Kupiga picha miili ya Watu waliokufa ni kosa, adhabu yake ni kifungo mwaka

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Kwa mujibu wa kifungu namba 162 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kupiga picha maiti, watu waliokufa au waathirika wa uhalifu au matukio mabaya kama vile ajali bila kuwa na kibali cha polisi au chombo chenye mamlaka kisheria.

Sheria hiyo pia inapiga marufuku kusambaza picha hizo kwa njia yeyote ya mawasiliano (ikiwemo mitandao ya kijamii kama vile Whatsaap, Facebook, Instagram nk) bila kuwa na kibali cha police au chombo chenye mamlaka kisheria.

Mtu yeyote atayevunja sheri hii atakabiliwa na adhabu ya faini isiyopungua Shilingi milioni moja au kifungo cha miezi kumi na miwili (12) au vyote kwa pamoja.
 
Kumbe!
 
Sawa mkuu. 1. Sheria ya Nchi gani?
2. Je, mbona TVs, Magazeti n.k. kila siku wanaonesha ajali za magari, nyumba zilizoungua e.g. masoko, shule n.k. sijasikia wakipelekwa mahakamani? Mbona miili (maiti) za ndugu wafiwa wanapiga picha bila tatizo au hiyo Sheria imekaaje?
 
Back
Top Bottom