mlima kilimanjaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Hatuna hata movie moja iliyoigiziwa Mlima Kilimanjaro

    Hatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro. Isiwe kipande tu iwe movie yote full mwanzo Mpaka mwisho ichezewe mlimani.
  2. Roving Journalist

    Polisi Tanzania na Interpol wamkamata aliyowatapeli Watalii waliokuja kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii waliokuja nchini kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani na nje ya Tanzania. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
  3. JanguKamaJangu

    TANAPA yafunga njia ya kupanda Mlima Kilimanjaro kupitia Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi kutokana na mvua

    TAARIFA KWA UMMA Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatoa taarifa kwa wadau wa utalii na umma kwa ujumla kwamba linafunga kipande cha njia cha "ARROW GLACIER" ambacho hutumika na baadhi ya wageni wanaopanda Mlima Kilimanjaro kupitia njia ya Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi...
  4. Ndagullachrles

    Mradi wa Kiberenge mlima Kilimanjaro kwa faida ya nani

    Wadau wa sekta ya utalii katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha,wamepaza sauti wakitaka mchakato wa mradi wa ujenzi wa kiberenge ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro usitishwe . Kwamba mradi huo ambao utahusisha viberenge 40 katika Njia za Machame na remosho umegubikwa na changamoto...
  5. Superbug

    Kwa msiofahamu mlima kilimanjaro unapumulia mlima rungwe ukiuziba mlima rungwe kilimanjaro inalipuka.

    Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro. Kwa leo ni hayo marry christmass. Superbug
  6. 5 Nyingi

    Wazo: Viongozi waYanga wapeleke Bango Mlima Kilimanjaro

    Jambo hili lisiishe hivi hivi, ni lazima watalii wajue kilicho tokea. Bango la 5G lipelekwe kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Africa, pia bango liwekwe kwenye malango yote ya hifadhi za taifa na mbuga za wanyama. Ni muhimu pia kuweka kwenye international airports, bandari (Boss la DP...
  7. M

    Wabeba Mizigo Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku?

    Wakuu swali langu ni hilo wale wagumu aka ma-porter wanaopanda Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku au kwa mwezi?
  8. Influenza

    Moto mlima Kilimanjaro waingia siku ya 7 huku juhudi za kuuzima zikiendelea

    Mamlaka nchini Tanzania kwa kushirikiana na wananchi wanapambana kuzima moto uliozuka katika eneo la Indonet-Rongai lililopo kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA). Mpaka sasa chanzo cha moto huo ulioanza Jumapili iliyopita bado haujafahamika ambapo tayari umeteketeza ukanda wa juu...
  9. ramtall

    Haya ni madini aina gani?

    Mwenye ufahamu na mambo ya Mawe au madini naomba msaada wa Mawe haya ni Aina gani?. Nimeyatoa Mlima Kilimanjaro
  10. LIKUD

    Sababu za kiroho kwanini Simba wezindulia jezi zao kwenye like cha Mlima Kilimanjaro

    Kwa wale wasio jua, Mlima Kilimanjaro ndio Mlima mrefu kupita yote duniani. Kwa wale walio karirishwa la saba b watasema " Mlima Himalaya/Everest ndio Mlima mrefu kupita yote duniani" Ni hivi Mount Kilimanjaro is the most FREE STANDING tallest mountain in the world Mount Everest is a mountain...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Suala la Simba kuzindua jezi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro sio suala la kimichezo ila ni la kiroho litakaloathiri sana siasa za Taifa letu

    Wasalaam. Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes. Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na...
  12. uran

    Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje? --- Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari. Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.
  13. BARD AI

    Watalii wenye Figo 1 waanza kupanda mlima Kilimanjaro

    Watu 31 ambao wanaishi na figo moja, wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuihamasisha jamii kujitolea kuchangia kiungo hicho kwa ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji. Maadhimisho ya siku ya figo duniani, huadhimishwa Machi 9 ya kila mwaka, kwa lengo la kuhamasisha...
  14. Wadiz

    Mlima Kilimanjaro haujaheshimika kutowekwa kama nembo kwenye noti ya elfu10

    Hello hello, Mlima(Mt.)Kilimanjaro the pride of Tanzania. Ebu ifike pahala kama taifa tuwe serious kwenye fikra na dhamira mbali mbali katika uendeshaji na mipango ya nchi, tutafakari tu, hivi upekee wa Tanzania katika utambulisho wa nembo za rasilimali kuu za taifa kwenye pesa zetu hasa noti...
  15. Roving Journalist

    Prof. James Mdoe: Lugha ya Kiswahili ina wazungumzaji takriban milioni 250, sasa kupandishwa Mlima Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
  16. Roving Journalist

    TANAPA: Ripoti imebaini chanzo cha moto Mlima Kilimanjaro ni shughuli za kibinadamu

    Kamishna William Mwakilema Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ripoti ya kukamilisha uzimaji wa moto uliotokea kwenye maeneo ya Mlima Kilimanjaro huku wakibainisha kuwa taarifa za awali zimebaini kuwa chanzo cha moto ni shughuli za kibinadam. Kitengo cha usalama cha TANAPA...
  17. BARD AI

    Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA). Mwenyekiti wa kamati hiyo, Ally Juma Makoa amepongeza Wizara kwa kuboresha miundombinu katika eneo la...
Back
Top Bottom