni...
Wakuu, habari za mchana huu.
Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka."
Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi.
Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers.
It wasn’t.
Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
Je , ni aina Gani ya ajira ambazo wasouth Africa au wapopo wamekuwa wakiwalalamikia wageni kuwa wamezichukua?
Je ni ajira zipi.
Najaribu kuangalia hili swala
Sote ni mashahidi kwamba,
Dr Samia Suluhu Hassan, alipokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi katikati ya janga la COVID-19 na katika hali ya majonzi, masikitiko makubwa na huzuni ya kitaifa baada ya kufariki Rais hayati John Pombe Magufuli akiwa madarakani, na akatuvusha salama.
In fact...
Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu?
Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata makazi pamoja na mahitaji muhimu ya maisha, ili waweze kuanza upya na kujitegemea?
Anonymous
Thread
africa
kutoka
msaada
nina swali
serikali
south africa
swali
watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.