Kuna wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa mabasi yanayofanya safari kati ya Tabora na Mbeya. Inadaiwa kuwa baadhi ya mabasi yanayotumika katika njia hiyo yana hitilafu za kiufundi, huku yakisafiri kwa mwendo kasi kwenye barabara yenye mashimo na makorongo mengi.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba...
Barabara ya lami kutokea junction pale Mbalizi kuelekea Songwe viwandani ina mashimo mengi sana ambayo yamechangia kuharibu vyombo vya usafiri.
Mamlaka husika imekuwa ikiziba mashimo hayo kwa kutumia malighafi isiyokuwa na ubora, ambayo imepelekea mashimo yaliyozibwa kuibuka tena.
Lakini kuna...
Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma.
Hatua hiyo imefikiwa kama njia mbadala ya kushinikiza mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kutengeneza barabara ya...
Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000.
Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000.
Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000.
Yaaani tunduma-mbeya...
Anonymous (0743)
Thread
barabara
kahama
kahama mjini
kati
kero
kupanda
mbeya
mitaa
mjini
nauli
songwe
ubovuubovu wa barabara
Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati.
Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo:
❌...
Anonymous
Thread
barabara
kahama
kahama mjini
kati
kero
maeneo
maeneo ya makazi
makazi
makazi ya watu
mjini
ubovuubovu wa barabara
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma njia haipitiki, ni hatari jamani warekebishe barabara basi, hata wanafunzi hapo hawawezi kwenda shule.
Hali ya ubovu imeongezeka tangu mvua zilipoanza kunyesha takribani mwezi mmoja sasa, Wanafunzi wamekuwa waathirika wakubwa wanashindwa kwenda...
Anonymous (8b17)
Thread
barabara
dodoma
mkoani
ratiba
shule
ubovuubovu wa barabara
wanafunzi
Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi.
Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii.
Kila tukifuatilia kupata...
Habari wana JF, kuna siku niliwahi kuleta changamoto yangu juu ya ubovu wa barabara ya kutoka Chelesi – Kisiwani (zamani Kibedange) Halmashauri ya Mji Makambako.
Kiukweli barabara ni mbovu sana hasa kwa nyakati hizi ambazo mvua inanyesha, tunapitia nyakati ngumu sana katika kupita hiyo njia...
Nimekuwa nikifuatilia,Kuna wimbi kubwa sana la kuwabeza mafundi wetu wa MAGARI ambao miaka na miaka wametutengenezea magari modeli za zamani.Mafundi Hawa wamekuwa wakisema magari modeli mpya ni pasua kichwa.Hapo watanzania wamekuwa wakiwabeza sana ,mara ohhh mafundi wa chini ya mwembe.
Lakini...
Kipindi cha marehemu Mugabe alipoona utawala unazidi kuwa mgumu kwake alianza kuwafukuza makaburu na kuwakabidhi mshamba yao watu wake ili azidi kubaki madarakani.
Katika tawala nyingi mambo haya utokea sana ili mradi wajihokoe kitawala. Je, hapa Tanzania kwa huyu Samia unafikiri nini anacho...
Mnamo Oktoba 15, 1987, Sankara alikuwa akikutana na washauri huko Ouagadougou wakati kikosi cha wauaji, kikiongozwa na askari watiifu kwa Compaoré, walivamia majengo.
Na kushangaza compaore huyo alikuaa rafiki mkubwa sana wa sankara ambaye sankara alimuamini sana.
Sankara, akifahamu hatari...
Hapo mwanzo nilidhani mhimili wa bunge ndio mbovu kutokana na kushindwa kuisimamia serikali kama asemavyo CAG mstaafu kuwa bunge letu ni dhaifu, taarifa za CAG kila mwaka zinathibitisha kuwa hatuna bunge makini ndio maana mambo yanaenda hovyo hovyo,
Bunge hili limeshindwa kutunga sheria makini...
1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga.
2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
Vyanzo vya Ubovu wa Magari Tanzania na Suluhisho
Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la magari barabarani nchini Tanzania. Hili ni jambo linaloashiria maendeleo, lakini pia limeambatana na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa ni ubovu wa magari. Watu wengi wanapambana na magari...
Wananchi wa Kijiji cha Andikoni, Shehia Chumbageni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba walazimika kuwabeba wagonjwa wakiwa kwenye vitanda katika mabega kutokana ubovu wa barabara ili kupata Huduma za Afya.
Wakizungumza na HalisiMediaOnline, baadhi ya Wananchi wamesema wanapitia wakati...
Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti.
Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
Wilaya ya Mbarali inasikitisha kuona barabara ina zaidi ya miezi nane hadi kumi, ikiwa imewekwa vifusi na havijasambazwa kwa kipindi cha muda mrefu.
Ni kama imetelekezwa pasipo kuendelezwa ujenzi wake hivyo kupelekea usumbufu kwa watumiaji wa njia hiyo, ikiwa ndio njia kuu kutoka Igawa kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.