Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,
Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke...
Swali hapo juu lipo wazi
Je, uwepo wa moto au kuingia motoni ni kamba hasa ikizingatiwa:
Wapo watu wanaochomwa moto wanapokufa,
Pia, wapo wanaozikwa na miili kuoza.
Kama hli ndiyo hii, huu moto tunaotishwa nao na dini nyemelezi na za kikoloni za kigeni zilizotugeuza mataahira na mazwazwa, huu...
Waliwabaka kila mara, kuwauza mabinti zao kama watumwa wa kingono kwenye iliokuwa chini yao.
Ila kuna watu wa JF watakuja kuwakingia kifua sababu tu wana share nao itikadi moja.
UTU na UBINADAMU zero, USHETANI 100%
Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya Sandarusi maarufu viroba vya uzito wa Kilogramu 200, huku zikiwa zimeharibika vibaya
Diwani wa Kata ya Makurunge, Paul Kabile alisema maiti hizo ambazo ni...
Wakati matukio ya miili kuokotwa yakizidi kuokotwa ndani ya mwaka huu, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka ufanyike uchunguzi wa kimahakama kubaini vyanzo vya baadhi ya vifo hivyo.
Miili hiyo imekuwa ikiokotwa kwenye mito, fukwe, barabarani na maeneo ya wazi katika mikoa...
Baba Askofu Mwamakula!
Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi: Ilipita pikipiki ya miguu mitatu na ilibeba viroba vyeusi vingi kama uchafu vikitoa harufu kali. Kuifuatilia ile Toyo, ikasimama katika eneo la Makaburi ya Msae. Na palikuwa...
Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ???
TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
Mkoa ulikuwa na Airport ikafa
Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena
Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori
Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa
Ni mkoa ambao hauna hata stendi
Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa
Lawama hawawezi...
Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima...
Hivi maridhiano yanayobembelezwa ni yapi? Labda mtupatie miili ya kina soka mdude nk pamoja na ile miili ya 2910 na waliomshambulia LISSU wafikishwe mahakamani otherwise Bora muanguke wote nyie watesi tuanze upya.
Tunaridhiana nini wakati mdude na polepole hamsemi wako wapi pamoja na kelele...
“Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili.
Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa.
Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu...
Hivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa?
Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele.
Binafsi hii ni taarifa ya pili kuiona juu ya hili sakata, nina...
Hatusemi mengi.
Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau
Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala.
Serikali bado inasema...
Kila kitu kitakufa Wazi.
Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !.
Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako.
Haw wasengee wameua sana
Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake!
Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti...
Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais.
Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.