mafanikio

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa maishani mwako degree(s) yako imechangia mafanikio yako kwa asilimia ngapi?

    “Change is the end result of all true learning.” — Leo Buscaglia
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wazo lako linaweza kuwa Mwanzo wa Mafanikio ya Mtu mwingine

    Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji, au kulipeleka kwenye soko kabla mwenye wazo hajafanya hivyo. Kuna kosa ambalo watu wengi wenye...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa yanki miaka 10+ na 20s nilidhania siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiii, sikuwa sahihi, siri ya mafanikio ni connection na favour

    Pesa ni numbers, pesa sio maneno, pesa sio process yoyote, Pesa ni numbers. Kumbuka una hela ila hauna pesa
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UNGA 2026: Mhe.Ndejembi aanika mafanikio ya Rais Samia kwenye sekta ya afya

    Na Dr. Zack, WAF- New York Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kila mmoja anaratiba ya mafanikio ngoja ya kwako

    Miaka kadhaa iliyopita, wakati tukiwa mdogo na marafiki zangu wengi , miongoni mwa rafiki yangu wa karibu sana huyu ndugu yangu wote tumezaliwa mwaka mmoja tofauti ni tarehe na miezi, Tulifanikiwa kusoma shule za mzingi pamoja ingawa kila mmoja alisoma shule yofauti ila tulikuwa madarasa...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Umaskini ni Kukosa Akili. Badilisha Mtazamo!

    Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili? Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa? Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities? Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm.. Yaani...
  7. bless on

    JamiiForums Tanzania Soichiro Honda: Kutoka Maafa Hadi Ufalme

    Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo! Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki! Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
  8. Heinz Consulting

    JamiiForums Tanzania "Constituency" Yako Ndiyo Siri Kuu ya Mafanikio ya Shirika Lako

    Shirika lolote lisilo la kiserikali (NGO au Nonprofit), kufanikiwa katika utafutaji wa rasilimali fedha (fundraising) mara nyingi hutokana na kuomba fedha kwa watu sahihi. Kimsingi, fundraising yenye tija inahitaji uelewa wa kina na wa kimkakati wa "constituency" yako au kundi la watu wenye nia...
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Siri ya Utulivu na Mafanikio

    Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia. Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by nature, huwa ni so weak. Ila ile reaction ina wa manipulate kudhani wako sahihi. Kadri unavyo...
  10. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mafanikio Sio Pesa, Ni Nishati Unayotoa

    Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance. Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will. Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Nimekuwa katika industry ya kilimo na ufugaji na nimejifunza mengi kwani kuna changamoto nyingi kuanzia unapoweka kuku bandani siku ya kwanza hadi unawatoa. Kila wiki katika ufugaji inakuja na changamoto yake , umakini hasa unaitajika siku za mwanzo ukianza vibaya utaona kila rangi na unaweza...
  12. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Jitoe Ufahamu: Njia ya Kuwashinda Wafilisti

    Baada ya kumsema mtu kwa mabaya akianza kung'ara wanaanza kukaa kimya Nimefatilia sana ile issue ya juma jux.. Ila nikajifunza kitu kimoja kikubwa sana, na hata mondi(japo simjubali) aliweza kujua kukitumia.. Ni kutumia maneno ya watu kama Kiki ya wewe kufanya makubwa... Jux katoa bonge la...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?

    Kumekuwa na wimbi la watu kutuonyesha pesa, dhahabu, majengo, magari n.k bila kutuonyesha njia zilizotumika kupata hivyo vitu. Wanakuwa wanatuonyeshea matokea, badala ya mchakato mzima uliotumika katika kufanikisha hayo matokeo. Lengo lao ni kutaka nini kutoka kwetu? Au wana ajenda gani katika...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kipaji Chake Kilikuwa Laana na Mkosi Kwake, Usagaji, Maisha, Mafanikio na Kifo cha Brenda Fassie

    Brenda Nokuzola Fassie (anayejulikana kama MaBrrr) alikuwa nguli wa muziki kutoka Afrika Kusini, mtunzi, na mwanaharakati aliyetawala sanaa ya muziki kama "Malkia wa Pop wa Kiafrika". Maisha yake yalijaa mafanikio makubwa ya kimuziki lakini pia yalikumbwa na dhoruba kali za kashfa, matumizi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

    Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani. Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na kizazi chake kuondoka tunakutana na habari hii Yeftha historia yake hiko wazi alikuwa ni mtoto wa mama...
  16. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazowafanya wagonjwa wengi wa bawasiri kutumia dawa nyingi bila mafanikio

    ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO. Pandex(+255 743 549 126) Pandex Herbal Clinic Dar es salaam ILALA BOMA. PANGANI & UTETE STREET Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
  17. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya walimu Kilindi Tanga yafika ofisi ya waziri mkuu Kwa mafanikio.Cwt kilindi kuburuzwa katika vyombo vya kisheria

    Habari za muda huu. Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha walimu kuwa kazi aliyotumwa ameifanya kikamilifu huku akiwatumia picha kadhaa za ushahidi wa kufanikisha...
  18. Vien

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio hawaniambii wamefika vipi, wanasisitiza nisikate tamaa

    Mafanikio hayataki kelele nyingi. Watu wengi huona matokeo ya mwisho, lakini hawaoni mchakato uliomfikisha mtu hapo. Ukikutana na mtu aliyefika mbali, mara nyingi atakuambia “usikate tamaa,” lakini ukimuuliza amepitia nini mpaka akafika hapo, si rahisi kukueleza kila kitu. Kuna mambo aliyapitia...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile . Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
Back
Top Bottom