rc chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, RC Chalamila kupitia zogo hil la stendi ni mzani wake wa mwisho kwamba huyu hatoshi kuwa RC DAR (Tumbua mama)

    Naomba kufikisha salaam kwa Rais Samia kuhusu Sakata la stendi ya magufuli! Wamiliki wa mabasi wametumia kila njia kuomba kuonana na mkuu wa mkoa ili yafanyike mazungumzo kabla ya zoezi lakini ilishindikana. Wananchi pamoja na wamiliki wa mabasi tumetoa maoni kupitia vyomba vya habari lakini...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Nakupongeza RC Chalamila kurudisha mabasi ya mkoani Mbezi Magufuli, bado hili la malori!

    1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam. 2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji. 3...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kama unamiliki Silaha isivyo halali isalimishe haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wamiliki wa silaha kuhakikisha wanakamilisha vibali na taratibu zote za kisheria za umiliki wa silaha zao kabla ya Agosti 30, 2026, akitangaza kuanza kwa operesheni maalum ya ukaguzi wa silaha baada ya muda huo. Akizungumza na Waandishi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Watu wote wa Dar es Salaam tuseme asante kwa Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi. Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aagiza mmiliki na Mjenzi wa Ghorofa Masaki kukamatwa kwa kujenga ghorofa 13 badala ya 6

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza kukamatwa kwa mmiliki na mjenzi wa jengo moja lililopo Masaki, baada ya kubainika kuwa walijenga ghorofa 13 badala ya ghorofa sita zilizoidhinishwa kwenye kibali cha ujenzi. Akizungumza leo Agosti 6, 2026, wakati wa ziara ya ukaguzi wa...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania So sad RC chalamila kauli zake zinahamasisha maandamano na kuongeza hamasa maana zinachochea hasira na vaibu na chuki watu kuingia barabarani.

    RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
  7. jimama26

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, Dar es Salaam imekushinda, inakuwaje kuna foleni kiasi hiki huchukui hatua?

    Inasikitisha sana kuona hali ya foleni jijini Dar es Salaam imefikia kiwango hiki. Haiwezekani mtu kukaa sehemu moja kwa zaidi ya saa moja bila kusogea. Njia ya kutoka Morocco kuelekea mjini, kupita Serena Hotel hadi uwanja wa ndege, imekuwa ni mateso makubwa – asubuhi na jioni. Kwa wiki nzima...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Sugu alivyomzuia RC Chalamila asipande jukwaani kuongea katika show ya Profesa hapo jana Mei 1

    Sugu amesema hakutaka Chalamila apande kwenye steji kwa sababu hakutaka mambo ya kisiasi yaendelee na ilikuwa ni show ya muziki tu! Hii alichofanya Sugu ni kizuri sana maana Chalamila angeleta uchawa wake wa kishamba kwenye burudani ya Muziki Lakini Sugu amefuraishwa kuwaona Viongozi wakuu wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Tangu nisikie ukishikwa bega nyeti zinapotea nimekuwa makini, sina mali nyingine

    Mkuu wa Mkoa Dar, Albert Chalamila (Chala boy) huyo anasema Tangu asikie ukishikwa bega nyeti zinapotea amekuwa makini sana, maana hana mali nyingine zaidi ya hizo zaga. Soma pia ~ Katambi: Madai ya kuibiwa Nyeti ni uzushi ~ Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila uwasilishaji wake wa hoja huwa ni wa ovyo sana hata katika mambo ya Msingi

    GT Chalamila ni kituko kweli kweli na hatujui roll model wake ni nani aisee. Uwasilishaji wake wa hoja ni hovyo kabisa. Matokeo yake hata mambo nyeti yanaonekana ya kawaida, ana bla bla nyingi sana huyu jamaa. Kuchekesha chekesha watu siyo sifa unatakiwa ulete attention kwenye mambo mazito ili...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Uwa nashangaa kuona Wanafunzi Dar wanakaa chini wakati kuna DC na Ma-DED

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa anashangaa kuona taarifa zinazohusu wanafunzi katika baadhi ya shule zilizopo mkoani Dar es Salaam wakikaa chini, licha ya kuwepo kwa viongozi kama Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya na Maafisa Elimu. Amesema kuwa changamoto hiyo siyo matokeo...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila awaita Wachina waliochelewesha mradi 'Wahuni'

    Wakuu, Hili la Mkuu wa Mkoa kuwaita Wachina wahuni nyie wenzangu mnalionaje? Mkisikiliza huko mwisho anasema: "Sasa hawa ni wahuni. Pengine nyie mkiona hizo sura mnadhani hawa ni Wachina wa miaka ile ya yule mzee muasisi wa China. Hawa sio. Hawa ni wahuni kabisa hawa. Sijajua tunafanyaje...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ukiwa mmbea huwezi kuwa na hela mfukoni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ukaguzi wa barabara ya Mivumoni, wilayani Kinondoni, na kusisitiza umuhimu wa miradi ya miundombinu katika kuchochea maendeleo ya wananchi. Amesema ujenzi wa barabara hutoa fursa za ajira kwa vijana, huongeza thamani ya ardhi na nyumba, pamoja na kuchochea...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mabibo: RC Chalamila alikuja sokoni akaishia kututukana. Tukapewa kesi ya kutaka kuchoma gari la serikali

    Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
  16. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kukaa na Milioni 10 nyumbani ni kosa kisheria

    Siku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya kufuatilia sheria na miongozo mbalimbali iliyopo nchini ili kuepuka matatizo yasiyokuwa ya lazima...
  17. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Tunafanya utafiti tusajili CCTV Camera ili unachokiona na sisi tukione

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mgawo wa maji Dar uwe na ratiba kamili

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa DAWASA kuhakikisha maji yanayopatikana yanagawanywa kwa usawa kwa wananchi
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: RC Chalamila Stop that!..Yatosha sasa, wewe ni mmoja wa hamasisha vurugu kabla, wakati na baada ya 29/10

    =============================================== CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA... Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye...
  20. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Biti la RC Chalamila kwa Fr. Kitima ni kutekeleza maagizo ya kumuua kushirikiana na kikosi toka Mwanza?

    GTs, Nimeona Maria Sarungi akimtahadharisha Fr. Kitima kuwa kuna askari polis wanne wametumwa na Samia kumuua Fr. Kitima, na hii inaendana na biti la RC Chalamila kusema anaunda kikosi kazi kumchunguza Fr. Kitima kauli yake. Maana yake RC chalamila alivyo boga anategemea amuite Fr. Kitima ili...
Back
Top Bottom