bwana

This is a list of English language words that come from the Niger-Congo languages.
It excludes placenames except where they have become common words.

View More On Wikipedia.org
  1. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hacha maigizo bwana, jitokeze, Ujue sisi watu wazima???😂😂😂

    Yani uwe adui wa mfumo kwa kusema waTanzania watafute Katiba mpya??? Hukujiuzuru kipindi wanasiasa wanatekwa kila siku, wafanyabiashara wakiwa wanatekwa, miili zilipokuwa zikiokotwa kila siku, ulishuhudia Samia akivunja katiba ya chama chenu na ukazunguka kufanya naye kampeni nchi mzima alafu...
  2. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead ! Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kutoka nembo ya bibi na bwana kuwa nembo ya CCM kuanzia dola mpaka mahakama.

    Hii nembo kwa sasa imekufa sio ya wananchi ni ya CCM. Leo ukitaka kuwa na cheo lazima kuwa CCM
  4. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Dah, vijana mnanunua magari ya Bilioni 1, mnasema ni forex tu, haya bwana!

    Tena hata sio milioni 700, ni Bilioni Moja hio gari. Na hapo dogo naona anataka kuanza kukodi private jet, itakayokua inampeleka katika safari zake. Eti ni forex tu. Naandika ujumbe huu machozi yakinilenga na naitazama hii baiskeli yangu ya mifupa hapa imepaki juani. Hamna shida bwana. Nchi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bwana Katambi angalia police station na ufanyaji kazi . Iga vitu vizuri kama hivi na si kupoteza, kupiga watu, kuua etc etc

    Kwa nia NJEMA tu. Ona wenzako huko Ethiopia.
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Arsenal acheni Masihara bwana!

    Wanataka kutuharibia weekend Hawa. Chuma mbili first half?
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

    Bora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

    Picha hii ilipigwa na Sista Anna Ali mwaka 1987 kutoka Kenya. Sista alitokewa na Yesu mwenyewe,akamuomba Bwana wetu ampige picha,Bwana Yesu akamkubalia . Hii ni kweli. Hakuna kisichowezekana kwa Mungu Kumbukumbu zipo. Picha ya Muujiza ya Yesu Inayodaiwa Kupigwa na Mtawa Picha inayosambaa...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jehovah ni BWANA WA MAJESHI na Allah sio Bwana wa Majeshi?

    Jina "Bwana wa Majeshi" linatoka katika maneno ya Kiebrania ya Biblia "Yahweh Sabaoth" (au Jehovah Sabaoth). Mungu anaitwa hivi kutokana na sababu kadhaa kuu za kiteolojia na kihistoria: Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni: Neno "majeshi" hapa linarejelea malaika na viumbe wote wa mbinguni. Mungu...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya sita imeamua kuajiri Motivation speaker bwana David Kafulila

    Ukimsikiliza vizuri huyu jamaa huwezi kuelewa kwa undani dhamira halisi ya awamu ya sita tulianza na BBT ya Hussein Bashed kisha tukaingia Road fund. Yote yamecolapse sasa amekuja bwana Kafulila David ambaye amekuja kwa speed ya ngiri na mawazo ya Motivation speaker.
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

    Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa. Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema. Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bwana Nchimbi, Usijiuzuru Umakamo, Wacha Samia aongoze Kikao cha Kukuondóa kwa Lazima ndivo atakavyozidi Kuchafuka ... Ukijuzulu wewe ,utaonekana....

    Mzee Nchimbi, sio lazima utafute Mawazo kwa Wazeee katika suala dogo kama hili.. Kimàhesabh, Ukijiuzulu wewe mwenyewe kama Alivyofanya Lowassa, Utaonekana wewe ndio Snitch, Mkorofi, uliyekua unamfitinisha Samia , na Genge la Samia wanaweza kutengeneza Picha ya Wananchi kuamin kua "Wewe ni mmoja...
  13. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

    Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala. Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Waziri mchapakazi bwana Makonda?

    Ni kipindi kirefu sasa, ndugu yetu bwana Makonda hajatokea/ kuonekana isivyo kawaida! Makonda ambaye pia ni Waziri anayesimamia Michezo na Habari, imezoeleka ni Kiongozi apendaye aonwe mara kwa mara kwa matukio yasiyo punguka, ni ajabu sasa ni karibu ya Mwezi hajafanya hivyo. Si Kizimkazi...
  15. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Jitoe Ufahamu: Njia ya Kuwashinda Wafilisti

    Baada ya kumsema mtu kwa mabaya akianza kung'ara wanaanza kukaa kimya Nimefatilia sana ile issue ya juma jux.. Ila nikajifunza kitu kimoja kikubwa sana, na hata mondi(japo simjubali) aliweza kujua kukitumia.. Ni kutumia maneno ya watu kama Kiki ya wewe kufanya makubwa... Jux katoa bonge la...
  16. 2

    JamiiForums Tanzania Nchimbi angesoma na kuzielewa sheria zifuatazo kwenye kitabu cha 48 laws of power kingemsaidia sana

    Sheria namba 1, 14, 18, 35, 38, na sheria namba 46 Never Outshine the Master Pose as a Friend, Work as a Spy Do Not Build Fortresses to Protect Yourself—Isolation Is Dangerous Master the Art of Timing Think as You Like, But Behave Like Others Never Appear Too Perfect
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Hallelujah! Nchimbi Ameokoka, Bwana Asifiwe!!!?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba...
  18. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Bwana Mungu ndiye mchungaji wangu mwema, sitapungukiwa na kitu

    https://youtu.be/pfMiJk9pH4k?si=WpiEJixA5JZL34ZZ zaburi 23 Hakika Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu msaada utakao onekana tele hata wakati wa mateso. Mungu yeye ni nguvu zetu na wokovu wetu. Hata kama unapitia magumu kiasi gani haijalishi majaribu mazito na makubwa kiasi gani unayoyapitia...
  19. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Chupa ya kipa wa England ilikuwa na majina ya wapiga Penati wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina waliiotea chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, ambayo ilikuwa na maelekezo yaliyoonyesha upande ambao kila mchezaji wa Argentina alitarajiwa kupiga penati iwapo wakifika katika hatua hizo. Baada ya kuiona, wachezaji wote wa Argentina walikusanyika kuisoma...
  20. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Nawaambia wadada kuwa njia pekee ya kumtunza bwana ako, kumfurahisha na kumzuia kutoka nje ni kuwa malaya kitandani.

    Kuwa class nje Kuwa mrs mtaani Ila unapokuja kitandani weka pembeni mambo ya kuwa descent YAaani tingisha makebo zaidi ya wale wadada kwenye porno, lia kama mtoto, ikalia huku ukilala, igeukia kwa nyuma huku ukigeuka ukimwangalia machoni mwake. Nakuambia hivi, mme wako atakuwa anarudi...
Back
Top Bottom