simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
 1. GENTAMYCINE

  Wenye Simba SC yao na Wazee kama hawa Waliojitolea Jasho na damu walalamike halafu utegemee Kufanikiwa? Thubutu yako. Utalaanika tu

  “Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini watu sio mimi tu tupo wengi ambao tulipoteza ujana wetu kuitumikia Simba” Abdallah Kibadeni Maarufu...
 2. GENTAMYCINE

  Simba SC msitishwe na wala msidanganywe achaneni na Jean Baleke kwani hakuna Mshambuliaji hapo

  Kama kuna Striker ambaye nilikuwa Simpendi Simba SC ni huyu / huyo ila nasikitika kusikia kuwa anataka Kurejeshwa.
 3. Heparin

  UZUSHI Simba SC yamfuta kazi Dani Cadena kwa madai ya kuingiliwa katika majukumu ndani ya klabu

  Wakuu, Nimeona mtandaoni kuwa simba imemfuta kazi kocha wake wa Makipa Dani Cadena alizotoa kwenye vyombo vya habari akidai kuingiliwa kwenye majukumu yake. JamiiCheck tusaidieni kuihakiki maana sijaiona kwenye page rasmi za simba.
 4. THE FIRST BORN

  Kwahiyo tunakubaliana Yanga alikuwa hanunui Match bali ni team yetu imeoza si ndio?

  Habari mwanajukwaa. Jana kwa jirani moto umeanza kuwaka kumbe ule moshi ulikua unavuka ndani kulikua na moto hatukujua tu.😂 Zile ngonjera za kuwafunga kina GB 64 na kusema wanaihujumu timu. Mara kuna watu wanavaa jezi za simba wanaisema vibaya makusudi. Mara Yanga ana nunua Match na kahonga...
 5. Bila bila

  Bodi ya Simba SC mmekiri mmewauza wanachama kwa miaka 3, wajibikeni

  Mjumbe wa Bodi ya Simba SC CPA ISSA MASOUD akiongea na Waandishi wa habari Jana, amekiri kwamba shilingi bil. 20 alizoahidi mwekezaji Mohamed Dewij "Mo" hazijawahi kuwekwa popote Bali aligeuza fedha anazotoa Kwa matumizi ya kawaida (kununua mchicha, boxer na kandambili) ndo zihesabike kama...
 6. D

  Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

  Story hii ya CPA CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni na sheria. “Hatuwezi kuwa na taasisi ambayo kila baada ya muda fulani watu wanajiuzulu, fedha zote...
 7. Heparin

  Rashid Shangazi: Nimejiuzulu Simba kama sehemu ya uwajibikaji

  Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo. Shangazi amesema kuwa alimuandikia Dewji barua ya kumuomba kujiondoa kwenye bodi hiyo tangu Juni 2...
 8. Mkalukungone mwamba

  Feisal amevuta milioni 90 kutoka kwenye klabu yake ya Azam baada ya kufunga magoli 19 ya ligi kuu

  Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika miaka yote mitatu ya kimkataba atalamba milioni 270 kama atafikisha magoli hayo 10,ambapo kwa sasa...
 9. GENTAMYCINE

  Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

  Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
 10. Heparin

  Wababe 19 wa Afrika walioshindwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya CAFCL

  Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika. Simba SC Zamalek SC Wydad AC ASEC Mimosas RS Berkane AS Vita Club CS Sfaxien ZESCO United Etoile du Sahel Coton Sport de...
 11. OMOYOGWANE

  Fredy Michael mfungaji bora Zambia msimu huu, ila SIMBA SC wanamuona garasa

  Hii timu huwa inanishangaza sana. Jana Fredy Michael kawa mfungaji bora wa Ligi kuu Zambia licha ya kutokuwepo huko kwa miezi kadhaa. Saido mwaka jaba aliibuka mfungaji bora NBC PL akagawana zawadi na Mayele. Msimu huu ndiye kinara wa magoli Simba SC. Ila sasa wenye timu yao wanakwambia hao...
 12. Smt016

  Viongozi wa Yanga kuweni makini, msije kukurupuka mkamsajili Chama

  Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani. Haya ni mapungufu ya Chama 1)...
 13. Suley2019

  Ni nani mchezaji wako bora wa Simba SC kwa msimu huu wa 2023/24?

  Naaaje wazee, Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu: 1. Nafasi ya Pili 2. Nafasi ya nne 3. Kujinasua kucheza Playoff 4. Kujinasua kushuka daraja Tutakuwa tunakutana kwenye nyuzi kujadili mambo mbalimbali ya msimu huu unaoisha...
 14. Shark

  News Alert: FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

  Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League. Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya...
 15. NALIA NGWENA

  TFF na Bodi ya Ligi inavunja kanuni za mpira ili kuilinda Simba sc dhidi ya KMC

  Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo" lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC ilipewa taarifa kuwa Mchezo wao dhidi ya Simba sc utachezwa kwenye uwanja wa Generali Isamuyo na cha...
 16. GENTAMYCINE

  Siioni Simba SC ikishika nafasi ya Pili japo jitihada za Airtel Money na Magumashi zinafanyika mno

  “Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.” “Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa...
 17. GENTAMYCINE

  Simba SC tusilazimishe kwa Magumashi ya Airtel Money ili tuwe nafasi ya Pili NBC Premier League, ukweli ni kwamba bado tuna Shida Kubwa za Kimsingi

  Tena natamani sana wana Simba SC Wenzangu wangeingia katika Mawazo yangu ya kutaka tuwe nafasi ya Tatu ili twende Kombe la Shirikisho ( kama litakuwepo ) ili taratibu tunapoanza Kukijenga Kikosi chetu kwa Msimu ujao tuanzie huko kwa Kujipima ila kwa Jicho la langu Tukuka la Kiufundi hata Simba...
 18. Heparin

  FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

  Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa saa 1:00 jioni. Karibuni tufuatilie game hii. Kikosi cha Simba SC Kikosi cha Geita Gold
 19. GENTAMYCINE

  Hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikwaza na ndiyo maana sasa nimeamua Kuwaacha ili mpotee zaidi na Timu iendelee Kuharibikiwa tu

  Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC? Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake. Hakuna...
Back
Top Bottom