buza

George Buza (born January 7, 1949) is an American-Canadian actor who is best known for voicing Beast in the X-Men Animated Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Buza zinakatisha ruti kila siku, zinatushusha njiani; LATRA chukueni hatua

    Habari wakuu natumai mko poa kabisa ndugu zangu wahishimiwa wanabodi na kadhalika. Mimi ni yule yule wa siku zote mkazi sugu wa buza kanisani always nimekuwa nikileta kero za usafiri huku kwetu japo hazitatuliwagi ila sitoacha kutoa kero kwa niaba ya wengi natumai one day zitawafikia wahusika...
  2. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuzika haraka kwa Waislamu; Haiwezekani kuwa kuna watu wanazikwa wakiwa kwenye Coma?

    Hivi utaratibu wa waislamu kuzika mtu ndani ya masaa machache hauwezi kuwa unazika watu wakiwa hai? Kuna jambo nimekuwa nikalitafakari kwa kina sana hasa kwa upande wa sayansi na uhalisia wa kibinadamu. Hili suala la utaratibu wa ndugu zetu Waislam kukimbilia kuzika mwili ndani ya masaa...
  3. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kumbe Buza ni sehemu nzuri namna hii

    Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KERO Milima ya taka inatupa hofu ya mlipuko wa magonjwa Wakazi wa Buza, Temeke

    Kwa siku sita sasa, wakazi wa Buza tunaendelea kuishi katika mazingira hatarishi baada ya taka kurundikana katika maeneo mbalimbali bila kuondolewa na mamlaka husika. Gari la kukusanya taka linalosimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke lilipita mtaani likitoa tangazo kuwa wakazi watoe...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote

    Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

    Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana. Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Tunafanya uchunguzi Kituo cha Buza Kanisani kuhamishwa, tunashauri kwa sasa utaratibu wa zamani urejee

    MKUU WA TAKUKURU TEMEKE (M) - HOLLE MAKUNGU TAARIFA KWA UMMA TAKUKURU TEMEKE YACHUKUA HATUA KUFUATIA KERO YA WANANCHI BUZA Temeke Februari, 2026 Ndugu Waandishi wa Habari, TAKUKURU Mkoa wa Temeke tumewaita leo kufuatia taarifa ya kero ya wananchi wanaoishi eneo la Buzza, Wilaya ya Temeke...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Maandamano ya Wananchi wa Buza - Dar es Salaam "Tumechoka tunamhitaji mkuu wa mkoa aje tunateseka"

    https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
  9. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi foleni za Mbagala, Buza zimekuwa kero sana

    Foleni zimekuwa ni jambo la kawaida, hasa kwa wanaosafiri kuelekea maeneo ya Mbagala au Buza, ambako safari inaweza kuchukua hadi saa tatu kufika, sehemu ya kufika ndani ya lisaa limoja hata kama umbali si mrefu. Hali hii imekuwa kero kwa wakazi na imekuwa ikikwamisha shughuli nyingi za kila...
  11. sued's

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Changamoto wanayopata wanafunzi kutoka kwa Makondakta hasa magari ya Buza , na G/Mboto

    Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto. Na...
  12. Stability

    JamiiForums Tanzania Niko maeneo ya buza getoni kwa shemeji yenu. Sasa mrembo huyu amenipikia haya majitu, sijui ni nini au kunas meseji gani anajaribu kunifikishia?

    Namuuliza, eti yeye ananiambia wewe kulaa bwana
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Djigui Diarra ni Mwarabu wa Buza kwa Mparange

    Golikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra. Moja ya jambo linaloniudhi kupita maelezo kuhusu huyu mdaka panzi ni vitendo vyake vya kupoteza muda...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Siku hizi siwasikii tena Warusi wa Mbagala na Buza kama ilivyokuwa mwanzoni vita vya Ukraine na Urusi

    Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF. Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa tunawagopa sana kwa habari zao na jinsi walivoipa urusi uchambuzi na propaganda zao kuhusu putin. Ila mpaka...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ana tabia zote za waswahili wa Buza

    Petty and vindictive.
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

    Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam. Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hakuna Cha ‘Pray for Israel’ au Iran - Wacha Wapigane Hadi Wachoke! Mpalestina wa Buza na Muisrael wa Bonyokwa kaeni kwa kutulia

    Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida. Kwa nini? Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MSAJILI MSITOE USAJILI WA KANISA WALA SEHEMU YA IBADA KWA BW C.GODLOVE..MSSISEME AYUJAWAMBIA YA BUZA MLIYASIKIA MKAYAONA

    KWAKO MH MSAJILI NIMEONA CLIP MOJA YA KIJANA MMOJA MPENDA MTANDAO KAMA NDUGUYETU YULE KIBOKO YA WACHAWI HUYU BWANA ANASEMA HANA MPANGO WA KUFUNGUA KANISA ANAFUNGUA SEHEMU YA KUABUDIA MWENYE DINI YOYOTE AJE NA AJALAZIMISHA MTU KUJA AMESEMA YUKO KWENYE PROXESS ZA KUOMBA USAJILI NAOMBA KABLA...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania BUZA KWA LULENGE PAMEANZA KUCHANGAMKA TENA.THX ASKOFU EDWARD

    Injili lazima iendeleeeee.... PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂 ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇 "TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Mme aliyeibiwa na dada wa Buza yuko wapi?

    Bwana anayegombaniwa na afande na dada wa buza yuko wapi? Mbona tumemuacha naye ndiye chanzo cha haya yote?
Back
Top Bottom