temeke

Temeke District is a district in southern Dar es Salaam, Tanzania, with Kinondoni to the far north of the city, and Ilala in the downtown of Dar es Salaam. To the east is the Indian Ocean and to the south and west is the coastal region of Tanzania. The 2002 Tanzania National Census reported that the population of Temeke District was 768,451. The area is 786.5 km².

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na Mayor Temeke Muoneenni Mh Rais Huruma!

    Tanzania ni kubwa sana , ina miako zaidi ya 26 na wilaya karibu 300. Tanzania ina masoko zaidi ya elfu 8 . Masko yanasimamiwa na local government ambayo ipo kumsaidia mheshimiwa Rais. Sasa , pale wanapofanya vibaya anayelaumiwa ni Rais ni sio hao wwatendaji. Mh Rais , anapenda usafi hata juzi...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tembelea Mbagala biasi Temeke uone Manispaa ilivyoziba Mitaro ya Maji ya Mvua

    Katika hali ya kushangaza, wakati manispaa zinatakiwa zisafishe mitaro ya maji ya mvua, manispaa ya Temeke imeamua kuziba mitaro hiyo ya Mbagala Rangitatu Biasi ili maji yasambae barabarani! Nini kitatokea wakati wa mvua za El Nino tusubiri tuone utafiti huu mpya.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Tunapinga mpango wa DC Temeke kufuta Kata 10 ili kupisha Bandari Kavu, wamenogewa na biashara

    https://www.youtube.com/live/foCqxnCqX8M ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam imepokea kwa mshangao na kupinga vikali kauli za Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg. Sixtus Mapunda kuhusu mpango wa kuhamisha wakazi na kuathiri uwepo wa kata zipatazo 10 katika Wilaya ya Temeke kwa madai ya kupisha ujenzi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Mkataba Temeke hatujalipwa mshahara ya mwezi Agosti hadi sasa

    Licha ya kuwa wafanyakazi wanaopelekeshwa na kufanya kazi katika Mazingira magumu, wafanyakazi wa Mikataba wa Manispaa ya Temeke tumekuwa tukicheleweshewa mishahara yetu hadi miezi inapinduka. Watumishi wa mikataba Manispaa ya Temeke ni mojawapo ya kundi tunalofanya kazi katika Mazingira magumu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanaohusika kudai fedha za ‘parking’ kwa kusimamisha magari barabarani, wamekuwa kero kwa Wananchi!

    Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari. Hii hali ina kera sana kupoteza muda wa Wananchi. Wananchi kweli anapaswa hulipia lakini kwanini wasiweke njia nzuri...
  6. Etwege

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

    Ripoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebainisha kuwa mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kuwa na idadi...
  7. radhiya

    JamiiForums Tanzania House For Sale at Temeke Chang'ombe near DC office

    House For Sale. Location: Temeke Chang'ombe. -100 meters from National Stadium. -Corner House. Features: -3 Bedrooms(1Master Bedroom). -1 Kitchen. -1 Public Toilet. -3 Medium Size Warehouse(Stoo). -Large Parking. -Borehole(Kisima). Size: SQM 375. Starting Price: Tzs 450 Million Negotiable...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ofisi za RITA Temeke makabala ya Uwanja wa Taifa zinasikitisha, umeme umekatika na jenereta wamegoma kuwasha

    Nimefika leo, Alhamisi, kufuatilia marekebisho ya cheti changu ili niweze kupata cheti kipya. Hata hivyo, nimeelezwa kuwa huduma imesimama kutokana na kukosekana kwa umeme, ambapo inadaiwa transformer imeharibika. Tulijaribu kupendekeza kutumia jenereta lililopo kwa kuchangia gharama za mafuta...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mnapochukua video muwe makini. Unachukua paa au dirisha huoni utakamatwa?

