The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class...
Habari wakuu
Natoa ushauri kuwepo na wakala wa SGR TICKETS kama zilivyo huduma ya Mpesa kila sehemu ya miji ambayo SGR inapita
Huyo wakala anapata commission kwa kila ticket atakayokata
Treni ikijaa ile chart ya kuchagua seat inaondoka kwenye mfumo automatic
Kama zilivo bus za shabiby
Septemba 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?”
Katika maelezo yake Mdau aliendelea kueleza kuwa “TRC ituambie Kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa...
Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC.
Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms.
Geza Ulole
Msaada jamani ninahitaji.🙏
TRC ituambie kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa ni karibu mwaka mmoja tangu kituo hicho kisimamishe huduma.
Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, kituo cha SGR Ruvu hakipandishi wala kushusha abiria kufuatia ajali ya treni ya mchongoko iliyotokea...
Leo jumamosi Sept 19 nasafiri na treni ya sa nane mchana,baada ya kuscan nikaelekea eneo la VIP ila nikakutana na hewa nzito mno na harufu kali.
Nikaenda washroom nikakuta ile harufu kali inatokea eneo hilo la washroom kwa sababu hakuna hewa inayoingia na kutoka, viyoyozi na vents za washroom...
Utawala wa hayati Magufuli uliona tatizo la gharama za matengenezo ya barabara zinazoelekea bandarini, hivyo rais Magufuli akaamua kujenga bandari kavu mkoa wa pwani eneo la Kwala, na ili itumike ikaamuliwa iunganishwe na reli ya sgr. Uwepo wa reli hiyo ungeiingizia mapato serikali ambayo...
▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji
▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa
▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji.
▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa.
▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeeleza kuwa ujenzi wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza umefikia asilimia 69.2%, hatua inayoonesha kasi kubwa ya utekelezaji wa mradi huo muhimu wa usafiri nchini
Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku.
Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa, kagua ratiba kuona muda wa kuondoka na kuwasili wa treni zetu.
WAFANYAUSAFI wawili wa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa simu ya thamani ya Sh 450,000.
-
Washitakiwa hao wakazi wa Temeke, Dar es Salaam ni Richard Ally (19) na Maneno Makora (18). Walifikishwa...
Kwa maon yangu mimi naona si Sawa eneo la parking pale kituo cha treni za mwendokasi kuwa za kulipia kwa wananchi wanaokwenda kupeleka au kupokea ndugu zao.SIO LAZIMA KILA HUDUMA WANANCHI WAWAJIBISHWE.
Mbona zipo sehemu nyingi tunabanwa kulipia kodi?
Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;
Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI
Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand,
Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza Tenda ya Kusambaza, Kufunga, na Kuboresha Mfumo wa Kamera za Ulinzi (CCTV) kwenye mabehewa ya abiria ya Reli ya Kisasa (SGR).
Tenda hiyo inahusisha;
Kusambaza kamera maalum za reli (4 MP IP CCTV), mifumo ya kurekodi picha (8-Channel NVRs), na vifaa...
TRC Yaimarisha Usalama wa SGR kwa Teknolojia ya Laser
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza uwezo wa usalama wa reli ya kisasa (SGR) baada ya kununua magari mawili maalum yenye mifumo ya kisasa ya laser kwa ajili ya kubaini hitilafu na vihatarishi katika vipande vya 1 na 2. Teknolojia hiyo...
Ali Khan, 17, aliweka sawa mkoba wake wa nyuma na kupanda treni ya mchana ya SGR katika Kituo cha Voi. Siku tatu kabla ya hapo, kijana huyo wa Kihindi na wenzake 74 waliokuwa wamepiga kambi waliwasili kwa treni ya asubuhi wakitokea Mombasa. Baada ya kuangalia msitu wa Tsavo, walikuwa wakiendelea...
SGR Ina shida mahali , unapofanya booking unakuta karibia siti zote zimejaa ila unapokuja kuingia ndani ya behewa unakuta nusu ya siti hakuna watu mwanzo mpaka mwisho wa safari hii imekaaje ?
Mnamo tarehe 24 July 2026, mimi na mfanyakazi mwenzangu tulifanya malipo ya tiketi za SGR kupitia M-Pesa kwa kutumia control number tulizopewa.
Fedha ziliondolewa kwenye akaunti zetu, lakini malipo hayakuwasilishwa kwa SGR.
Tulipowasiliana na SGR, walituambia control number zilikuwa bado...
Anonymous
Thread
kupitia
m-pesa
malipo
sgr
tatizo
tiketi
tiketi sgr
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.