Neno "adhabu" katika Kiswahili linamaanisha pigo, mateso, au malipo anayopewa mtu kutokana na kosa alilofanya au kwa kuvunja sheria. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya punishment, penalty, au sentence.
Hili neno hutumika katika mazingira mbalimbali, kuanzia ngazi ya familia, shuleni, hadi kwenye masuala ya kisheria. Hapa kuna mifano ya matumizi yake:
1. Kwenye Sheria na Mahakama (Legal Penalties)
Mtu anapovunja sheria za nchi na kupatikana na hatia mahakamani, hupewa adhabu.
Adhabu ya kifo (Death penalty / Capital punishment).
Adhabu ya kifungo (Prison sentence).
Adhabu ya faini (Financial penalty / Fine)
2. Shuleni na Nyumbani (Disciplinary Actions)
Hatua zinazochukuliwa dhidi ya mwanafunzi au mtoto ili kumfundisha nidhamu anapokosea.
Kupewa adhabu: Mfano, "Mwalimu amewapa wanafunzi adhabu ya kufyeka nyasi kwa kuchelewa shule."
Kutumikia adhabu: Kufanya lile jambo uliloagizwa kama malipo ya kosa lako.
Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria.
Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
1: Wamiliki wanapaswa kufosiwa kuuza timu maana kwa miaka 9 walitumika katika kufanya utapeli.
2; Kuvuliwa mataji yote walio shinda na kupewa timu zilizo kuwa nyuma yao au kushindana nazo katika fainali
3; Kushushwa daraja
4: Kupigwa faini nzito
Ni mimi mtaaalamu wa sheria kutoka nyarung'ombe.
Naona Kuna njama zinafanywa na jamhuri kutaka Lissu apewe adhabu nyingine ili kumdogosha Lissu. Kwa ushahidi wa Jamhuri na utetezi wa Lissu ni ukweli kwamba Mh Lissu hana hatia ya Uhaini. Hivyo wanajaribu kitafuta vikosa vidogo vidogo na adhabu za kumdhalilisha Lissu.
Kwa mfano, wanataka wampe...
Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!!
================
Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga.
DPP na...
adhabu
basi
court
final
hana
hatia
high
high court
hukumu
hukumu ya kifo
jamhuri
jela
katika
kesi
kesi ya uhaini
kifo
kifungo
kituko
kushindwa
lissu
mahakama
miaka
tundu
tundu lissu
uhaini
uhaini wa lissu
waiomba
yakubali
Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru
Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani:
Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
Defilement ni kosa la kufanya tendo linalosababisha penetration na mtoto. Chini ya Section 8 ya Sexual Offences Act, sheria ya Kenya inaweka adhabu kulingana na umri wa mtoto wakati kosa lilipotendeka.
Mtoto mwenye miaka 11 au chini:
Mtu anayepatikana na hatia ya defilement anahukumiwa kifungo...
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Dar es salaam, ukipita pale Jangwani unaona bodaboda ametoa mboo yake anakojoa, hajali nani ni nani, hajali watoto wa kike wa shule ya zanaki wala jangwani.
Ukienda maeneo mengi utaona wanaume wanatoa mboo, anakojoa na akimaliza anakunguta kunguta, unajiuliza hivi haoni aibu na fedheha, sasa ni...
Uchambuzi wa kisheria kuhusu utaratibu wa mfungwa kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii:
Mwandishi: Zakaria Maseke
(Mwanasheria)
(0612275246/0754575246)
Makala hii inachambua utaratibu wa kisheria wa kubadilisha adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii...
Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa sheria na ustawi wa jamii kuhusu uhalali wa adhabu hiyo kwa mtoto...
Inatia uchungu sana mwaka jana nilinunua kiwanja ekari tatu maeneo ya kibaha na mwaka huu mwezi wa tano nimeanza kujenga kanisa langu na nina amini nitapata wafuasi wengi kama akina kuhani mkuu, kiboko ya wachawi, Suguye,Mwamposa n.k.
Sasa kuna hawa wachungaji ambao inaonekana kabisa wanachuki...
Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Fanyenye hivi kwasababu nyie na...
Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua.
Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
Unajua amani ndo uchumi wenyewe pasipo na amani hakuna shughuli za uchumi, hakuna ajira, hakuna shule, hakuna madawa, hakuna nyongeza za mishahara, hakuna haki ya kuabudu nk.
Haiwezekani mtu afanye kosa la kuhatarisha amani ya nchi au afanye vurugu halafu aende Rumande halafu atoke halafu...
Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo.
Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
Kuna kitu watu wengi huwa hatukikubali. Ukimweka mtu moyoni kwa chuki, hasira au maumivu aliyokutendea, mara nyingi si yeye anayeteseka bali ni wewe mwenyewe.
Fikiria mtu anayetaka kupanda mlima huku amebeba magunia mazito mgongoni. Atafika juu kweli, lakini kwa shida sana. Ndivyo ilivyo kwa...
Wakuu
NImekutana na huu ujumbe unaodaiwa kuchapishwa na Halima Mdee kupitia ukurasa wake wa X ingawa sijaiona je uhalisia ni upi?
"tulifanya makosa wengine kwa kujua wengine kwa bahati mbaya, wengine waliondoka kwa sababu ya mifumo iliyo kuwa inalalamikiwa.,,msituhukumu kwa mapito yetu Bali...
Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.