Mazishi ya halaiki yamefanyika katika Jiji la Gaza, kaskazini mwa Gaza, leo, kwa ajili ya Magaidi 112 wa familia za Abu Sharia na Al-Hasaina, ambao miili yao ilipatikana katika wiki 2 zilizopita kutoka chini ya kifusi cha makazi katika kitongoji cha Sabra.
Magaidi wa Hamas wanasema eneo hilo...
Mwanamke anayefanya kazi ya kuhudumia mazishi, anayejulikana kwa jina la Mary, nchini Ghana alinukuliwa akisema kuwa mara nyingi huhisi furaha anaposikia kuwa mtu amefariki dunia.
Mary alisema anahisi furaha kwa sababu tukio hilo humpa kazi na kumsaidia kuingiza kipato.
Alisema kuwa baada ya...
Hali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.
Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France...
Unajua nimepitia kurasa za wachambuzi Wafuasi wa Iran wanakuambia watu million 20 wamehudhuria mazishi, nikawaza Hawa Wafuasi wa Iran akili wanaziweka wapi? Wanajua watu million 20 wanavyofanana kweli?
Lakini sababu najua huwa ni waongo basi nikasema ngoja nijiridhishe, nikaja kugundua kuwa...
Wanaukumbi.
🚨 KUTOKEA KWA MMOJA KUNATAWALA VICHWA VYA HABARI. 🇮🇷
Kiongozi Mkuu wa Irani Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya baba yake.
Uamuzi huo umezua maswali mara moja, huku umakini ukielekezwa kwenye umuhimu wa moja ya kutokuwepo kwa watu waliofuatiliwa kwa karibu zaidi kwenye...
Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako.
Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
Endapo nitafariki na halafu bado ikiwepo naomba mazishi yangu yawe live kupitia JF. Zile sehemu ambazo tu kisheria na kimila, na utamaduni wa kiislam unaruhusu.
Kuanzia kuswaliwa, watu watapokusanyika mpaka hatma yake.
Mwanajeshi Nazar Dalestskyi alipotea wakati wa shambulizi zito la Urusi huko Donbas mapema 2022 na kuhofiwa kufa,
Ndugu walipewa taarifa na kufanya mazishi ya mpendwa wao baada ya vinasaba vya DNA vilivyo chukuliwa kwa mama yske kuonyesha ni maiti yske.
Lakini maajabu yametokea 2026 baada ya...
Kuota unashuhudia mazishi yako mwenyewe ni ishara ya wazi kuwa umenaswa kwenye rada za ulimwengu wa uchawi, ambapo wachawi na washirikina wanatumia madhabahu zao za giza kuratibu ukomo wa maisha yako kiroho na kimwili.
Katika ulimwengu wa uchawi wa usiku, ndoto hii inaashiria kuwa nyota yako...
GHATI CHOMETE ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MHE. LUKUVI, IRINGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), tarehe 31 Machi 2026 alishiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la...
MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU SUNZY MWITA CHAMBIRI WILAYANI BUTIAMA, MKOANI MARA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete Leo tarehe 10 Machi, 2026 ameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza kushiriki Mazishi ya Marehemu Sunzy Mwita Chambiri...
Wiki iliyopita niliongoza ibada fupi na zoezi la kuchoma mwili wa raia mmoja wa nje pale Makumbusho
Zoezi lile lilinikumbusha mbali sana enzi za ujana wangu huko ughaibuni nilipokuwa nalifanya kwa raha zangu
Japo kwasasa inachukuliwa kama njia ya kuokoa nafasi lakini haya ni mazishi ya kimapokeo...
Nimeona Heche, Sugu, Mbowe, Mnyika na Zitto wakitoa hotuba kali kwa serikali bila kupepesa macho, kiasi cha kumuacha Mwigulu akikenua tu asijue la kufanya.
Nataka kuamini hiki ndio kilimfanya Samia apate ugumu wa kuja huko msibani. Mwigulu amepigwa suprise hakujibu hata moja.
WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru...
Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini.
Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii.
Na yaona ya muasisi wa chadema.
Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche, amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei kuongoza mazishi ya mwanzilishi wa chama hicho.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Samweli Welwel, amesema ratiba ya maandalizi kuelekea maziko ya Mzee Mtei...
Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza
TUMEISHAANDAMANA; GEN-Z TUPE NAFASI TUJUTE KWANZA.
Leo tarehe 6 Desemba, ni siku yangu ya kuzaliwa. Sina furaha kama ninavyokuwaga na furaha katika siku hii. Hii ni kwa sababu moyo wangu unawaza maandamano yenye...
Kwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.
Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.
Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.