ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Idd Ninga

  Ukatili wa kijinsia ni uvunjigu wa haki za Binadamu

  Dunia, mataifa makubwa na mataifa madogo, ulimwengu mzima unakubali kuwa haki za binadamu ni jambo lolote ambalo binadamu anastahili kuwa nalo tangu anapozaliwa bila ya kujali jinsi ya mtu. Kiimani na kiutamaduni pia, inatambulika kuwa haki za binadamu zitaendelea kuwepo hadi pale binadamu...
 2. beth

  Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia

  Hii ni Kampeni ya Kimataifa ya kila mwaka inayoanza Novemba 25 ambayo ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili dhidi ya Wanawake na kuhitimishwa Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu, Desemba 10 Inalenga kuhamasisha Raia na Mashirika duniani kote kupaza sauti kuhusu kutokomeza Ukatili dhidi ya...
 3. Roving Journalist

  Waziri Mkuu azindua Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Aagiza Shule za Msingi mpaka Vyuo kuwa na madawati ya jinsia

  Habari Wadau, Karibuni katika uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia unaofanyika leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Mlimani City. Kauli mbiu ya kampeni hii mwaka huu ni Ewe mwananchi komesha ukatili wa KIjinsia sasa Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri...
 4. Gily

  Kuna watu makatili kweli kweli; achoma paka moto akiwa hai

  Nimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea...
 5. beth

  TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

  Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia TAMWA
 6. Miss Zomboko

  Wanawake na Vijana wenye Ulemavu hatarini zaidi kufanyiwa Ukatili

  Data ya Kimataifa zinaonesha Wanawake na Vijana wenye Ulemavu wako katika hatari kubwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Vitisho, Kutendewa vibaya, au kutelekezwa Nchini Tanzania, Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino), wako katika hatari kubwa ya kufanyiwa Ukatili kutokana na Mila na Desturi zenye...
 7. Emanuel Eckson

  CDF yawaweka pamoja Makamishina na Makamanda wa Polisi nchini kujadili Ukatili wa Watoto

  MAKAMANDA wa Polisi nchini wameagizwa kupanga watu sahihi kwenye madawati ya jinsia na kuacha kupanga watendaji wagonjwa na wajawazito ili kupunguza kasi ya ongezeko la matukio ya udhalilishaji wa wanawake na watoto kwenye jamii. Aidha aliwataka baadhi ya watendaji wa madawati hayo kuacha...
 8. beth

  TAMWA: Elimu itolewe kupunguza ukatili wa kijinsia

  Je wajua kuwa, kiwango cha kufanyiwa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke kinaweza kuongezeka kutokana na kiwango cha elimu, dini, kabila, umri, utaifa na hata hata ulemavu? Elimu itolewe kwa makundi yote ili kufikia malengo ya kupunguza ukatili huu katika Nyanja zote. TAMWA
 9. beth

  TAMWA: Mila kandamizi zinazochochea ukatili dhidi ya Wanawake

  Mila kandamizi zimetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Ukatili dhidi ya Wanawake, na jambo hilo linapaswa kukemewa ili kumaliza Mila hizo Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja baadhi ya Mila hizo kuwa ni pamoja na Wanawake kuzuiwa kufanya kazi Migodini kwa madai wanapokuwa...
 10. beth

  Ukatili wa kijinsia kwenye Vyombo vya Habari

  Taasisi husika zinashauriwa kuwa na mpango mkakati wa kutoa elimu za mara kwa mara maeneo ya kazi ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa ya ngono katika vyombo vya habari Vilevile ni muhimu kuanzishwa dawati huru la kuripoti kwa siri vitendo hivyo pale vinapotokea
 11. Miss Zomboko

  Je, wajua kumsikiliza mtoto wako ni silaha muhimu ya kumkinga dhidi ya ukatili na udhalilishaji?

  Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao. Mara nyingi mtoto...
 12. S

  Story of Change Wafugaji watazamwe kwa jicho la pekee dhidi ya ukatili wa wasichana

  Wafugaji ni kundi muhimu sana katika Duniani hii, bila wao hatupati nyama,maziwa,ngozi na mboleya ya samadi. Kwa Tanzania makabila ambayo ni maarufu kwa ufugaji ni Wasukuma,wamasai,wataturu nk lengo langu siyo kuwachafua wafugaji ila nataka jamii ifahamu kuwa kuna baadhi ya wafugaji hawajali...
 13. K

  Tiba ya Ukatili kwa Watoto na Saikolojia ya Msichana wa kazi

  Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani. Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
 14. ItsMi

  Komesha ukatili wa kijinsia

  Kila siku Kumekuwa na mashauri mengi mahakamani kuhusu maswala ya ukatili wa kijinsia je? Jamii yako inalionaje na inalichukuliaje hili suala. Kwanza kabisa tunapozungumzia ukatili wa kijinsia ni hali au kitendo kinachofanywa na watu fulani katika jamii yaweza kuwa mwanamke akamfanyia mwanaume...
 15. R

  Story of Change Shairi: Hili Neno "Ukatili"

  Salaam! Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
 16. escrow one

  CHADEMA iandae Mgombea Urais Mwanamke 2025 kuepuka ukatili wa kijinsia

  Baada ya Mama 'kutangaza' nia yake ya kuingia ulingoni 2025, ni vema chama kikuu cha upinzani kikaanza jitihada za kumtengeneza mwanamke atakayepambana na Chifu Hangaya kuwania kiti namba moja hapa nchini. Kuweka mgombea mwanaume itakuwa ni ukatili wa kijinsia na hoja hiyo itatumika kuwaangusha.
 17. beth

  TAMWA yasisitiza ushirikishwaji wa Wanaume katika mapambano dhidi ya Ukatili wa Kijinsia

  TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake. Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha...
 18. M

  Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

  Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
 19. beth

  TAMWA: Jamii inahitaji elimu zaidi kutambua aina za ukatili wa kijinsia

  TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe. Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu...
 20. beth

  TAMWA yahimiza mabadiliko ya Sheria kupunguza Ukatili wa Kijinsia

  TAMWA bado inahimiza mabadiliko ya Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo haiwalindi wasichana dhidi ya kuolewa. Sheria hii inaruhusu wasichana wenye miaka 14 kuolewa kwa (ruhusa maalum ya wazazi), inaruhusu wasichana wenye umri kuanzia miaka 15 kuolewa iwapo umbile lao linaonekana kubwa Hali hii...
Top Bottom