wabara

Wabara is a surname. Notable people with the surname include:

Adolphus Wabara (born 1948), Nigerian politician
Lawrence Wabara, Nigerian footballer
Reece Wabara (born 1991), English businessman and footballer

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Thinking Aloud, Suppose, ... Asinge? Je... Ingemsimamisha ... 2025?. Wanzanzibari Wazuri, Majasiri Kuliko Wabara! Watendewe Haki Ndani ya Muungano!.

    Wanabodi Umasikini mkubwa zaidi na umasikini mbaya zaidi, ni umasikini wa fikra!. Kwa maoni yangu, Watanzania ni masikini sana kwasababu ya fikra za kimasikini, we just don't think, sio kwasababu hatuwezi kufikiri, no!, ukweli ni kuwa wengi wetu, hawana uwezo to think, let alone critical...
  2. M

    Ajira kwa Wazanzibar na Wabara

    Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili. Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar. Mzanzibar anafaida mara 2...
  3. M

    Tusipokuwa Makini, Kauli ya Nyerere ya Wabara na wale Wazanzibar inaanza kidogo kidogo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania. Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
  4. Street brain

    Changamoto za Muungano wetu

    Vitu vingine tinavisbabisha wenyewe wenzenu kule hawataki tuguse hata mali yao hata moja lakini wao wakija huku bara wanataka kila kitu tena wanapewa nafasi ya upendeleo kuliko mzawa. Mimi kilichoniuma zaidi mwaka juzi dogo langu alikuwa anafukuzia JKT sasa wapo kwenye mchujo. Mchujo wenyewe...
  5. Pascal Mayalla

    Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
  6. Kaka yake shetani

    Ubaguzi uliopo visiwani kwa Wabara inatosha kuwabembeleza, hata wakiwa huku bara ni vilevile

    Hawa ndugu zetu wa visiwani washajua kuwa tunawakumbatia sana ndio maana kujishugulisha hata kielimu washaona tu mtawapa nafasi zao ajira bakini nyie wa bara someni mpaka mkome. Kama tutaendelea kuwabembeleza nao hipo siku watatueleza wazi kwamba tuachane nao. Inanishangaza kwenye nafasi za...
Back
Top Bottom