kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania NI NJIA GANI BORA YA KUTOA FEDHA KUTOKA META (Facebook).

    Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi 1-Kupitia Payoneer 2- PayPal 3-Direct kuja bank zetu hizi Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Panapokuwa na Rais wa Bara Muislam panaweza kuwa na makamu mkristo kutoka Zanzibar ?

    Mfano kipindi cha Kikwete alilazimika kuwachagua Ali Mohamed Shein na Mohamed Gharib Bila
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa Huu Ujinga wa Kudhaminiwa na Chama cha Siasa, 2030 Akisimama Kama Mgombea Huru, Hakuna Mtu Atashindana Naye. Rais Bora ni Kutoka CCM Pekee!

    Wanabodi Kwanza nitangulize kuomba radhi kwa kusema samahani kwa shurti la udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!. Kiukweli kitu ambacho ni cha kijinga kweli kukiita ni ujinga,ni halali...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakopeshwa Billion 459 kutoka korea kusini

    Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa Source: Africaninsider
  5. G

    JamiiForums Tanzania TAFAKARI YA ASUBUHI: Leo tusome na tujifunze kwa pamoja hadithi kutoka katika kitabu cha ukweli muaminifu juzuu ya 1 na 2 hadithi 74 ukurasa wa 42

    Tutafakari kwa pamoja.
  6. Pumpkin girl

    JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kutoka Mataifa yaliyoendelea. Hakuna chama cha siasa kinafanya harakati kwa sasa

    Kutumia mbinu za miaka ya 40 na 50 katika era ya Science na Technology ni kukosa ubunifu.
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujua je, mashahidi walioitwa na Tundu Lissu akina Samia, Majaliwa, Mpango wanaenda kutoka ushahidi upi mahakamani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo ziwe salamu zetu kila asubuhi ufunguapo JF. Salaam kutoka kwa Heche

    Hizi ndizo ziwe salamu zetu za kwanza wapenda haki , Amani na mageuzi kila ufunguapo JF. SOTE TUSEME AMEN
  11. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote. Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki. I'm out.
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

    Kuonekana kwa Freeman Mbowe hadharani leo katika uzinduzi wa Serikali wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA, ambao wanaona hatua hiyo kama usaliti kwa mapambano ya sasa ya chama hicho. Wafuasi wengi wa...
  13. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania *ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA* *LIPO DSM VICTORIA* *UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500* NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD *FULL DOCUMENTS*

    ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA LIPO DSM VICTORIA UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500 NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD FULL DOCUMENTS BEI NI USD $6m 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #beachplotsforsale #tanzaniantiktok🇹🇿 #houseforsale #creatorsearchinsights #viral_video_tiktok_treding
  14. R

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kidogo kutoka case ya R v Galbraith on NO CASE TO ANSWER

    No Case to Answer In English criminal law, no case to answer refers to a situation in a trial where the defence argues that the prosecution's evidence is so weak or lacking that a reasonable jury, properly directed by the judge, could not convict the defendant. It allows the defence to...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya ruling ya HC kutoka kuhusu kesi Lissu je mmegundua nini juu ya uelewa wa machawa?

    Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants. Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a...
  16. min -me

    JamiiForums Tanzania Funzo kutoka kwa Madebe na Chanuo

    Nimeikuta x twitter, hichi kisa cha hawa wasanii wawili kuachana, na kutupiana vijembe. Kwa kusoma kwa kina , nimegundua huyo Madebe ndio Pumbavu takataka kabisa. Unammtoa mwanamke mzuri, kwenye shida unamweka mjini ila wewe unashindwa kujinasua kwenye tabu na kuendana nae na wakati...
  17. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mbappe na Bernado Silva, kutoka Monaco hadi Real Madrid

    Miaka tisa iliyopita, Kylian Mbappé na Bernardo Silva walikuwa sehemu ya kikosi cha Monaco kilichotikisa soka la Ulaya mwaka 2017. Wawili hao walicheza pamoja katika kikosi hicho kabla ya kutengeneza njia zao tofauti kwenye soka la kimataifa. Sasa, mwaka 2026, historia imewarudisha pamoja tena...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wapata kipondo kutoka Majeshi ya Israel!!!

    Ndege za kivita za Israeli zilifanya takriban mashambulizi 10 ya anga usiku kucha kwenye Mlima Ali al-Taher na kijiji cha karibu cha Kfar Roumanne kusini mwa Lebanon, ikiambatana na milipuko ya mizinga iliyoendelea hadi Alhamisi asubuhi. Ukali wa milipuko na mitetemeko ya ardhi iliyosababishwa...
  19. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye uzoefu wa kutoka kimapenzi na mwanamke lecturer humu?

    Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi. Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
  20. K

    JamiiForums Tanzania 🔥 Kutoka Kongo Hadi Morogoro: Miamba Mitatu ya Rumba na Jinsi Watoto Wao Walivyobeba Urithi wa Wazazi

    Wanajamii Forums, leo naomba tupitie kwa ufupi magwiji wa muziki wa dansi ama Rumba wa Afrika Mashariki na Kati, kazi zao zilizotukuka, na jinsi vizazi vyao vinavyolinda urithi huu wa kihistoria. Tasnia ya muziki wa kizazi cha dhahabu (Golden Era) barani Afrika ilitawaliwa na ubunifu mkubwa wa...
Back
Top Bottom