makamba

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Je, January Makamba “anahifadhiwa” kisiasa kwa ajili ya urais wa baadaye?

    kuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge. Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni...
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Nape adai Januari Makamba ana akili sana

    Akihojiwa kwenye podcast ya Omari Kashera/Salma Dakota amedai hivyo. "Ukimpima nyani kwa kigezo cha kupanda miti, utadhani kobe ni mzembe na nyani ni genius."
  3. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi, Makamba Wakutana na Viongozi wa Puma Energy Tanzania

    Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi na Naibu Waziri wa nishati Mhe. Salome Makamba wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Fatma Abdallah pamoja na Mkuu wa Idara ya Sheria na Mahusiano wa Puma Energy, Bw. Emmanuel G. Bakilana
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wabara waliwasha nyota ya Samia mpaka alipofika ila yeye amezizima nyota za akina Makamba, Biteko, Bashungwa na wenzake ili iweje?Thabiti Kombo oye

    Jakaya ndo alimkuza Samia na kumfikisha Bara mpaka hapo alipo ni juhudi za Kikwete na genge lake, jambo la kushangaza amekuja kuzima nyota za akina Bashe, Bashungwa, Biteko na wenzao wakina Makamba sasa sijui anafaidi nini? Ameishia kutuletea mijitu ya ajabu ajabu ikina Thabiti Kombo sjui kama...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yusufu Makamba amepotelea wapi?

    Huyu mzee alikuwa bwatu bwatu sana. Tukawa tunamwangalia tunasema hiiii.... Yu wapi sasa? Mbona yu kimya sana? Hatumwoni akiwananga wengine na kuwachamba. Wala kumsifia jini maimuna.... Je ni nini kimemkuta ?
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi January Makamba?

    Huyu jamaa toka jina lake likatwe huko CCM sijamsikia tena. Hata kutoa pole kwa waliokufa kwenye maandamano hajatoa. Hivi yupo kweli?
  7. B

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Salome Makamba asema waliotaka kushindana na Rais Samia wameishia kutekwa

    Wakuu nimekutana na hii video lakini ni kama kilichoandikwa ni tofauti na kinachozungumzwa.
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mzee Yusufu Makamba kwenye Kampeni Mwaka huu

    Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga. Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM. Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Siasa bhana, Nape anachonga vonyago na simanzi moyoni, nimeambiwa January Makamba akafungua Madrassa

    Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo. Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli? WALIOKUWA makampeni mastamind Leo hii wako benchi.
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuenguliwa kwa akina Makamba kwenye mchujo unaashiria nini?

    Wapo wanaosema kuwa mama anaandaa watu wake na kutosa watu wa Jiwe aliiyemtengeneza. Hata hivyo, ukiangalia majina ya waliotoswa, unashangaa. Mfano, January Makamba hakuwa mtu wa jiwe. Luhaga Mpina alikuwa mtu wa Jiwe sawa na Mrisho Gambo. Chawa Daudi Albert Bashite alikuwa mtu wa jiwe japo...
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania January Makamba kujiajiri?

    Baada ya kutemwa ngazi zote (uwaziri na ubunge) Je Makamba atajiajiri kama Sisi Makenge?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi - January Makamba: Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima

    Mbunge wa Bumbuli anayemaliza muda wake, January Makamba alipokuwa kwenye mahojiano na kituo cha Radio 1, April 2019 kwenye kipindi cha kumepambazuka alieleza kuwa madara ni kama koti la kuazima. "Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima na ukiwa na mbwembwe na nyingi ukiwa umelivaa lile koti...
  13. kibori nangai

    JamiiForums Tanzania Mimi Kibori Nangai naamini hadi leo January Makamba na Stephen Biabato wakiwa mawaziri kuna kitu walifanya

    Mimi binafsi Naamini huko serikalini JANUARY NA BIABATO kuna kitu cha ajabu sana walifanya wakiwa mawaziri wa Mambo ya njee Na aliyemponza Biabato ni JANUARY hakuna mwingine Na walijua fika hawatarudii Bungeni hata iwejeee . Sasa Biabato anapoteana akati January' anasindicate kubwa ...
  14. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwako ndugu January Makamba

    Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kumkata Makamba na kuwaacha kina Nape, Prof Muhongo. waliolipinga bwawa la umeme hadharani kwa rushwa za wenye gesi

    Msikilize Nape alivyokuwa anapinga wa Tanzania wasipate umeme walale gizani. Sababu wamiliki wa gesi wapige hela za Tanesco kuwauzia gesi izalishe umeme. Maana umeme wa maji hauna faida kwa wapigaji
  16. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba Pole sana

    Wakuu, Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!! Huyu Mzee...
  17. Dabil

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Januari Makamba hakuleta maendelo yoyote Bumbuli

    Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni, Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina. Hapa CCM...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania GE2025 Byabato na Makamba (Waziri na Naibu wake) walifanya kosa gani hadi kuwekwa pembeni?

    kosa gani alifanya huyu Byabato na Makamba mpaka wameishia kuwekwa Pembeni
  19. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania GE2025 January Makamba aliwa kichwa Bumbuli

    Jina lake limekatwa huko Bumbuli. Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme Pia soma 1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba hatumtaki 2. > Pre GE2025 - Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Nishati Safi ya Kupikia ni ya Makamba, akampa Samia. Isieleweke Vinginevyo

    Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na...
Back
Top Bottom