Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu..
Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina...
Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣
Salaam Wakuu,
Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi?
Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
Katika jamii watu huishi kwa mazoea..
Yaani watu wa kisha aminishwa kitu cha uongo watakishikilia maana ni comfortable kwao.
Nimeligundua hili na halinipi shida tena.
Naona kwenye uzi wangu wa kuoa foreigner watu wana tapatapa tu ila wanacho kimbia ni kuu face ukweli
And I don't care at all. 😎😎
Polisi hawajijui.
Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii.
Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa ujumla imeshusha sana imani ya watu kwa jeshi letu la polisi.
Polisi kuhusika kiamilifu mauaji ya Okt29...
Wahindi ni waongo
Mimi niliacha kuangalia movie za Kihindi baada ya kuona ‘Starring’ kapigwa risasi, kaidaka alafu kairudisha kwa adui aliyempiga nayo kisha huyo adui akafariki hapo hapo
My Take
Inaweza kuwa kweli au pia kujikosha Kisiasa.
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amedai yeye ni mtumishi na wiki chache zilizopita alizungumza na Mungu, hali iliyofanya ampigie simu Deogratius Ndejembi kwamba kuna jambo kubwa linaenda kumtokea siku chache zijazo...
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu asiyejua ukweli na mtu anayejua ukweli lakini hataki kuukubali.
Mtu asiyejua anaweza kufundishwa. Anaweza kuuliza, akatafuta ushahidi na hatimaye akabadilisha mtazamo wake.
Lakini tatizo linakuwa pale mtu anapoona ushahidi unaopingana na msimamo wake, halafu...
MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani
Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli
Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani
Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi.
Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania.
Na hapa sio...
Wakuu nimekuwa nikijiuliza bila hata kupata majibu .
Uongo unaweza kuwa ni ugonjwa au moja ya tabia tu mbaya ?
Kimsingi kila binadamu ana madhaifu yake anaweza akadanganya ili kuepuka aibu na wakati mwingine kutaka kujilinda, au kutafuta faida hasa kwenye ishu za pesa, na wakati mwingine mtu...
Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.
Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU.
Yesu...
Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu.
Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti?
Shiriki mawazo...
Guys
Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda.
Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo
Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.
Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].
Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.
Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.
Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai ameripoti katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Juni 16, 2026, akisema amehojiwa kuhusu tuhuma za kuratibu maandamano yanayotarajiwa kufanyika Julai 7, 2026 akisema tuhuma hizo ni za uongo.
Akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.