bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jihadhari, utakufa mapema bure kwa sababu ya uchungu ulio nao!

    Watu wengi wamejaa uchungu kwa sababu ya mambo yanayotokea huku na kule duniani. Kuna mtu ana uchungu kwa sababu ya madeni, kukosa kazi, biashara kufilisika au maisha kuwa magumu. Mwingine ana uchungu kwa sababu ya kuachwa na mke/mume, au kusalitiwa, kukataliwa au kufiwa na mtu anayempenda...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ofisi za serikali zinaweka namba ambazo hazipatikani, Nilishasema tangu zamani Miafrika inashida fulani sio bure

    Yani ukikaa Afrika kila kitu ni kero, halafu mtasema hawa ni watu watu wa kawaida kweli? Shithole Ofisi za serikali namba hazipatikani, zinazopatikana hazipokwlewi mfano namba moja ni NIDA mkurugenzi yupo na analipwa mshahara kila mwezi? mbona ofisi za private na taasisi za private namba...
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
  4. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Afunga Wi-Fi ya Bure Usiku Kupata Ulinzi wa Vijana Bila Gharama

    TAMALE, GHANA – Mmiliki mmoja wa jumba kubwa la kifahari (mansion) katika mji wa Tamale nchini Ghana, amegundua mbinu ya kipekee na ya kijasusi ya kuimarisha ulinzi wa nyumba yake kwa kutumia teknolojia ya internet. Mwanaume huyo, ambaye ripoti zinasema alikuwa akikabiliwa na changamoto ya...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna jiji au manispaa ambayo ina sehemu inatoa internet ya bure?

    Kuna jiji au manispaa ina park au sehemu ambayo mtu anaweza kwenda na kupata internet ya bure?
  6. abudist

    JamiiForums Tanzania Tangaza biashara yako bure kwenye tovuti ya Tanzapages

    Orodhesha Biashara Yako 🚀 Je, biashara yako inaonekana mtandaoni? Maelfu ya wateja hutafuta bidhaa na huduma mtandaoni kila siku nchini Tanzania. ✅ Sajili biashara yako kwenye Tanzapages ✅ Ongeza mwonekano wa biashara yako ✅ Fikia wateja wapya ✅ Onyesha bidhaa na huduma zako Anza kukuza...
  7. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini walimu watoto wao wasisome bure chuo kikuu yaani isiwe mkopo.

    Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake. Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanaohusika kudai fedha za ‘parking’ kwa kusimamisha magari barabarani, wamekuwa kero kwa Wananchi!

    Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari. Hii hali ina kera sana kupoteza muda wa Wananchi. Wananchi kweli anapaswa hulipia lakini kwanini wasiweke njia nzuri...
  9. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania SITE PLAN BURE... USHAURI -BURE KUHUSU UJENZI

    Kwa mahitaji ya Ujenzi na finishing karibu sana KELVIN HK BUILDER'S Ujenzi kuanzia msingi hadi tunakabidhi funguo Tiles installation Epoxy resin Plasta ya kiwango Bora Tunapaua PAA za aina zote Marekebisho ya ramani za aina zote na michanganuo ya ramani zote (UTALIPIA ELFU 20) TUnakushauri...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ChatGpt hakuna kulipia Tena ni Bure bila kikomo😱🤯

    Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥 Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥. Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

    Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya! Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!
  12. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mabadilishano kati ya elimu bure na huduma ya Afya bure, elimu tulipie, huduma ya Afya ndio iwe bure

    Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya Bora zaidi huduma ya Afya ndio iwe bure na elimu ndio tulipie, Kwa sababu elimu imetangazwa bure ila michango...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Tanzania haitayumbishwa kwa sababu ya mabeberu kutunyima misaada, labda watafute vikwazo vingine

    My Take Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka. Pia soma Ongezeko la bajeti ya...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vijana pendeni nchi yenu, wazungu wamefilisika, hawana cha bure cha kutugawia sisi.

    Vijana jengeni nchi yenu wenyewe kwa akili na mikono yenu, wazungu hawana fedha za kutupa tujenge nchi yetu, wenyewe wamefilisika vibaya sana. Hata wazungu wanakwenda China na Uarabuni kuomba misaada ya fedha na wawekezaji waende kwao. Inawezekana vijana wetu hawajui kuwa wazungu siku hizi...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

    Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani. Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata...
  16. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Aliyedukua tovuti ya Chuo Kikuu aitwa akasome bure

    Huko India Mwanafunzi mmoja amedukua tovuti za vyuo viwili ambavyo aliomba nafasi ya kusoma Degree ya Usalama wa Mtandao (Cyber Security) lakini akakosa kwa kuonekana hana vigezo. Baada ya kunyiwa nafasi aliingia kwenye website zao na kuzihack. Vyuo hivyo ni Indian Institute of Technology...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tunazilaumu Kamati za Usajili bure kumbe Wachezaji 'Top Class' Afrika hii ni Adimu sana au Wameisha

    Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi wanaocheza mpira ndani ya Africa hii, wana mfanano mkubwa sana wa kisoka... Ni nadra sana kupata...
  18. officiall_ronny

    JamiiForums Tanzania Sites za Movies Bure Zipo Wapi?

    Anaejua sehemu ambayo tutaweza kuangalia hii muvi free tujulishane
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini waumini masikini wasitibiwe au kusoma bure kwenye hospitali na shule za dini

    Habarini, Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%. Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi? Wajinga ndiyo waliwao!!
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Microsoft Yazindua Kozi Kamili ya AI Bure Kupitia GitHub.

    Microsoft imetoa kozi kamili ya kujifunza Akili Bandia (AI) bila malipo kupitia GitHub, ikiwa ni fursa kubwa kwa wanafunzi, watengenezaji wa programu na mtu yeyote anayependa teknolojia kujifunza AI hatua kwa hatua. Kozi hiyo inajumuisha masomo ya msingi ya AI, machine learning, AI agents...
Back
Top Bottom