makampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. The Sheriff

  Zuchu hafanyi matangazo ya vileo. Vipi kuhusu kazi zinazodhaminiwa na makampuni ya vileo?

  Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no matter how much mulla it brings. Kumbe si ughaibuni tu ambapo watu wana uthubutu wa kukataa michongo...
 2. jingalao

  Kwa kufanya miamala ya kifedha makampuni ya simu yamechepusha ukwasi kiasi gani kutoka benki?

  Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA) Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes. Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu?? Hivi ni kwa nini benki yetu ya...
 3. M

  Elimu kuhusu Kodi (Rent)

  Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA). Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria. Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa wafanya biashara na makampuni nk, lengo...
 4. Mystery

  Tozo mpya kwenye simu zitaua soko kwenye kampuni za simu

  Habari za kusikitisha sana ni kuwa zile tozo kubwa Sana za simu zilizopitishwa kwenye bajeti na Bunge letu, zilizotangazwa na waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, zinaanza kutumika rasmi leo na kuwaumiza sana wananchi wanyonge wa nchi hii Kwa hakika ni kilio kikubwa kwa mamilioni ya wananchi...
 5. Komeo Lachuma

  Ongezeko la kodi ya Mafuta ni kuwalipa fadhila "Wakubwa" wanaomiliki hisa/makampuni/vituo vya Mafuta?

  Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana. Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya Serikali kutumika na Makampuni binafsi. Refer eneo la Tazara kupewa Kampuni moja ya kuuza Mafuta ya...
 6. Replica

  Ndugulile: Hatutayavumilia Makampuni yatakayoshindwa kulinda Faragha za wateja

  Waziri Faustine Ndugulile amesema hawayavumilia makampuni yanayotoa siri za wateja wao akitolea mfano mtu kupigiwa simu na kuambiwa Salio lililopo. Pia waziri Ndugulile amekemea wahudumu wasio waaminifu kwenye kampuni hizo wanaoshirikiana na wahalifu kwa kutoa Siri za wateja. Waziri amesema...
 7. Erythrocyte

  Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

  Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO . Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
 8. Corticopontine

  Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

  Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
 9. Hazard CFC

  Nayashauri makampuni ya simu yaanzishe fixed accounts kwenye huduma zao za kifedha

  Nayashauri haya makampuni makubwa ya simu kunzisha fixed account ambazo tutakua na uwezo wakuweka pesa tu bila kutoa hata iwe mvua liwake jua kwa kipindi cha mwaka na zaidi. Mteja apewe options ya kuchagua muda ambao ataweza kuitoa pesa yake. Options ziwe mbili kutoa baada ya muda flani au...
 10. Josh J

  Wakenya wametupiga bao sana kwenye uwekezaji nchini

  Wakuu Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260. Tanzania sisi sasa tuna kampuni 30 tu. Je, tumekwama wapi kama Nchi? Nini kifanyike? Waalimu, Wahudumu katika hoteli nyingi ni Wakenya...
 11. TheDreamer Thebeliever

  Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

  Habari wakurugenzi..! Nilikiwa nashauri haya makampuni yaanze kukubali gharama za simu tuwe tunazilipa kama kodi ya nyumba tuwe tunalipa kila baada ya miezi au mwaka na tunaandikishiana na kuwe na mikataba kati ya mtumiaji wa huduma na kampuni husika . Hilo swala la kulipa vifurushi naona...
 12. Krav Maga

  Ex - CAG Uttoh: Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yanatoa 'Gawio' Serikalini Kimakosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza

  " Siyo sahihi kwamba kila Shirika au Kampuni Kisheria linatakiwa kutoa Gawio kwa Serikali. Ni bahati mbaya mno Watu hatupendi Kusoma Sheria na Taratibu mbalimbali na tukitishwa tu tunalegea na kutoa. Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yakitoa Gawio kwa Makosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa...
 13. F

  Kuhusu vifurushi vya simu asilaumiwe Waziri Ndugulile au makampuni ya simu bali Serikali

  Kwa maoni yangu, Makampuni haya hususan mbabe wa wababe Vodacom, huwezi kuyapa lawama wala Waziri wa Mawasiliano.. kwanini? kwasababu wangekuwa wamefanya kinyume na Serikali inavyotaka wangeshapigwa faini au hata kufukuzwa nchini! lakini kwa upande wa Ndugulile kama angekuwa ni yeye mtaabishaji...
 14. Emmanuel Kasomi

  Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi

  Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi Watumiaji wa simu za mkononi bado wameendelea kulia na mabadiliko ya vifurushi vya simu za mikononi ambayo yamepandisha gharama za matumizi. Mabadiliko hayo ya vifurushi ambayo yalifanyika Hivi karibuni yakihusisha makampuni mbalimbali ya simu...
 15. sammosses

  Makampuni ya kukopesha pesa kwa riba yamerudi rasmi

  Uchumi wa nchi umekuwa Sana na kufikia uchumi wa kati kabla ya muda ulio kusudiwa, maanake tume break event.lakini Maisha ya Watanzania hayahakisi uhalisia wa mabadiliko hayo ya uchumi. Makamu wa rais amesema kuwa Hali ya umaskini kwa Watanzania ni mbaya Sana,wananchi zaidi ya milioni 14...
 16. Analogia Malenga

  Makampuni 49 ya Tanzania yaruhusiwa kuuza maharage soya China

  Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China. Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika.
 17. T

  KWELI BABA ANGEAGIZA BEI ZA VIFURUSHI ZISHUSHWE, MAKAMPUNI YA SIMU YANGEKAIDI HADI MUDA HUU?

  Tangia serikali iagize kurejeshwa kwa bei za awali kwa vifurushi vya simu ni takribani masaa zaidi ya 20 yamepita. Sio kampuni ya serikali, TTCL wala kampuni binafsi (Tigo, Voda, Airtel na Halotel waliotekeleza agizo hilo. Kijiswali cha kuchomekea tu, hivi Baba angeagiza hivyo, Kuna kampuni...
 18. M

  Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

  Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
 19. Kingsmann

  Hesabu Zetu Vs Hesabu za Makampuni ya Simu

 20. KeyserSoze

  Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

  1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya...
Top Bottom