Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Nyumba Inauzwa.
-Iko Mita 100 kutoka kituo cha abiria Victoria.
-Iko nyuma ya Tanzanite House na barabara ya Uporoto.
Maelezo;
-Nyumba yenye Sebule, Vyumba viwili kimoja Master bedroom, public toilet, jiko na baraza na baccon, choo cha nje, chumba cha kufulia na chumba cha stoo, CCTV camera...
Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa.
Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai.
Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa.
Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni.
Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 326.
Bei: Tzs...
NYUMBA YENYE MADUKA 12 INAUZWA KINONDONI ROAD BEI BILLION 3.5 (SQM 1343) PHONE:+255 719 377 649
ARDHI YA THAMANI INAUZWA! 🏢🏠
Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na Hati safi .
ARDHI YA THAMANI INAUZWA! 🏢🏠
Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na biashara yenye kipato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.