• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

fursa

 1. Elius W Ndabila

  Naomba fursa ya kuonana na Pascal Mayala

  Ndugu yangu Pascal wa jf ninaomba nafasi ya kuonana na wewe. Nilianza kujifunza kuandika makala mwaka 2014 baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu humu. Lakini nimekuwa impressed sana na uchambuzi wa Pascal ambaye ninatamani siku moja nionane naye ili niweze kumuuliza maswali kadhaa nami niweze...
 2. Jankidust

  Fursa Biashara ya supu na chapati

  Habari wakuu,Natafuta binti alie tayari kwa kufanya biashara ya kupika chapati na supu na kuuza.Awe anaishi maeneo karibu na Ubungo (mfano magomeni,manzese,mwananchi,Buguruni,Sinza,Kimara n.k) Nitatoa kila kitu (mtaji na vyombo pia) faida tutagawana kwa maelewano tutakayo kubaliana.Kwa...
 3. Kukaja Kununu

  Maana halisi ya fursa

 4. matunduizi

  Afrika yapokea msaada wa Testkits 1.1 Mil za Corona Kutoka Ali baba: Na sisi tuwahi hii fursa

  Ni vizuri Kushtuana wakuu. Kuna Lab testkit na vifaa mbalimbali vya matibabu 1.1 Mil kutoka kwa kampuni hiyo. Kama vimetumwa afrika basi na sisi tuvifukuzie huko mapema.
 5. Offshore Seamen

  Kozi zenye fursa kubwa ya ajira na kujiajiri katika sekta ya Bahari

  Hizi ni kozi ambazo mtu anaweza akasoma kuanzia ngazi ya Certificate,Diploma, Bachelor au Masters na akawa name fursa kubwa ya kupata kazi nchi yoyote na ni rahisi kujiajiri kwenye sekta ya bahari. 1.Marine Survey Hii kozi ukisoma la kazi zako itakuwa ni kukagua meli kabla haijajengwa, Meli...
 6. Pascal Mayalla

  Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

  Wanabodi, Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities. Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
 7. Afisa Uchaguzi

  Tahadhari:Corona imekuwa fursa kwa matapeli ,wanajifanya wametoka Wizara ya afya wanataka kupuliza dawa ya Corona na kuiba majumbani, kuweni makini

  Habari wana Jamvi, Wakati dunia inahangaika kutafuta dawa(tiba) ya kutibu ugonjwa wa Corona Virus Covd19. Ikumbukwe hadi sasa watu wapatao 111,000 tayari wameambukizwa katika mabara 3 na zaidi ya watu 3,890 tayari wamepoteza maisha . Hivyo hili ni Janga kwa Dunia nzima. Lakini kwa wenzetu...
 8. T

  Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali za kufanya mtaani ili tusogeze maisha

  Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko kadogo online. 1. Mobiwork 2. Geopoll Huwa nafanya survey zao wananilipa japo sio hela nyingi lakini...
 9. jingalao

  Madaktari 1,000 mtakaopata fursa ya Ajira nendeni pembezoni kupeleka huduma za kiweledi

  Nimshukuru kwa moyo wa dhati Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutambua mchango wa madaktari na uhitaji wa wananchi kupata huduma zenye weledi. leo hii ameagiza madaktari 1000 kuajiriwa...hili sio jambo dogo kiuchumi kwani wage bill katika sekta hii moja tu ni kubwa. Jukumu la...
 10. Titicomb

  Kisa cha Kweli: Pale mtu wa kawaida unaposhindwa kutumia fursa iliyo jitokeza ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Star wa Hollywood

  Salam ziwafikie wana MMU wote, Leo nimeona nije kuwacheki wadau wa MMU na kuwapa kisa cha dada mmoja maarufu sana Hollywood anaitwa Sharon Stone. Upweke noma sana, hakuna shujaa mbele ya upweke au penzi, Penzi ni pacha wa upweke, huzuni na furaha. Mapenzi yanapo vamia roho ya mtu lazima atii...
 11. Cvez

  Utalii una fursa kubwa sana ila njia tunazozitumia ndio zinatufanya tusifaidi matunda ya utalii

