waliokufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nash MC(Maalimu) awakumbuka wote waliokufa 29.10.2025

    Nash MC(Maalimu) awakumbuka wote waliokufa 29.10.2025. Sasa ujumbe ushahifadhiwa.. Tutahakikisha walioua wote hawalali kwa Amani.. Damu za watoto wetu zinawalilia.. Damu zimegoma kukauka. Maalim Nash
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waliokufa kabla ya Yesu kuja duniani wataokolewaje?

    Waliokufa kabla ya Yesu kuja duniani wataokolewaje? Waliokufa kabla ya Yesu kuja, yaani watu wa Agano la Kale, wataokolewaje? Swali hili linaulizwa na baadhi ya watu kwa sababu tunajua kuwa kuokolewa ni kupitia damu ya Yesu tu, ndiyo tunapata ukombozi wa hakika wa dhambi. Sasa waliokuwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Imeanzishwa Media ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29, 2025

    By Hilda Newton Imeanzishwa media ya kuwakumbuka ndugu zetu waliouwawa Tarehe 29.10.2025. Media hii itapost kumbukizi zote za uovu WOTE wa Serikali. Media inatwa @Mo29Tv
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hata waliokufa leo walikiona kifo kana kwamba kiko mbaali sana, kisa wewe ni kiongozi unakuwa na Kiburi?

    Kiburi cha wanadamu chatoka wapi? Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki waliokufa leo na wewe kujiona u salama kushinda wao? Unaowadhihaki hao, nao walikiona kifo ni kana kwamba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama watawala walijua wanaua mbegu ya ukombozi na kuizika basi ndiyo inachipua kwa kasi

    Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana. Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waliofuata Mkumbo na kupewa kesi ya Uhaini wamesamehewa, Waliokufa je?

    Kumbe mlijua kuna vijana wanafuata mkumbo kwanini muwapige risasi za kichwa na marungu? Ndio mnavyolea watoto wenu huko au watoto wa masikini ndio wakujifunzia kulenga shabaha? Nafikiri huu unaoitwa msamaha lengo lake ni kutaka kusamehewa na yeye. Umetengeneza tatizo halifu unjifanya...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia Wakati anatoa pole atuambie watu waliokufa ni wangapi kama ni watanzania mpaka sasa anajifanya haelewi

    Samia Wakati anatoa pole atuambie watu waliokufa ni wangapi kama ni watanzania mpaka sasa anajifanya haelewi.
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauaji wa Oktoba 29? Au waliokufa ni punda?

    Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda. Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa kimya ni vipi hapo hawajihusishi na siasa huu ni uchizi. Jeshi liitwe jeshi la wanasiasa sio la...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanaowazika kishujaa waliokufa kwenye maandamano wanakosea?

    Itakuwa umeona video mbalimbali za sehemu mbalimbali watu wakienda kuzika wapendwa wao huku wanacheza na kuweka nyimbo za kishujaa. Hii ni tofauti sana tuliozoea misiba kuwa na vilio. Je maumivu yamepitiliza hadi wanaona wawape ushujaa wapendwa wao?
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waliokufa kwenye Maandamano, wanataka kuwazika kwenye Kaburi ya Pamoja. Tunaomba watoto wetu tukawazike

    Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha. Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu. TAARIFA MUHIMU. Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Marekani yafikia 78

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa jimbo la Texas, Marekani, imefikia watu 78, wakiwemo watoto 28. Taarifa hiyo imetolewa na maafisa wa jimbo hilo.Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa...
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tukifika mbinguni, wanaume safi tutapewa mabikra 72 tuishi nao. Vipi kwa upande wa wanawake?

    Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki? Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki na kutufungulia lango la mbingu. Wanaume safi akiwemo mimi ambao tunachakata mbususu kwa staha kwa...
  14. Brojust

    JamiiForums Tanzania Waliokufa Vs Waliohai; Sehemu ambazo hazijaguswa tangu dunia kuumbwa

    Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo. 1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia. 2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ? 3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa

    Wanaukumbi. Redio ya Jeshi la Israeli: Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa.. ========================= Israeli Army Radio: A 7.7-decare area on Mount Herzl will be transferred to the...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania 🇮🇱 Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotric

    Wanaukumbi. Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotrich baada ya kubainika kuwa kombora lililoanguka kutoka Iron Dome liliua raia. Baada shambulio Serikali ya Israel walitoa tamko kwa...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hivi watu waliokufa zamani wanapata wapi nguvu ya kutatua shida zetu? Hao kina Yesu, Bikira Maria na Mizimu?

    Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini? Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri? Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini vita ya Urusi na Ukraine sio kali sana ila waliokufa ni wengi kuliko ya Israel na Hamas?

    Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?

    Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali? Comments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.
Back
Top Bottom