Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufanya usafi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo kuondoa msongamano kwenye barabara zinazotakiwa kupitisha magari, sambamba na kusafisha mitaro iliyojaa majitaka...
Leo kwenye runinga chaneli E wamemuonesha mwathirika wa agizo la mkuu wa mkoa mhe. Chalamila la kukamatwa na kuwekwa mahabusu familia yote ya Mushi wa Madale, akihojiwa huyo bibi mwenye umri kama wa Maria Nyerere au Fatuma Karume(marehemu) alisema alipofika Dar baada ya safari ndefu kutoka Moshi...
Mjane wa Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Shinyanga, Mariam Mongi (86), ambaye ni mmoja wa wamiliki wa eneo lenye ukubwa wa ekari 10 lililopo Madale, Mtaa wa Scout, Wilaya ya Kinondoni, amesema alikamatwa na kuwekwa mahabusu kwa siku mbili kufuatia amri ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert...
Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona.
Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana.
Chalamila upandacho ndicho utakachovuna.
Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako.
UPDATE
Msikilize...
Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta kusafi lakini Pugu Kinyamwezi kuchafu.
Sasa tumekubaliana jambo gani? Kwamba kwa sasa tuingie kwenye...
https://www.youtube.com/watch?v=4-CwMyWk3wk
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amekiri kwamba Jiji hilo ni chafu, akisema Viongozi walijisahau kwa muda katika suala la usafi.
Chalamila ameyasema hayo Septemba 17, 2026 mbele ya Waandishi wa Habari, akizungumzia hatua...
Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi na mazingira yanatunzwa.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Septemba 17...
Sijui mwenzetu hukumwelewa mkuu wako kuwa speed ya kuzoa taka Dar ni ndogo ndio maana amji unakuwa mchafu
Ukaambiwa uifute tenda wasipewe madiwani wapewe kampuni zinazojiweza je UNATAKA KUMZUNGUKA mkuu wako?
Unaanza drama za kuleta Hao JKT kukamata wanaotupa taka je au unataka wachafuke...
Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi.
Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara.
Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
Kuna CID mpya imeanzishwa alongside Morogoro Road, pembezoni kabisa ya Mbezi Daladala Stand na Magufuli Bus Terminal.
Ni nani huyu mwenye mamlaka kiasi hiki kuja kuanzisha CID pembezoni kabisa mwa vituo vikuu au vitovu vya usafirishaji wa abiria!
Tangu Jumatatu ya wiki hii, gumzo kubwa mitandaoni ni kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kuwataka wamiliki wa mabasi ya abiria yanayotoka Dar kwenda mikoani kuanzia safari zao Stendi Kuu ya Magufuli iliyopo Mbezi Louis wilayani Ubungo.
Lakini pia, mabasi hayo yanapotoka...
Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno
Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno
1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala
2 Mtu anaenda Tanga, Moshi...
Kitu kinachokera na kufanya nisipende kutumia stendi za mabasi za umma kama Magufuli Terminal, ni mpangilio mbovu na vurugu. Serikali imetumia mabilioni ya pesa kujenga stendi zenye miundominu ya kisasa na muonekano wa kimataifa lakini siasa za kijinga zinafanya hizo stendi ziwe kama magulio ya...
Wakazi wa wilaya ya Temeke ni waathirika wakubwa wa msongamano unaosababishwa na malori ya bandari kavu zilizozagaa mitaani wilaya ya Temeke.
Barabara za Temeke na Mbagala hazipitiki kutokana na malori ambayo unasita kuamuru yaende Kwala Kibaha, huu ni uhujumu uchumi. Serikali imejenga reli ya...
Naomba kufikisha salaam kwa Rais Samia kuhusu Sakata la stendi ya magufuli!
Wamiliki wa mabasi wametumia kila njia kuomba kuonana na mkuu wa mkoa ili yafanyike mazungumzo kabla ya zoezi lakini ilishindikana.
Wananchi pamoja na wamiliki wa mabasi tumetoa maoni kupitia vyomba vya habari lakini...
Nimpongeze Kwa KAZI nzuri ya kurudisha mabasi Nane nane, Chalamila anafanya Jema litakalochochea uchumi, kitendo cha kuua stendi zote bubu Mtaani na shekilango ni cha kishujaa, mana zinachafua mji.
Sasa Ajue KWAMBA mkuu wa Mkoa mwenzake Huku Dodoma I.e Dada Rosemary yeye Amelala Tu, Huku Makao...
Chalamila badala ya kwenda kuhutubia na kujitamba kwa abiria Ubungo, Shekilango na Kigamboni kwamba mshahara wake unamtosha ameenda kuhutubia kwa vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli ambao sio walengwa wa usafirishaji.
Kama Chalamila anafikiri ana akili sana aende Ubungo...
1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam.
2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji.
3...
Kupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo zilipokuwa zikijengwa. Amehoji, iweje leo anataka ziamishwe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.