kuagiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nafundisha jinsi ya kuagiza bidhaa china

    Watu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu. Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia. Kwenye mafunzo yangu utajifunza: 📦 Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini 🏭 Jinsi ya kutafuta supplier wa kuaminika 💳 Namna ya kulipa salama 🚢...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na tukio la kuagiza kitu mtandao halafu ulicholetewa ni tofauti na ulichoagiza?

    Mimi niliwahi kuagiza nguo Kariakoo ilikuwa suti niliiona mtandaoni. Itoshe kusema nilichokiona nikakiagiza na nilicholetewa ni vitu viwili tofauti. Ile nguo ikabidi niigawe hata sikuivaa na ilikuwa ni ya tukio. Mpaka leo siwezi kuagiza nguo mtandaoni mpaka nikajihakikishie mwenyewe. Majibu ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Damu haikauki; Raul Castro (94), ashtakiwa kwa mauaji ya miaka 30 iliyopita akiwa Waziri wa Ulinzi

    Wakati kakaake Fidel akiwa Rais ye ndo kidume cha utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji na mauaji Lakini hizi jinai za damu huwa haziozi. Methali za mavi ya kale hayanuki ni uongo tulikaririshwa shule. Shule zetu zile zilikuwa mbovu, ndo maana tunaagiza viberiti Kenya. Charge sheet, hati ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunazalisha Wataalamu wa Famasi Halafu Tunawanyima Mitaji Wakati Tunatumia Mabilioni Kuagiza Dawa

    Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania. Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji na bila nafasi ya kujenga viwanda vya dawa nchini. Wakati huo huo, kila siku serikali inaendelea...
  5. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown

    Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuagiza magari toka Japan na mikopo yake

    Habari Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yatumia Bilioni 23 Kuagiza Maziwa Nje Ya Nchi

    Wakati Tanzania ikijivunia kuwa na idadi kubwa ya mifugo, bado inalazimika kutumia zaidi ya Sh23 bilioni kila mwaka kuagiza wastani wa lita milioni 11.6 za maziwa kutoka nje ya nchi. Hali hiyo inayochangiwa na changamoto za ubora ambapo miundombinu na elimu kwa wadau wa sekta maziwa ni vikwazo...
  8. Clack-Sniper

    JamiiForums Tanzania Kwani Kodi za Kuagiza Magari zimeshuka?

    Wataalamu naomba kuuliza kwani gharama za Kodi kwsnye kuagiza Gari zimeshuka au. Maana nimezoeaga kuona ghadama za kodi ni sawa sawa na Bei ya Gari kuagizia. Ila sahizi naona ni tofauti iko Chini Kodi zimeshuka?
  9. Heritage123

    JamiiForums Tanzania JInsi ya Kuagiza Bidhaa China Kupitia Alibaba

    Unataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui wapi pa kuanzia? Alibaba.com ni moja ya mitandao mikubwa duniani ya wauzaji wa jumla ambapo unaweza kuagiza bidhaa kwa bei nafuu, kutengeneza brand yako mwenyewe (OEM), au hata kuanzisha biashara ya kuuza kwa mtandao (Dropshipping...
  10. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kuagiza Nje Pikipiki vs Kununua Hapa Tanzania ipi nafuu?

    Wakuu, Naomba mnisaidie au mawazo yenu pia, nilikuwa na lengo la kwa muda sasa la kununua pikipiki aina ya Sanlg kwa sababu ya shughuli zangu na sababu za kupoint SANLG ni kampuni inayotoa Product nzuri kwa pikipiki zenye hekaheka kubebea mizigo n.k ni vumilivu sana. Nilipanga nichukue mwezi wa...
  11. Bibianna

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tanzania hupoteza shilingi bilioni 20 kwa kuagiza Tani milioni 10 za mchuzi wa zabibu kila mwaka | Sasa kiwanda kikubwa kujengwa.

    Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango akisimika mche wa mzabibu kama ishara ya Kuwepo kwa Kiwanda Kipya cha kusindika zabibu Mkoani Dodoma. Cghini ya Rais Samia, Kiwanda cha kusindika zabibu kilichopo Chinangali II, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimejengwa kwa gharama ya Shilingi bilioni 2.1...
  12. Heritage123

    JamiiForums Tanzania MACHIMBO YA FAIDA YAPO KARIKOO: Jinsi ya Kuagiza Bidhaa kwa Bei ya Jumla Bila Kufika Dukani

    Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida. nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
  13. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Bila Agent - Hatua kwa Hatua (2025 Blueprint)

    Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio? Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini kabisa. Na unaweza kuagiza mwenyewe, bila kupitia agent wala kulizwa. 👇 Hizi ndizo hatua za msingi...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mtu kuagiza vinywaji kwa sifa Nni ulimbukeni na ushamba au ni normal?

    Eti ukienda bar hata ndio Una hela ila umeagiza mezani azam energy ya can,black and white,Serengeti lite 21.hivi kwa uelewa wako unahisije ukijipata NI lazima uweke bango kama hivo?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua au kuagiza baiskeli used Japan, nerthela au kwingineko

    Msaada wazoefu nawezaje kuagiza baiskeli used toka japani nakwingineko baiskeli kama hizi
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani Bora kuagiza Gari nje ya nchi? Japan, UK, Singapore etc

    Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi; 1. Be forward, 2. SBT Japan, 3. Enhance Auto.
  17. Livanga

    JamiiForums Tanzania Je napotaka kuagiza gari ni sawa kupata ushauri wa Fundi? Nini kifanyike kushawishi mafundi kuongeza ujuzi zaidi?

    Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu katika jukwaa hili Kwa lengo kuu Moja kutoa msaada na huduma Kwa wale wote ambayo watakuwa wanahitaji kuagiza magari nje ya nchi Mosi watapewa ushauribwa kitaalamu na kuweza kuchukua uamuzi WA busara lkn pia watapewa Elimu ya Kodi ili kujua kipi wafanye kabla ya...
  20. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Amani iwe nanyi nyote Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
Back
Top Bottom