adui

Neno "adui" katika lugha ya Kiswahili linamaanisha mtu, kikundi, au kitu kinachokuchukia, kinachokupinga, au kinachotaka kukudhuru. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya enemy, foe, au adversary.

Kinyume cha neno adui ni rafiki. Katika matumizi ya kila siku na muktadha wa Tanzania, neno hili hutumika katika maeneo makuu yafuatayo:

1. Kwenye Mahusiano ya Kijamii (Personal Adversaries)​

Linatumika kuelezea mtu ambaye hakutakii mema, anakufanyia vitendo vya kikatili, au mnagombana kila mara.
  • Mfano: "Sina ugomvi na mtu, mimi sina adui hata mmoja mtaani."
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Israel na Muongozo wa Hannibal Hakuna Kuchukua Mateka Awe Nduguyo au Adui

    https://youtu.be/c4EGGCQOP8Y?si=OQ9CRNg2tPDHN3qb
  2. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania NGONO, ADUI WA MAENDELEO YA KIJAMII.

    Acha kusikiliza maneno na stori za kuikuza NGONO kwamba ni kitu cha lazima au ni kitu cha kifahari.Chukulia ngono kama njaa. 📌📌HAKUNA SIKU UTAKULA NA UTASHIBA, UKILA YAKIPITA MASAA KADHAA NJAA IPO PALEPALE. KAA CHINI JIULIZE TANGU UMEANZA KUNGONOKA MPAKA LEO UMEFAIDIKA NA NINI.MFANO JANA...
  3. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hana Siasa za kufanywa adui na Mfumo: Michezo Tu

    Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima. Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani ambayo CCM hawawezi kucheka naye, Ima hamna kitu, yani kisa kusema “Pambanieni katiba”??? Yuko sehemu...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hakitokea muislamu mjenga hoja wa dini yake anakuwa adui wa waislamu wanzake

    Kuna kijana mmoja kwenye mitandao ya kijamii naona kawa mwiba kwa waislamu wenzake. Ila nacho jiuliza kama mtu anajenga hoja,elimu na jinsi dini kama kuna sehemu waumini wamesahau ni kukumbushana na kuona dunia inavyo kwenda. Kinachoendelea hata zile chuki za kuonesha muwapendi wakristo...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa adui yako unafikiri ningenza kukuchunguzia wapi?

    KAMA NINGEKUWA ADUI YAKO, UNAFIKIRI NINGEANZA KUKUCHUNGUZIA WAPI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unapoingia katika uadui na mtu yeyote. Hapana shaka huwezi kufanya shambulizi lolote bila kumjua adui yako. Lazima ujue unapambana na mtu wa aina gani. Na hapo ndipo suala la ujasusi, upelelezi...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Adui wa Taifa kwa sasa ni mmoja tu Uchawa.

    Nini maana ya uchawa? - UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha. -UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile wawe wanamsafisha.
  7. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kauli chafu zilizokuwa normalized Jamii Forums ambazo ni adui mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania

    Sio mara moja sio mara mbili watu wakileta changamoto zinazowakumba Watanzania humu kumekuwa na kauli chafu kutoka kwa baadhi ya wanaJF ambao nao ni Watanzania/Waafrika pia Mfano, ukileta tatizo linalokumba jamii za Watanzania utakuta mtu anacomment "Waafrika ni nyani waliochangamka" Kuna siku...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Adui Anamlipia Heche Matibabu India?

    👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao. 👉Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya Watanzania kuwa...
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Adui wa muafrika ni muafrika mwenyewe

    Kila siku tumekuwa tukitafuta mchawi wa umaskini wa Afrika. Tunalaumu ukoloni, tunalaumu Marekani, tunalaumu Ulaya. Lakini ukweli mchungu unaouma zaidi ni kwamba: Hakuna adui wa nje anayeweza kumuangamiza Mwafrika bila kumtumia Mwafrika mwenzake mwenye tamaa! Ubinafsi na roho ya "Mimi na tumbo...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

    Kufuatia kudundwa kwa askari wa barabarani ile jana, nimejikuta navuta kumbukumbu za tarehe 29 Oktoba 2026. Kitendo cha huyo askari kudundwa kimenifurahisha sana! Hawa ma askari wa barabarani walihusika kuwaua Watanzania. Oneni huyu akiwa kashika gobole lake akiwinda awapige risasi za kichwa...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tupazeni Sauti kwa Ajili ya NCHIMBI, Kwa CCM, adui wa Ndani ni Hatari kwao, alichokifanya NCHIMBI ni Sadaka, ni zaidi ya Upinzan na Wanaharakat Wengi!

    Mnakumbuka MH Polepole ?. Kile alichokifanya kwanza , kujiuzulu nafasi zake zote, kisha akaanza kukosoa UOVU wa CCM , kilikua na Thaman sana, na Watanganyika Wakamuamini 100% na Ule Ukweli alikua anauzungumza MH Polepole, ndio Ukweli ulowafanya Watanganyika Wadai NCHI yao Oktoba 29 2025...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CCM ya sasa adui yake ni Tanganyika!

    Kwasasa kusema Tanganyika ni kama haramu
  13. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Anna Tibaijuka: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za Wananchi dhidi ya utawala wa mabavu

    Profesa Anna Tibaijuka anasema kwamba kusema matukio ya Oktoba 29, 2025 ni ya kupangwa, kama serikali inavyodai, siyo sahihi. kwa mujibu wake, kilichotokea ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za wananchi dhidi ya utawala wa mabavu Pia soma: Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa kundi lingine ambalo ni adui kwa taifa hili ni baadhi ya viongozi wa kiislamu

    Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu. Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga mkono yale yote ambayo yapo kinyume na matakwa ya wananchi wengi badala yake wana bariki maovu yote...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Unapotafutia riziki pana adui wengi kuliko unapoishi, kuwa makini sana

    Usijisahau ukasema una marafiki wengi kazini , kuwa makini sana. #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha Karibu
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa maisha ya zamani sasa hivi tungemsoma kama Nabii mkubwa

    Hamjambo! Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu. Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii. Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo. Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu

    Rais Samia anasema kuwa "Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu"
  18. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Adui Yangu Anaitwa Simu

    Hii sio kawaida! Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee! Youtube Insta Fb Site za wakubwa(twice) Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu) .. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yericko aelewe Adui wa CHADEMA ni adui wa MBOWE. CHADEMA ni moja ya Legacy ya Mbowe na sidhani mbowe ni Mjinga kiasi atake ife

    Hamjambo! Mbowe hata awe na hasira kiasi gani. Bado hawezi kuukata mtoto WA mwanaye kisa ameunyea. CHADEMA ni moja ya Mambo ambayo yamempa heshima Freeman Mbowe. Mwenyekiti Mbowe ametumia ujana wake wote kuikuza na kuieneza CHADEMA hapa Tanzania. Asilimia tisini ya watu hapa Tanzania na...
  20. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Mtu Wako Wa Karibu Anaweza Kukuuza Kwa Bei Yeyote Kwa Adui Zako

    Mathayo 26:14-15 TKU [14] Ndipo Yuda Iskariote, mmoja wa wanafunzi kumi na wawili wa Yesu alikwenda kuzungumza na wakuu wa makuhani. [15] Akasema, “Nikimkabidhi Yesu kwenu, mtanilipa nini?” Makuhani walimpa sarafu thelathini za fedha. Yuda alikuwa mtu wa karibu sana na Yesu, haikutegemewa kama...
Back
Top Bottom