Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine.
Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo:
1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine.
Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo:
1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo.
Si Rais, Waziri...
Hivi karibuni, mwelekeo wa hotuba na matamko ya viongozi wengi wa umma nchini umeshuhudia mabadiliko makubwa yanayozua maswali mengi kuliko majibu. Kauli kama zile za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, zinazotoa vitisho vya kisaikolojia au kisheria kwa raia na madereva, zimekuwa...
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026
Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA.
Ndugu Viongozi,
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
Kwa:
Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI)
na Uongozi wa VETA
Ndugu Viongozi,
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA VETA
Kwa heshima, tunaomba kuwasilisha changamoto inayotukabili waajiriwa wapya tuliopangiwa vituo...
Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya...
Je viongozi wa Serikali wanajua sheria au tumeamua nchi iongozwe kwa mtizamo wa mtu mmoja mmoja?
Kumeibuka kasumba kwenye shule nyingi hapa nchini kuweka kambi za kitaaluma kwa kigezo chan "vituo vya mada tata" au bweni bubu na wanafunzi kufundishwa muda mrefu bila kupata nafasi ya kuchangamana...
Mwaka huu toka uanze mpaka sasa nimepiga oral 3,ila mpaka sasa hakuna iliyo blue tick.kwa uelewa wangu hizo oral zote nimepiga fresh tu kama wadau wengine walivyopiga.changamoto ni kwamba hatuitwi kazini
Nimepiga oral ya cooperative officer ii,Quality assurance officer ii na juzi nimepiga...
Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo hufanyika kwa njia ya online au kuna Msimamizi mtoa alama papo hapo?
Natanguliza shukrani
WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA
Dodoma Agosti 12, 2026
Kufuatia malalamiko ya wananchi wanaoishi katika eneo la Bahari Beach Manispaa ya Kinondoni kuhusu kusudio la ujenzi wa kituo cha...
If your ESS Utumishi account gets locked due to multiple failed login attempts, don't worry — this is a common security feature to protect your account. To unlock it, first wait a few minutes, as some systems automatically release the lock after a short cooldown period. If the account remains...
Habari,
Naomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa maombi ya ajira wa Utumishi, ambao unaonekana kutokuwa rafiki kwa baadhi ya waombaji.
Mfumo huu unapomtambua mwombaji kuwa ana shahada katika kozi fulani, humzuia kuomba nafasi nyingine zinazohusiana na taaluma tofauti aliyoisomea baadaye. Kwa...
Kama wewe ni Mtumishi wa Umma na Umeomba uhamisho kutoka Taasisi Moja na kwenda nyingine basi tukutane hapa kwa ajili ya kupeana updates, najua kuna watu maombi yao yamefika Utumishi siku na miezi mingi imepita bila majibu basi tuzidi kupeana infos hapa ili kama wewe mwenzetu umefanikiwa...
Moto wa Utumishi Girls Academy unaendelea kuzua maswali mengi baada ya mahakama ya Naivasha kuhamisha kesi hiyo kwenda Nairobi. Wanafunzi 8 sasa wanatarajiwa kushtakiwa kwa makosa 16 ya murder kila mmoja kufuatia moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 na kujeruhi wengine 79.
Prosecution...
The Director of Public Prosecutions (DPP) has approved murder charges against nine students implicated in the deadly fire at Utumishi Girls Academy in Gilgil, Nakuru County, which claimed the lives of 16 students on May 28, 2026. The decision follows a review of evidence submitted by the...
Nine students from Utumishi Girls Academy in Nakuru County are set to face 16 murder charges each following the tragic dormitory fire that claimed the lives of 16 learners on May 28, 2026.
The decision was approved by the Director of Public Prosecutions (DPP) after reviewing evidence gathered...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.