Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
hela
kakonko
mpya
nyingipesapesanyingi
sana
wilaya
Habari wakuu,
Nikiwa mfanyabiashara wa retail, leo nimeona nitoe shukrani za dhati kwa mitaa ya Kariakoo ambayo imekuwa sehemu kubwa ya mafanikio yangu.
Nilianza nikiwa nimeajiriwa kwenye kampuni ya construction, kitengo cha manunuzi (Procurement). Kazi yangu ilinifanya nizunguke Kariakoo...
Huyu ni mbunge kwa tiketi ya chaumma anadai bunge linatumia pesa nyingi sana lakini mchango wake ni mdogo sana
Kwa nini anasema hivi na upi mtazamo wako?
Huyu kijana ni mpangaji tu ni mtu tunapiga nae sana stori maisha yake yanakimbia sana, nilipo mdadisi akadai kazi yake nikuunga watu MB, nikapata mashaka je hii inaweza kuwa kweli.
So kwa ubaya ila nimekutana nae nikamuuliza sikuoni Sasa wapi, akadai kahamia, kwa muarabu, huyo muarabu ana...
Kero yangu ni selcom penalty, Selcom ulikuja kama mtandao (mobile wallet) mbadala kutokana na kuwa na makato madogo.
Ila kwa sasa hali imebadilika umekua ni mtandao wa kukata watu hovyo ukifanya muamala imepelea hata shilingi moja pengine kwa kujua au kutokujua hawatumi meseji kuwa salio...
Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi
Kwenye maisha kuna mambo mengi sana, kuna wakati mtu unaamua kujipa kafuraha unatumia pesa, ukistuka kibinda kimeenda kikubwa kiasi unataka kuumia roho ila unatafuta kamsemo ka kujifariji...
Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
Kati Ya Ujuzi Muhimu Zaidi Unaotakiwa Kuwa Nao Ili Utengeneze Pesa Mtandaoni Ni Huu Ujuzi Wa Aina 3 Hapa Chini...
"Digital Marketing Skills,Copy Writing Skills & Closing Skills"
...Huu Ujuzi Huwa Napenda Kuuita Triplet PACKAGE Skills...
Habari ya asubuhi waungwana
Dependency ratio inachukua nafasi kubwa sana Huku kwetu Afrika. Unaweza Kuta Mtu anapesa Ila kunae ndugu anaumwa, anasomesha mtoto wa marehemu shangazi yake, Anauguza Baba yake wa Kambo huku Pia ana mlea Mtoto wa Baba yake mdogo aliyepewa ujauzito na kijana...
https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h
Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn
Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
Ni kweli!
Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara
Inashangaza...
Niende moja kwa moja kwenye mada
Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu
1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha )
2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo.
Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl.
Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
Boring businesses zina pesa nyingi sana.
Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi”
Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini zinapiga hela ile mbaya.
1. Kununua na kuuza chuma chakavu maarufu kama Skrepa
Umeona unavyoiona ya...
Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi
Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
Jamaa alianzia mbali sana aisee
Whatever anafanya kutafuta hela nampa Heko
Hapa nadhani ni miaka 50 iliyopita na alikua anaitwa Atulokole Mwajilala😅😅😅
Kwa sasa kamanda kajipata karudi ujanani na anaitwa Chief GodLove😂😂
Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana.
Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni.
Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi.
Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na...
Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing
Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya dropservicing... Pia ukitaka kufanya freelancing zingatia haya
Kwanza kabisa lazima uanze kama freelancer...
Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake wengi wamekuwa wakitongozwa na hata ikitokea nafasi ya kuolewa na watu wafupi ama wanene wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.