tigo tanzania

Tigo Tanzania is a telecommunication company..
With over 13.5 million registered subscribers to their network, Tigo, directly and indirectly, employs over 300,000 Tanzanians including an extended network of customer service representatives, mobile money merchants, sales agents and distributors.Tigo is the biggest commercial
brand of Millicom, an international company trading in 12 countries with commercial operations in Africa and Latin America and corporate offices in Europe and the USA.

View More On Wikipedia.org
  1. kocha Nabi

    Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  2. cleokippo

    Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
  3. Last Seen

    Tigo Bussiness waboresha bando zao, ujazo mkubwa, gharama nafuu

    Tigo wameboresha Vifurushi vyao vya malipo ya baada kama ifuatavyo. DATA ONLY 15K......15GB 30K......35GB 40K.......48GB 60K.......72GB 100k........120GB COMBO 15K........10GB + dakika 400 30K........25GB +Dakika 1000 40K.......35GB + Dakika 2000 60K........55GB + Dakika 3000 100K......100GB...
  4. R

    Kwanini mtu alipie makato ya kuhamisha fedha wakati muamala umefeli?

    Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi! Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu...
  5. Mpinzire

    Tigo Tanzania, Tsh 2000 hupati hata GB 1

    Nilikuwa nimeweka vocha yangu ya buku 2 ninunue GB 1! Kuingia kwenye Menu ya Tigo tayari mambo yamegeuka, kwasasa kumbe hiyo GB 2000 hupati hata GB 1 yani! Kweli mpaka kufikia 2025 tutanunua GB 1 ELFU 5.
  6. Execute

    Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea. Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
  7. R

    Kampuni za simu na huduma stahiki kwa wananchi

    Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
  8. Linguistic

    Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

    Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
  9. Stavros Myles

    Kasi ya kobe kwenye intaneti ya Tigo

    Nisikuchoshe kukupa salamu nyingi mno, ninataka kuzungumzia suala la Mtandao wa Tigo nchini Tanzania kushindwa kuhimili mahitaji ya Internet kwa wateja wao. Si kwamba wanashindwa kutoa vifurushi vya Internet, shida kubwa ni kwamba mtandao wao hausomi kabisa na hata ukifanya kazi speed ya...
Back
Top Bottom