    Hamjambo wote! Kwa wale waliosoma Jiografia hasa kwenye masuala ya Spatial and settlements distribution mtakubaliana na mimi kuhusu jambo hili. Kila sehemu, Mahali Ina style yake ya ujenzi, kuanzia madirisha, uezekaji wa bati, ndani kwenye silingboard, Pia kila Zama Zina styles zake za ujenzi...
  10. W

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya Macrobuluba Investment imeshindwa kutekeleza wajibu wa ukusanyaji taka mtaa wa Kisewe, Temeke

    Sisi wakazi wa Mtaa wa Kisewe, Wilaya ya Temeke, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utendaji usioridhisha wa kampuni ya MACROBULUBA INVESTMENTS COMPANY LTD ambayo imepewa jukumu la ukusanyaji wa taka katika eneo letu. Kwa muda mrefu sasa, kampuni hiyo imekuwa ikishindwa kutekeleza...
  11. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Shule inauzwa,ipo Mbagala bei Tsh 28 bilioni

    SCHOOL FOR SALE or RENT as YARD/ SHULE INAUZWA. IPO MBAGALA-TEMEKE Eka 80 Fully fenced Linagusa lami Full DOCUMENTS/ HATI kamili Panafaa Parking ya malori Kiwanda Hospitali BEI/ PRICE NI TSH 28b/ 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #tiles #realestate #school #houseforsale #property
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania DC Temeke: Familia isipopanda miti mitano, itawajibishwa kama muhalifu mwingine

    Kwahiyo mkuu wa Wilaya hiyo miti inafaida gani hasa huku mjini palipojaa manyumba na maduka kila mahali? Hiyo miti mitano nitaipanda wapi? Acha zako bhana fanya mambo mengine ya msingi ============= Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda ametoa tamko kwa kila mkazi wa Wilaya hiyo kupanda miti...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Yadi za malori Temeke zimekuwa kero, magari yanaziba njia, yanakata umeme, maafisa wa TANESCO wakija 'wanapozwa'

    Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa TANESCO wakija hawawasilishi kesi ofisini wanapewa hela na watu hawalipwi, vitu vyao vilivyoungua. Barua...
  14. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Temeke: Ukidakwa na hawa Wrong Parking unalipishwa laki mbili Papo kwa papo! Muda wa mavuno kwa Watawala

    Kwanza Kabisa Bandari ipo Temeke, Uwanja wa Ndege Temeke, Uwanja wa Taifa Temeke. Lakini wamekosa ubunofu wa kukusanya kodi, wanaamua kukudandia ukipark kidogo tu gari inabebwa unapigwa faaini. Kwamba ndo ubunifu wa kuingiza kipato Halmashauri. Ukiwauliza Parking kwa Temeke zipo wapi hata za...
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania House For Sale at Temeke Chang'ombe

    House For Sale. Location: Temeke Chang'ombe. -100 meters from National Stadium. -Corner House. Features: -3 Bedrooms(1Master Bedroom). -1 Kitchen. -1 Public Toilet. -3 Medium Size Warehouse(Stoo). -Large Parking. -Borehole(Kisima). Size: SQM 375. Starting Price: Tzs 450 Million Negotiable...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

    Kitambaa Cheupe mnapazingizia tu. Pana wastaarabu sana. Izo sehemu mbili tajwa kwa level yangu ya dhambi, nimeona mengi sana.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KERO Milima ya taka inatupa hofu ya mlipuko wa magonjwa Wakazi wa Buza, Temeke

    Kwa siku sita sasa, wakazi wa Buza tunaendelea kuishi katika mazingira hatarishi baada ya taka kurundikana katika maeneo mbalimbali bila kuondolewa na mamlaka husika. Gari la kukusanya taka linalosimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke lilipita mtaani likitoa tangazo kuwa wakazi watoe...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Temeke hatujalipwa fedha za likizo tangu 2019, nasikia zimewekwa Fixed Account ziwazalishie

    Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu, Temeke Manispaa, Dar es Salaam. Pia soma ~ Naibu Waziri Qwaray: Waajiri wote lazima watenge bajeti ya...
  19. radhiya

    JamiiForums Tanzania House For Sale at Temeke Chang'ombe

    House For Sale. Location: Temeke Chang'ombe. -100 meters from National Stadium. -Corner House. Features: -3 Bedrooms(1Master Bedroom). -1 Kitchen. -1 Public Toilet. -3 Medium Size Warehouse(Stoo). -Large Parking. -Borehole(Kisima). Size: SQM 375. Starting Price: Tzs 450 Million Negotiable...
  20. S

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya sekondari Wailes Temeke inaongoza kwa viboko na michango

    Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000, Kuna kusoma...
Back
Top Bottom