  Utalii ni mpana sana una vitu vingi sana ambavyo kuulewa inataka muda. Na si kila mtu anaweza fanya kazi katika taasisi za utalii ile ni professional kufikia hadi level ya PhD. Kwa mfahamu wa wengi wetu tunawafahamu tu waongoza watalii (tour guides), receptionists katika hotels ambao wamefanya...
 12. N

  Natafuta kazi kwenye sekta ya utalii Dodoma

  Habari wanajukwaa, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina uzoefu wa kufanya reservation, sales, office administration pamoja na reception.
 13. kavulata

  Samatta wa sasa ni fursa kwa DStv

  DStv inaonyesha ligi ya England, EPL. Samatta kuchezea EPL kutaongeza watanzania ambao wataangalia EPL kwaajili ya kumuona kijana wao Samatat. Hii itaongeza wadau wa DStv, hivyo huu ni muda wa DStv kuangalia upya bei za vifurushi vyake ili watu wengi zaidi hata vijijini wamudu kulipia na...
 14. Sijuti

  Fursa: Vibanda vya simu vitalipa sana kuanzia kesho

  Walio sajili line fikirieni kufungua mradi wa vibanda vya simu, mtapiga hela sana hasa mkifanya maombi ili NIDA wakwame kutoa namba za vitambulisho. Watu milioni 41 watazimiwa simu sasa ukipata wateja 100 watakaokupa 500 kila mmojanili watume sms au kuongea kwa dakika 1 basi utakuwa na 50,000/=...
 15. Gama

  TRC kamateni hii fursa

  Nawashauri TRC wakamate fursa ya kusafirisha abiria kati ya Dodoma na Dar es Salaam. Toka serikali imehamia Dodoma kumekuwa na upungufu mkubwa wa magari ya abiria hasa weekend. Nashauri waanzishe safari rasmi mfano kuwe na treni kila ijumaa jioni na isimame Morogoro pekee vilevile kila...
 16. CONTROLA

  Fursa za Jangwani

  KUVUSHWA KWA KUBEBWA MGONGONI Hapa Jana ilikuwa ndio option iliyopo maana kulikuwa hamna option ingine, unapanda mgongoni unavushwa mpaka ng'ambo jamaa anaenda kukuacha kwenye ktuo cha mwendokasi kisha anatafuta wakurudi nae kama yupo kama hamna anarudi peke yake kufuata mwingine. Bei kwa...
 17. Bonde la Baraka

  Kijana wa Dar tumia hii mvua ya leo kuwa fursa kwa kuwavusha watu kwenye mifereji

  Sijaandika huu uzi kwa lengo la kumkebehi mtu, Dar kuna mifereji na mito mingi ambayo ikinyesha mvua kubwa kiasi tu inafunga mawasiliano kati ya watu wa huku na kule kwa dk kadhaa. Unajitega unavusha masharobaro kwa jero, buku mpaka mia mbili. Usiache kichwa. Jioni ukiingia mfukoni una 20...
 18. scatter

  Fursa zipi wanazopata madereva wa mabosi?

  Fani ya udereva wa magari imetoa ajira kwa wazee na vijana katika nchi yetu. Katika kazi hii kuna changamoto mbalimbali wanazopitia ikiwemo kusafiri umbali mrefu. Kuna mkasa mmoja jamaa alikuwa dereva wa bosi mmoja masharti ya yule bosi lazima dereva awe analala ndani ya gari na pia...
 19. A

  Jifunze kutafuta Fursa badala ya Kutafuta Ajira

  Kwanza nianze kwa kusema kwamba kuajiriwa sio vibaya,kufanya kazi kuajiriwa sio kosa,wala kuishi kwa mshahara sio dhambi.Watu wengi huwa wanakuwa na tafsiri mbaya sana wanpoona watu tunahamasisha watu kujiajiri bila kufahamu kwamba jamii yetu ina uhitaji mkubwa sana wa Job creators so...
 20. YEHODAYA

  Serikali ilegeze masharti ya kupata pasipoti ili watu wakatafute fursa nje ya nchi

  Masharti ya kupata passport inatakiwa tu kitambulisho cha uraia zingine zote mbwembwe za kusumbuana tu sijui barua ya mwaliko sijui nini ujinga mtupu. Kwani mtu hawezi kwenda nchi nyingine kutafuta fursa hata kama hana mwenyeji? Ona huyu kijana Mtanzania mwenye mgahawa China akipiga kazi baada...
Top