wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. bahati93

    JamiiForums Tanzania Mimi kuanzia leo wadada wote wenye Pua msambao kama Nice B sitaki mazoea

    Mimi kuanzia leo wadada wote wenye Pua msambao kama Nice B sitaki mazoea. Alafu wabongo tuache unafiki hii pua asili yake inajulikana inapotoka, humu jukwaani kila siku Mnazonga sana mabinti wa Kichaga lakini mabinti zenu wa huko mwisho wa reli, Aaanka mnajikausha.
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari. Je kwa upande wenu huwa inakuaje? Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

    Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger. Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila aibu. Sasa na mm nakupa alaf na kuchapa napita kushoto. Mimi naonaga viumbe vichafu ni wanawake maana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Eti wadada wa benki wangekuwa hawakai nyuma ya vioo wangepokea kichapo

    Wahudumuwa benki wanaongea kama hawataki wakati wanatoa huduma, mdada hapo anawaonya la sivyo tableti ya kichwa itawahusu
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Slangs za kuwatambulisha aina za wadada tofauti mtaani

    1: Pacome Mademu wanao nyoa na kupaka bleach za rangi kwenye nywele Mfano: "huyo pacome wako mtaachana tu" 2: Makebe Demu alie na makebo makubwa (makalio makubwa) Mfano: "makebe mmoja kapita hapa, aisee anayatingisha" 3: Tilatila Demu alie mnene/kibonge Mfano: "tilatila mmoja ndio amevunja...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Sifa za wadada wanaoishi peke yao; Je wewe unaijua ipi

    Hizi ndizo sifa za wadada wanaoishi peke yao, zikiangazia tabia na maisha yao ya kila siku kwa njia ya utani na ukweli wa mitaani. Hawapendi Wageni: Akija mgeni ananuna na kufikiria ni saa ngapi ataondoka ili arudi kulala au kuangalia muvi. Kupika Mpaka Njaa Ikaribie Kuwaua: Mara nyingi...
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wadada wa instagram na Facebook.

    Ika pisi za kibongo bwana.. Unakuta kimeweka bio ya kumcha Mungu.. Una ki DM kina respond kwa kuchelewa makusudi kionekane kiko on demand. Then unakivumilia hivyo hivyo.. Basi nacho unaanza kuingia line, sasa ukiingiza maswala ya kupata mawasiliano na Whatsapp, Hapo ndo true colors...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wadada wanaosema hawako katika mahusiano na mwanaume yeyote ni hatari kwani wanajiuza

    Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye utajiri. Hawa watu wanaishi kwa pesa za kudanga kwani watu wengi huwa wanajipata wakiwa tayari na...
  9. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Yote ni ubatili! Ujana ulinifanya niwe wa moto sana kwa wadada wenye makalio makubwa. Nilitumia pesa sana lakini nilipoteza muda ila niling'atuka

    Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida Niliwafanya kila namna, niliwageuza kila angle, huku nikiwa najipa moyo nitatosheka ila hakuna kitu , unacheza tu na mihemuko yako...
  10. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Eti tumeshawasahau wadada wembamba. Sio vyema kuwadharau wadada wembamba. Akikupenda amekupenda kweli

    Wadada wenye makebo makubwa, wamepanda bei, wamepanda mashetani ya visirani na viburi, mnahangaika nao sana kwa ajili tu ya minyama yao. Mdada mwembamba hata ukimwambia sina pesa anakuambia wiki hii jitahidi unisaidie ila mwenye makebo makubwa anakuacha wiki hio hio. Lakini zaidi kwenye...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi chetu sisi wadada wenye makalio makubwa walichukuliwa kama watu wanene wa kawaida, eti Gen Z anabisha!

    Kweli nyakati zinakimbia, na muda huja na fasheni yake. Leo hii wadada wenye makalio makubwa ndio sukari ya mji ila kipindi kile walichukuliwa kama vibonge na hakuna aliekuwa sexually attracted kama ilivyo sasa secretarybird Chizi Maarifa nafikiri unakumbuka za zile
  12. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hawa wadada ambao ukiwatongoza tu wanakubali hapo hapo wanakuwa na sababu gani kati ya hizi?

    1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza 2. Hawajatongozwa muda mrefu 3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela 5. Wanaogopa kukupoteza Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
  13. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wadada wenye makebo makubwa huwadharau wenzao wembamba mbona sisi vidume wenye pesa huwa watu poa kwa wenzetu makapuku

    Mallerina aka kiuno nyigu, shepu ya zebra huwa ni kwanini lakini? Mbona tajir secretarybird ni mtu poa sana kwa apeche alolo wengi tuliomo JF?
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wadada wenye roho nzuri mara nyingi ndiyo wanaoongoza kwa kuumizwa

    Kuna wadada ambao ukiwa nao karibu, utagundua wana moyo wa tofauti. Ni watu wanaojali, wanasaidia pale wanapoweza na huwa hawapendi kumuona mwingine akiteseka. Lakini cha kushangaza, mara nyingi watu kama hawa ndio hujikuta wakiumizwa zaidi. Anaweza kuwa rafiki anayekusimamia wakati wa...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hawa wadada waliotengeneza kipindi na kujiita A-list. A list wetu yupo jela

    Mnatudanganya na makamera yenu. Mtajiita A list, ila watanzania wana A list zao na watabaki nazo Wolper, Irene, Kajala na Aunty ni kipi cha maana mlicho inspire kwa mabinti katika hili taifa zaidi ya skendo na uhuni? A list wetu yupo jela
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wadada, swali la milioni moja hili hapa!😄

    Kwanini baadhi yenu mkisikia “baby baba akikwambia nitumie Control Number ya ada nimlipie mtoto” mnabadilika ghafla kuwa mbogo? 😂😂 Mtu anakuomba tu Control Number ili alipe ada ya mwanae, lakini majibu yanakuwa: «“Kwa nini unataka Control Number?” na matusi mazito juu! “Hiyo hela nitapanga...
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mlitudanganya wadada wembamba warefu wana papuchi kubwa.

    Utafiti wangu ambao umehusisha kutembeza mkuyenge kwa wadada 56 wembamba warefu weusi na maji yakunde umebaini kuwa wadada wembamba ndiyo watamu zaidi kushinda wote. Weusi utamu na joto liko juu zaidi ya maji ya kunde. Aidha k zao zinabana sana na wana milio mizuri. Kwa upande wa mabonge...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Namna wadada walivyokua wananisifia na wakaka wanavyoniogopa ndio nikajua kumbe mimi mzuri

    Unajua kioo cha kweli ni macho ya watu na jamii kwa ujumla, sio unajifungia ndani, unajiangalia af unasema we mzuri. acha jamii iamue wewe uko kundi gani. Mimi nilijijua kwa namna watu wanavyoreact kwangu, Yani ile unconsiously mnapiga story tofauti, ghafra, mtu anakwambia " Ila Haszu we mzuri"...
  19. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi tofauti na ukame, vita na mafuriko kuna shida yoyote ya kimaisha wadada wenye makebo makubwa wanapitia kwa kweli?

    Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu. Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wadada leo ni Girlfriends Day. Umeletewa zawadi?

    Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀 Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa zamani hapa 😁
Back
Top Bottom