The Mlima Combani and Mlima Mtsapéré Important Bird Area lies in the north-central part of the French island territory of Mayotte in the Comoro Islands, lying at the northern end of the Mozambique Channel between the East African country of Mozambique and Madagascar.
Watu 31 ambao wanaishi na figo moja, wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuihamasisha jamii kujitolea kuchangia kiungo hicho kwa ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji.
Maadhimisho ya siku ya figo duniani, huadhimishwa Machi 9 ya kila mwaka, kwa lengo la kuhamasisha...
Najua unapitia magumu katika haya maisha ijapokuwa unajaribu kuonesha tabasamu lako ila moyoni umebeba huzuni kubwa sana!
Magonjwa yanakuandama, mikosi na mabalaa biashara zako hazisongi mbele, kazi hauna, najua unajiona usiye na bahati sana haswa ukizingatia madeni yanayokuandama.
Usichoke...
Hello hello,
Mlima(Mt.)Kilimanjaro the pride of Tanzania.
Ebu ifike pahala kama taifa tuwe serious kwenye fikra na dhamira mbali mbali katika uendeshaji na mipango ya nchi, tutafakari tu, hivi upekee wa Tanzania katika utambulisho wa nembo za rasilimali kuu za taifa kwenye pesa zetu hasa noti...
Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari.
Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla.
Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
Mlima wa volcano mkubwa zaidi duniani, Mauna Loa wa Hawaii, umelipuka kwa mara ya kwanza baada ya takriban miaka 40.
Huduma ya Jiolojia ya Marekani (USGS) imeonya hali ya mazingira na hewa inaweza kubadilika haraka kuwa ya hatari kwa haraka sana.
===================
Mauna Loa, the largest...
Kamishna William Mwakilema
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ripoti ya kukamilisha uzimaji wa moto uliotokea kwenye maeneo ya Mlima Kilimanjaro huku wakibainisha kuwa taarifa za awali zimebaini kuwa chanzo cha moto ni shughuli za kibinadam.
Kitengo cha usalama cha TANAPA...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA).
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Ally Juma Makoa amepongeza Wizara kwa kuboresha miundombinu katika eneo la...
Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) milima mingi Duniani ikiwemo ile ya Afrika itapoteza barafu kwa kuyeyuka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Hatua hiyo itafikiwa ikiwa hakutakuwa na jitihada za kulinda mazingira na baadhi ya Milima mikubwa iliyotajwa...
Achana na ule moto wa wiki iliyopita, habari hii imeripotiwa tena kutokea usiku wa tarehe 29 Oktoba 2022, kuna nini kinaendelea huko katika Mlima Kilimanjaro? Ni majanga ya kawaida au kuna mikono ya watu?
Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini
----------------
Picha ya...
Moto uliozuka katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania karibu na eneo la Karanga Camp umedhibitiwa huku eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 2 hadi 4 zimeteketea.
Akizungumza na waandishi wa habari, Ijumaa Oktoba 28, 2022 katika lango la Mweka, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk...
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri.
Ni zaidi ya wiki sasa moto unaendelea kuwaka katika mlima Kilimanjaro.
Na kinachoonekana ni kujaza watu mlimani ambao wanaitwa kikosi kazi bila kufanya kazi ya kuzima moto,wengi wao wameenda kula na kupiga picha tu (selfie) na kuwa kero hata kwa watalii...
Siku chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kutoa taarifa moto uliokuwa umewaka Mlima Kilimanjaro umedhibitiwa, moto huo umelipuka tena katika maeneo ambayo awali yalidhibitiwa kutokana na upepo mkali.
Moto huo ulinza kuwaka Oktoba 21, 2022 katika eneo la Karanga...
Ndiyo, ule mlima kama serikali ikiangalia kwa umakini inaweza ikawa inatoza kiasi flani kwa kila gari inayopita pale. Kuna magari mengi sana yanapita pale kwa siku.
Mengi sana, makubwa kwa madogo. Kule mwanzo kabisa wa mlima chini kungeweka gate. Magari madogo yalipie tsh. 1,000, size ya kati...
JINSI UTAKAVYOKUWA USIPOAMUA KUPANDA MLIMA NA WEWE
Hapa mlima ninaoumaanisha ni maisha yako, kwa mfano unataka kufanya jambo flani na ukaulizia kwa wengine waliofanya jambo kama hilo, na walipokupa mbinu hukuchukua hatua ili na wewe ufike walipofikia au ujionee mwenyewe.
Kwa mfano unataka...
Rais Uhuru Kenyatta alipowasihi wafuasi wake wa Mlima Kenya mwaka wa 2013 kumkumbatia William Ruto kama mrithi wake anayetarajiwa, alikuwa ameweka agano bila kujua hangeweza kulivunja.
Wakaazi wa Mlima Kenya walikuwa wamedhamiria sana kumuona Dk Ruto akichukua mamlaka mwaka wa 2022 hivi kwamba...
Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022
Waziri Nape Nnauye:
Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya intaneti katika moja ya kivutio bora cha kitalii Duniani
Maeneo mengi ya utalii Nchini baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.